Mimi kibinafsi najivunia kulelewa katika kanisa katoliki, nyimbo za huyu gwiji zilinifugulia maisha,ubatizo, mafunzo , confrimasio, na maisha ya ukristo,mamangu akinishika mikono kunipeleka kanisani, nahisi nikama niko na furaha tele, na sijui kama mzee MWARABU mwenywee anajua yakuamba nyimbo zake ziliguza kila pembe la nchi yetu ya kenya,... mnamo mawaka wa 1998 nikapata ubatizo katika kanisa katoliki, ARCH DIOCES OF KISUMU, KENYA, mungu akubarika baba wetu,uisha maisha marefu duniani....... #tunakushukuru mama mariaaa....#kwa neeema unazo tujaliaa, asante mama wa yesu uliye na hurumaaa, #uzidi kutuombea mpaka saa yakufaa...... #GOD BLESSS YOU
mzee wangu, sisi kama familia tunajivunia wewe kuwa sehemu ya familia yetu, tumefahamika ndani ya kanisa kwasababu ya utume wako ndani ya kanisa katoliki, Mungu akubarikia sana
Mimi ningependa kumfikia huyu Mzee hata nimzawadie Kwa maana nyimbo zake zimenisaidia Sana katika maisha ya ukristu hasa nyimbo za Bikira Mama Maria. Sijui naweza aje kupata contact zake
Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa haipiti siku bila kusikia wimbo angalau mmoja wa mzee Mwarabu. Huyu mzee kwakweli ni kipaji cha Mungu ni watunzi wachache wa mziki wa kikatoliki wanao weza kumfikia. Mungu ambariki sana.
Mzee Mwarabu, wewe ulitunukiwa zawadi kubwa sana ya utunzi wa nyimbo na Mola ,nafurahia vile unavyoutumia kipaji chako .Nyimbo zako zinaniweka karibu na Mungu.Ahsante na ubarikiwe
Tumsifu Yesu Kristo, kaka Paschal binafsi nimepata faraja sana kumfahamu vizuri mzee wetu Paschal Mwarabu kwa jinsi Mungu alivyomzawadia karama ya uiimbaji, yeye makuu ameyafanya makubwa tayari mbele ya Mungu deni kwetu sisi vijana wa leo tunamtumikiaje Mungu kwa kuiinjilisha neno lake kwa wengine
Hongera sana baba nimependa sana wimbo huo unaosema tupeleke sadaka tupeleke vipaji yote ni mali yake tumrudishie tupeleke sadaka umenikumbusha mbali sana na ni kama sala unaishi kila siku huu wimbo
Mzee umebarikiwa. Uendelee kubarikiwa. Kanisa hasa baraza la maaaskofu - TEC lapaswa kujitafakari sana na upewe tuzo ya heshima. Umesaidia sana teolojia ya kanisa la Tamzania kwa njia ya utunzi na uimbaji. Endelea kubarikiwa Mzee Mwarabu
Ongera sana baba kwa kazi iyo ya utume ulio fanya muda murefu tunasikia sana nyimbo nzuri ambazo ulitunga tangu zamani , tunamuomba mwenyezi Mungu akubariki siku zote zamaisha yako pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
Mzee alikuwa anapata inspiration moja kwa moja kutoka kwa Mungu ila halikuwa hajagundua hilo. Alikuwa anasikia sikia sauti kichwani za nyimbo. Hiyo ni sauti ya Mungu. Mungu ni mwema sana. Hongera sana Baba.
Roho wa Mungu anafanya kazi ambayo kwa akili ya kawaida tunasema ni "miujiza" au "maajabu" Tumwombe Mwenyezi Mungu atuongoze kwani IMANI yetu imesongwa na mambo mengi.

Mungu amewabariki na mzee. God bless you mwalimu PFMwarabu
MUNGU awabariki sana
Mungu amewabariki sana kwa Kara ma hii kuu🙏🙏🙏
You father have a deep theological and love for our blessed mother Mary.
Mimi ningependa kumfikia huyu Mzee hata nimzawadie Kwa maana nyimbo zake zimenisaidia Sana katika maisha ya ukristu hasa nyimbo za Bikira Mama Maria. Sijui naweza aje kupata contact zake
Baba yuko vizuri kweli roho mtakatifu anamtumia
Hongera sana mtunzi Mwarabu kwa nyimbo zote ulizotunga. Barikiwa sana mzee 🙏❤
Mungu akutunze Mzee wetu. Mama Maria hajawai Muacha Muitaji. Mama Maria Tutunzie Babu yetu.
From kamina/RDC, nami nashukuru Mungu sana kwa ajili ya mtumishi wake Mwarabu.
Hongera Mzee Mwarabu. Wewe Ni kioo kwangu na wengine, kwani kwa utundu tu nilitunga wimbo watu wakaufananisha na nyimbo zako.
Mzee Mpole na Mtulivu kweli kama nyimbo zake alizoandika.Wimbo wa Ee Mama Yetu Maria naupenda mno
Mwenyezi Mungu amekubariki sana, na kupitia ww tumepata na tunapata faraja, tunaabudu, tunashukuru na kumsifu Mungu❤
Ubarkiwe sanaa babu yetu kipenzi
Nimekupenda sanaaa
Nampenda saaana Mzee mwarabu hata yeye anajua Hilo asantae Sana kaka yangu pascal
8:10
I love his Marian songs,all the way from Catholic diocese of Meru Kenya.May God bless you baba Mwarabu
Ee mwamba huyu Mwarabu nimemtafuta,! ee Asante Mungu nimemuona,
Asali kutoka moyoni siku zote, Mungu amutunze
Kenya nyimbo zako zapendwa sana sana
Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa haipiti siku bila kusikia wimbo angalau mmoja wa mzee Mwarabu. Huyu mzee kwakweli ni kipaji cha Mungu ni watunzi wachache wa mziki wa kikatoliki wanao weza kumfikia. Mungu ambariki sana.
Mzee Mwarabu, wewe ulitunukiwa zawadi kubwa sana ya utunzi wa nyimbo na Mola ,nafurahia vile unavyoutumia kipaji chako .Nyimbo zako zinaniweka karibu na Mungu.Ahsante na ubarikiwe
Kwa nyimbo zako nzr sana, hakika utafika minguni
This man is a music genius of all time.
kweli huyu mzee hakika ni mkatholiki asili tena kwa uimbaji bia ako na kibaji mungu ambe nguvu na afya njema asidi kumtumikia mwenyezi mungu
Hongera sana Babu...muziki mtakatifu ni 🔥
Kazi Mzuri sana Mzee Mwarabu Pascal.
Asante sana Mwarabu, ubarikiwe sana.
Mungu akulinde na akubariki. Wewe ni mkatoliki wa nguvu sana
Nishike mkono univushe Maria, Mungu akubariki Mzee Mwarabu Maneno yako yameniongezea vitu Vingi sana katika imani.Mungu akubariki sana sana.
Kongole Mwarabu Kwa muziki wako mzuri
Mzee alikuwa polisi, mtunzi mzuri wa nyimbo za dini. Ahsante baba
Mungu azidi kukubariki afya njema daima na njia njema ya mtoto kujua dini ni familia
Mungu na akubariki Mzee P. Mwarabu. Nyimbo nzuri kabisa. Mapenzi tele kutoka Kenya 🇰🇪
Mungu akubariki sana
Hakika baba mzee Mwarabu umejiwekea hazina kubwa sana mbinguni. Wewe ni tajiri mno mbele ya Mwenyezi Mungu....
Baba umeendelea kunijenga kiimani, umejitengenezea njia ya kuuona ufalme wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Tumsifu Yesu Kristo, kaka Paschal binafsi nimepata faraja sana kumfahamu vizuri mzee wetu Paschal Mwarabu kwa jinsi Mungu alivyomzawadia karama ya uiimbaji, yeye makuu ameyafanya makubwa tayari mbele ya Mungu deni kwetu sisi vijana wa leo tunamtumikiaje Mungu kwa kuiinjilisha neno lake kwa wengine
Tumshukuru Mungu, asante saba Mzee Mwarabu kwa kazi nzuri, Mungu akubariki mno kwa utunzi na sala kwa njia ya kuimba
Asante ubarikiwe pia mtangazaji
Baba mwarabu bikira Maria Msaada wako....kweli wewe Ni mtakatifu
safi sana babu mwarabu
Be blessed Mzee Paschal Mwarabu. God bless you.
From Kenya.
Hongera sana baba nimependa sana wimbo huo unaosema tupeleke sadaka tupeleke vipaji yote ni mali yake tumrudishie tupeleke sadaka umenikumbusha mbali sana na ni kama sala unaishi kila siku huu wimbo
Mzee tumebarikiwa kupitia nyimbo zako.
His songs are inspired by the power of God. They are mightly anointed. Love from Kenya.
Mbarikiwa
Mwalimu Mwarabu Mungu akubariki sana.
Mungu akubariki Sana mzee mwarabu.mimi ni mlutheri umenibariki kwa nyimbo zako miaka mingi.
Neema sana
Nimefurahi kumwona,nilikuwa namsikia tu,barikiwa sana baba yetu.
Mzee umebarikiwa. Uendelee kubarikiwa. Kanisa hasa baraza la maaaskofu - TEC lapaswa kujitafakari sana na upewe tuzo ya heshima. Umesaidia sana teolojia ya kanisa la Tamzania kwa njia ya utunzi na uimbaji. Endelea kubarikiwa Mzee Mwarabu
Mzee Mwarabu, nimefurahia sana kwa yote umesema ubarikiwe sana,,muoyo wangu umefurahi sana
Hongera sana baba kwa kulitumikia kanisa bado tunazipenda na kuzitumia nyimbo zako ubarikiwe mno na upate Afya njema baba
Ongera sn baba barikiwa mzee wetu tunda la kanisa hilo
Safi Baba, sasa mtangazaji chukua majina hayo Baba ayatajayo pia uwatafute ktk vipindi vijavyo.
Wow...hongera Mwalimu
Uko na kipawa cha Hali ya juu...Mungu akubariki sana
Hongera sana Baba yetu hakika umekuwa tunu ndani ya Kanisa Mungu akutunze.
Nilikuwa nataka kumjua huyu mzee.hongera sana mzee Mwarabu.Mungu akujalie afya njema.hongera sana
God bless you mzee pascal for the good work. I love love all the songs he has done.....
Huo wimbo wa Ee mama yetu Maria mama wa Mungu nimejaribu kutafuta huo wimbo.
Barikiwa sana Mzer. Mwarabu Mungu akutunze uendelee na Utunzi Wa muziki mtakatifu.
Mungu akushike mkono uinue wengine
Mungu akubariki sana Mwalimu wa nyimbo Mzee Paschal Mwarabu. Unayo tunu maalumu kutoka kwa Mungu. Ni zaidi ya Kipaji. Ni NEEMA YA MUNGU!
Ongera sana baba kwa kazi iyo ya utume ulio fanya muda murefu tunasikia sana nyimbo nzuri ambazo ulitunga tangu zamani , tunamuomba mwenyezi Mungu akubariki siku zote zamaisha yako pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
Live long mwarabu... Tunapenda nyimbo zako sana
Ninapenda Sana wimbo ule WA roho mtakatifu...inakuaje tunasikia maneno wanayosema Kwa lugha zetu
Barikiwa Baba
Mungu Baba akubariki nyimbo zako zinaguza sana
Imfikie tafadhali ......nyimbo zako zinatusaidia kuomba na zinatufariji ....kutoka kenya
From Kenya be blessed Sir P. Mwarabu
Mungu akupe maisha marefu
Ubarikiwe sana....
Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema ya roho na mwili uzidi kuwa chombo cha sifa yake.
Mungu aliyekuchagua akujalie neema zake uwe kitabu hai ambapo yeyote anaweza kusoma mafundisho ya Injili Mungu akubariki baba Mwarabu
Mzee Mwarabu Babu Mungu akutunze Mzee wetu hakika Kuna la kujifunza kutoka kwako wewe Mzee wetu.
Huyu mzee hana mpinzani katika nyimbo za Mama bikira maria!
Mzee alikuwa anapata inspiration moja kwa moja kutoka kwa Mungu ila halikuwa hajagundua hilo. Alikuwa anasikia sikia sauti kichwani za nyimbo. Hiyo ni sauti ya Mungu. Mungu ni mwema sana. Hongera sana Baba.
Kweli kabisa
Mungu akuabriki sana mzee Mwarabu
Safi mzee wetu mungu akubariki sana
nimekoshwa sana na nyimbozake nauliza kunasidi zake za nyimbo je mtu ataipataje
Wawooo mwalimu unanikusha mbali
kongole kwako mzee Mwarabu kwa nyimbo nzuri.
Nashukuru kukuona laivu mzee wetu mwarabu, barikiwa sana
Mungu ambariki sana mzee Mwarabu
Nimefurahi kumwona mzee wetu.
Nimefurahi kumbe wimbo wa sadaka ni wake..!
Mungu azidi kumuimarishe daima.
Mungu azidi kukubariki
Pamoja na malaika,hongera Sana
Mungu akubariki sana Pascal Frolian Mwarabu, hakika tunaburudika na nyimbo zako na tunatafakari vyema neno la Mungu
Hongera baba kwa uimbaji na utunzi
Utume mwema katika Bwana wetu yesu christu
Nimependa historia ya mzee wetu hakika amenigusa
Amina Sana ubarikiwe Sana Babu Mwarabu
Hongera baba nmekumbuka mwaka 88 nkiwa kanisani mm na mamagu nababangu wimbo wa tupeleke zawadi
Nyimbo zake za mama Maria hufanya nilie wakati nikiomba rozari 😢
Je, naweza pia kupata historia ya: J.S.Mgandu, Fr. Kayetta na F.A. Nyundo??
Hakika mzee mwarabu Mungu akupe afya
mzee paschal Hongera sana
mzee ubarikiwe sana kwauinjirishaji wako ..kupitia nyimbo..
Mungu akubariki sana
Sawa mzee
Roho wa Mungu anafanya kazi ambayo kwa akili ya kawaida tunasema ni "miujiza" au "maajabu" Tumwombe Mwenyezi Mungu atuongoze kwani IMANI yetu imesongwa na mambo mengi.
Tumsifu yesu kristo
Ubarikiwe
Hongera mzee Mwarabu...tunda la kanisa
milele Amina, wow
Kanisa limtunuku kwa kuthamini utunzi wake kwa mchango wowote ule hata malipo ya hizo nyimbo
Ala! Mtunzi P.F.Mwarabu hakusomea mziki? Hii yake basi ni kipaji halisi kutoka juu.Yakobo 1:17
Naomba Namba ya Simu ya Mkono ya Mzee P.F. Mwarabu, kama inawezekana.
Heko
Mungu na akubariki sana