NKUNDA STAR Amemchana SHILOLE KISUKUMA, Amesema YEYE HAMTAKI tufanye MUZIKI TUACHE KIKI
Вставка
- Опубліковано 6 вер 2024
- THE PLAYLIST - Monday to Friday on 100.5 Times FM,
Time: 2pm to 6pm.
Host: Lil Ommy.
Subscribe, Watch, Share.
Niguse kwenye social networks:
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.
Nimependa sana point yake ya ''kuna watu wana album ya fally ipupa na hawajui kaimba nn lkn mziki hauna lugha''
_ ___vancs kwelii ata mm nimemwelewaa
Umetsha Kinom Nom Mzee Baba... Alaf Pia Nakukubali Sanaa
Nakubali sana mkuu umetuwakilisha vyema
kilugha kinaladha sana Mimi mwenyew nngejua kichaga nngetokea
wakilisha baba
Pamoja sana ngosha wakilishanga
jamaa ni #sarkodie flan ivi wa bongo, Big up to him
DJsolotz kwelii na mara ya kwanza namsikia mi nilijua ni srkodie kabisaa
kiswahili
Kumbe Majanja😁😁😁😁😁
umeeleweka sana. big up sana Nkunda
Liyanda lya mukaya shinyanga getee wasukumaaa like zenuu
Nakwigwaga ngosha
Kuwa mkweli broo hatakisukuma hukijuwi wew ⛅ sun kila kitu kitakuwa wazi Tunakuja BHAHEHI! OFFICIAL 🎷🎹 NIZELAGA IDEBE
Nimeeipenda hii interview,, lil omy all the best
ngosha dimaga aaaaaa!!!!
standard keanza tafsir ya music khauna lugha
dhoho shida mwanangu shabikizako tupo
Laurent nkunda nimkongo
Saluti sana
Olechiza nyanda
Nkunda ni ninapenda sio upendo so we una nickname inaitwa napenda star.
Nalekobhona nyanda okaya
Big up superstar
Mkuu nakbliii sn
Dimaga
kwanini huyu jamaa namsikia leo?
Wasanii wakwetu hasa wasukuma wanyamwezi huwa hawapendi asili Yao wakiingia mjini Ila huyu tungekua kama watu wakskazini nimond tz saiii
Mmmhhh
Poa