Mo Dewji atema cheche, akubali kurudi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, aeleza mipango mipya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 84

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b 2 місяці тому +4

    Ubarikiwe ubarikiwe ubarikiwe tajiri rudi bossi tumetesekasana

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 2 місяці тому +1

    Karibu tena boss wetu King Mo

  • @jeremiahmwanyika869
    @jeremiahmwanyika869 2 місяці тому +12

    Dah atimae nimekuwa wakwanza. Like sasa

  • @user-nc4ko3qz7t
    @user-nc4ko3qz7t 2 місяці тому +2

    Simba nguv moja❤❤❤🦁🦁🦁🦁

  • @MtuMBard
    @MtuMBard 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri boss 🎉🎉

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 2 місяці тому +3

    Oyaa mateso sasa basi # boss karudi

  • @OswadSanga-hb2vi
    @OswadSanga-hb2vi 2 місяці тому

    Hongera sana jenga misingi bora axante

  • @lahauonline217
    @lahauonline217 2 місяці тому

    Safi sana mkuu karibu Tena tupo pamoja na tutakupa ushirikiano wote kila sehemu y Simba yetu inshallah Allah atupe afya njema na umri mrefu na uwezo wa kufanikisha hayo aaamin Simba oooyeeeeee....

  • @maendechacha5634
    @maendechacha5634 2 місяці тому +2

    Huyu ni mbabaishaji kwani wakati hayo aliyoyataja yanatokea au yanahitaji kushughulikiwa, kwani hakuyaona? Kwani ndo ameyaona saivi?
    Kwanini nafasi muhimu za bodi wanateua yeye?
    Note; Mpira wa simba hauendi kwa sababu, unaendeshwa kijanjajanja tu.

  • @Nunshumutwafa
    @Nunshumutwafa 2 місяці тому +2

    Tajiriiii!!.

  • @JumaDallei
    @JumaDallei 2 місяці тому +3

    Siwezi kusimulia kiwango cha furaha hii

  • @EVARISTKALIMONGO
    @EVARISTKALIMONGO 2 місяці тому +1

    Mo nakuaminia.Upo sawa kabisa.Tunaka wachezaji kutoka MISRI na TUNiSIA wasajiriwe SIMBA.

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 2 місяці тому

    Asante don mo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 місяці тому +2

    Hatimae tajiri karudi tena

  • @YohanaDaudi-wt5uw
    @YohanaDaudi-wt5uw 2 місяці тому

    Good boss

  • @stanslauskipondya1861
    @stanslauskipondya1861 2 місяці тому

    Asante mwenyekiti kwa kurudisha nguvu Moja

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 місяці тому

    Bora Boss umerud heshima ya Simbaa irejee

  • @mbakijonas5647
    @mbakijonas5647 2 місяці тому

    Haya maneno nimazito sana ahamedy ally hawezi kuyabeba😂😂

  • @MordAlly-ng8jj
    @MordAlly-ng8jj 2 місяці тому

    Well done Mo, tupo pamoja Simba nguvu moja, kuna watu watasema ila najua wanakuhara ukirudi

  • @F60hustlerF60hustler
    @F60hustlerF60hustler 2 місяці тому

    Simba like hapa 🦁🦁

  • @geuzasilvester1715
    @geuzasilvester1715 2 місяці тому +1

    Mimi nakuamini boss,We Fanya Yale yote yanayoleta muelekeo chanya na sahihi kwa ajili yakurejesha heshima na mabadiliko kwenye timu yetu.

  • @romamtalambuga7
    @romamtalambuga7 2 місяці тому +1

    Amna tajir apa

  • @AthmanKamba
    @AthmanKamba 2 місяці тому +1

    🔥🔥🔥

  • @adamgwila3395
    @adamgwila3395 2 місяці тому

    Pamoja Sana yalio pita si ndwele tujenge yajayo

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 2 місяці тому

    Dar tajiri umerudi tunashukuru sana

  • @ip_header
    @ip_header 2 місяці тому +1

    Tatizo nn mpaka viongozi hawapo pamoja ?

  • @gibrilmongi5646
    @gibrilmongi5646 2 місяці тому

    NASISI MASHABIKI TULIPIE ADA ZETU, SASA HIVI KADI ZA SIMBA ZINAPATIKANA KWENYE MILA BANK KWA VIWANGO TOFAUTI TULIPIE TUJENGE MTAJI IMARA SIO KUPAYUKA TU KAMA VYURA ITS NOT SUSTAINABLE

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 місяці тому +3

    Try again kachaguliwa tena na mjomba wake kumbe wamepishana

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 2 місяці тому +2

    Kwakumsikiliza hivi anaongea kwa upole unaeza kuxem tutachukua ubingwa wa Africa ngoja inyexhe tuone panpo vuja

  • @joshemman520
    @joshemman520 2 місяці тому

    hii ni speech za kuandika(Amevaa tinted glass usiku) mara nyingi huandaliwa kulingana na nn tunachotaka (wasikilizaji) kusikia.... utasikia shutuma 2:25, na maombi mengi,,,, kama unauelewa utajua hizi sio sababu za kwann hatufanyi Vema.... Na hapa mambo ni yale yale katika ngazi za uongozi.... try again bado yupo simba ana nguvu bado ya ushawishi ndani club na maamuz , kwann MO alimpa na kumuamini TRY na sasa karudisha kwa aliyempa..? sasa nmegundua sisi kama mashabiki hatuna nguvu ya maamuzi yeyote kwenye club .... ili linatakiwa kubadilika. MO tunakutaka kama Muekezaji na Sio kiongozi kuwa kama GSM......

  • @harunaswai8514
    @harunaswai8514 2 місяці тому

    Tunashukuru Sasa furaha imerudi sasa

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 місяці тому +2

    Njoo utujengee uwanja haiwezekani tuzidiwe na KMC

    • @EzzyEddy-nv6ti
      @EzzyEddy-nv6ti 2 місяці тому

      Kmc ni municipal council so hawawez kosa kujenga uwanja wakiwa serious

  • @miltonmachage2462
    @miltonmachage2462 2 місяці тому +1

    Sisi maskini Tutateswa sana na matajiri

    • @saidmasoud9004
      @saidmasoud9004 2 місяці тому

      Itabidi mjikomboe katika fikra hizo. Hii team haitaji mwekezaji ina mtaji mkubwa watu ambao wangegezwa kua mtaji wakachangia club yao. Simba ina washabik wengi inawafuasi zaidi million 25. Piga mara shilling 10,000 kwa mwaka watoe ni hela ngapi? Nyingi sana, ni fkra tu mtajikomboa kwenye umaskini

    • @miltonmachage2462
      @miltonmachage2462 2 місяці тому

      Kweli aiseee

  • @boniphacemsafiri
    @boniphacemsafiri 2 місяці тому +2

    Club wanapeana vyeo kama mbio za vijiti kapewa cheo na yeye kapokea 😂😂😂 eti

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 2 місяці тому +1

    Huyu kashachanganyikiwa minywele na ndevu zile apo kishakula pariki tayari basi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 місяці тому

    Wacha dharau. Bado wanasimba tunataka kujua wapi Manara alihujumu Simba

  • @Ibrahimaliy-go9fz
    @Ibrahimaliy-go9fz 2 місяці тому

    Yumekuelewa sn hata mambo y mapato yatazid kam tutakuwa imara

  • @FeisalOmary-zt1wx
    @FeisalOmary-zt1wx 2 місяці тому

    sema tajiri.ni nn kitakwenda kufanyika kwa msimu ujao hasa ktk usajili

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 місяці тому

    ...duh...!?

  • @user-jg8bk6xh4l
    @user-jg8bk6xh4l 2 місяці тому

    Tajiri karudi Sasa Utopolo tuheshimiane.

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 2 місяці тому

    Mo mswahili sana try again hatumtaki kabisa kwenye bodi pia kabla msimu haujaanza hakikisha mfumo wa transformation umeanza kusoma,hatutaki siasa

  • @abdulbakari1220
    @abdulbakari1220 2 місяці тому +1

    Utapeli uwendelee 😂

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 2 місяці тому

    Nani alimtoa simba? Hahahaaa

  • @mwajabuYusuph
    @mwajabuYusuph 2 місяці тому

    😂😂😂mooo unatumia nguvu kuubwa wakati siku ya tamasha lenu wanachama wenu wameshaaa izaka simba ni marehemu fc mpaka mkatubu hio ni laana itawaramba mpaka mnye😂 mpaka mpasuanee😅😅😅😅 mshuke daraja😂

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 місяці тому

    Dah fanya mambo tajiri tumechoka ad hatuna nuru uson watu wa simba 🤣🤣🤣🤣

  • @Kilolomaseselemani
    @Kilolomaseselemani 2 місяці тому +1

    anaongea anausingizi

  • @KAMTUPE
    @KAMTUPE 2 місяці тому

    Anasoma huyu

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 2 місяці тому

    Mbona kama kasema wanasingida

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 2 місяці тому +1

    Apo kaandikiwa anasoma kwenye laptop

    • @jaymandy8136
      @jaymandy8136 2 місяці тому

      Kwani hajui kiswahili au

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 2 місяці тому

      ​​@@jaymandy8136Anajua kiswahili hila hiyo ni km speech imeandikwa anasoma

    • @adamgwila3395
      @adamgwila3395 2 місяці тому

      Humta mo nani sasa akaimu nafasi yake or mnataka aondoke tuu bila kuwa na mbadala wake ,mo, Simba damdam

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 2 місяці тому

      Ulitaka asome kwenye gazeti

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 2 місяці тому

      Kwani angekuw anasoma kwenye laptop ungeona mwanga wa laptop kweny Miwani yake wewe Acha ushamba uto

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 місяці тому +4

    Zungumzia kuhusu 20 billion ipo kwenye akaunti yako au ya try again

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 2 місяці тому

      Inakuhusu nini aw unataka iwe yako

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 2 місяці тому

      B20 zipo kwenye AKAUNTI MAALUMU Ambayo Simba WALA No Hawezi kuzitoa na Mpaka pale MCHAKATO WA MABADILIKO ya Simba Na MUWEKEZAJI utakavyo kamilika.
      Na WANAOSABABISHA zile B20 sizitumike NI Simba wenyewe nawaovutana TAKRIBAN mwaka sahv WA Saba.NDIO MANA #MO ALILALAMIKA KUWA KUNAWATU WANAUKWAMISHA KWA MAKUSUDI NINANI HAO NI WANACHAMA NA VIONGOZI UPANDE WA SIMBA FC .KWANI JUKUMU LA UWEKEZAJI SIO LA MO NI LA UOANDE WA #MANGUNGU NA WANACHAMA WA SIMBA.

    • @houmdmajid-ur9dp
      @houmdmajid-ur9dp 2 місяці тому

      Ipo kwa akaunt ya bibi yako kayangalie

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 2 місяці тому

      @@houmdmajid-ur9dp njaa mbaya

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 2 місяці тому

      @@houmdmajid-ur9dp ivi ujui kua mimi ni baba ako,kama ujui muulize mama ako maana jana tulikua wote

  • @lusajomadigital-lv2vm
    @lusajomadigital-lv2vm 2 місяці тому

    hauboi tajili
    haukeli tajili

  • @LeapaRoine
    @LeapaRoine 2 місяці тому

    TUNACHOTAKA SISI NI FURAHA. HIZO SIASA ZINGINE HATUTAKI

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 місяці тому

    utoporo kiboko yenu anarudi sasa Mkinunua Tunalipa

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 місяці тому

    Mateso basi

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 2 місяці тому +4

    Kama nawewe umegundua kuwa anasoma kwenye karatasi toa like hapa 😅

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 місяці тому

    Mambo mengine unayasababisha wewe kila mara unpenda ku Post vijembe kama mtu wa buza..hebu acha hizo

  • @ndeleimanasayumwe670
    @ndeleimanasayumwe670 2 місяці тому

    Salim anabaki wa nn tena mzee.

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 2 місяці тому

      Mzee nae ni Mtu hata wewe ni Mzee wa kesho kama sio leo

    • @kassidpandu866
      @kassidpandu866 2 місяці тому

      Makofiiiiiiiiiiiiiiiiii Tajiri karibu tena utoporo hawana la kusema tena hapo wache wajeee Dakuka yamefungwa sasa hakuna kununua tena

    • @ChandeMuinde-zs6rj
      @ChandeMuinde-zs6rj 2 місяці тому

      Kkkk amina abakitu mana njaaa

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t 2 місяці тому

    Wewe ni mwamba kijana labda tutapona presha na magonjwa ya moyo wewe ni tiba

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 місяці тому

    ni mjana mjanja tu huyu hana lolote

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 місяці тому +2

    Mmmh eti miaka mitatu yake alichukuwa mfululizo, sasa Kuna GSM huku,, haongei sana yeye vitendo tu basi

    • @obadiahnkwale124
      @obadiahnkwale124 2 місяці тому

      Acheni kumchanganya boss wetu😩

    • @MickJ-kv7iv
      @MickJ-kv7iv 2 місяці тому

      Gsm hawezi kuwa mfano wa kila aliyefanikiwa,kila mtu na hulka na njia zake