Katika dunia akuna kipia viote vilitendeka tangu zamani, nawengine ni maremixy tu, ila remixy inashindaga origino; natunatakiwa kujuwa siyo hawo ambao wemejiongoza bali ni Mungu❤
WOW, J'adore. Vous êtes formidables et performants. Nimetcheka sana surtout ule mwenyi ame jazwa ame amehanguka tchini. Marelle, mes bisous. Tu es aussi bonne comme tes frères chanteurs . Félicitations !
Sisi ni WA CONGOMANI kabila la wabembe iyo ndomila yetu nanyimbo yetu ya kiruga wakimsifu MUNGU wetu❤ kama imekura acha kuhitazama nimetuma comment iyo kwa wale wote wanao sema kwamba vijana wamekosea sio kweli NI Mila yetu ila MUNGU ahilinde FIZI yetu na mila zetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ujinga huu nawatu wana shangilia, Ndugu zangu Mungu haziyakiwi kama mmehamuwa kumtumikia Mungu basi msijanganye janganye mambo tafazalini san, Bible hinasema kwamba muovu naha zidi kufanya san uovu wake, namtakatifu na haziti kujitakasa
Lémbaaaaaaaaa❤. Big up bros
Mungu awasaidie ndugu zg nyinyi ni waimbaji wazuri sana.( Ev. Emmanuel Rajabu) ukikumbuka jina langu lakizalikio Amimu Rajabu.
Mnachanganya mambo sana kaeni fasi moja msilete mzaa Mungu aziakiwi 😢😢
Dada nimekubaliana wewe opinion yako huku sahihi
🎉❤nakubali sana wa bembe hoyeeee🎉🎉
Acheni vijana hao walitaje jina hilo la Yesu! Ndivyo Bwana wa ma Bwana huja na kuokoa bila mtu kujuwa! Hapo patatokea waimbaji wapya kumtukuza Mungu.
Nitapenda hikiwa hivyo
Katika dunia akuna kipia viote vilitendeka tangu zamani, nawengine ni maremixy tu, ila remixy inashindaga origino; natunatakiwa kujuwa siyo hawo ambao wemejiongoza bali ni Mungu❤
Mungu awa bariki
Mwakoleehhh hitangaza msomo wa ése na mwakoleehhh long éeeeh
WOW, J'adore. Vous êtes formidables et performants. Nimetcheka sana surtout ule mwenyi ame jazwa ame amehanguka tchini. Marelle, mes bisous. Tu es aussi bonne comme tes frères chanteurs . Félicitations !
Wote hapo ni watumishi wa Mungu, ila mnapuuzia tu kuimba nyimbo za injili
Mbarikiwe na Bwana
Himbeni nyimbo zenu za kidunia acheni kuchanganya Mungu
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Sisi ni WA CONGOMANI kabila la wabembe iyo ndomila yetu nanyimbo yetu ya kiruga wakimsifu MUNGU wetu❤ kama imekura acha kuhitazama nimetuma comment iyo kwa wale wote wanao sema kwamba vijana wamekosea sio kweli NI Mila yetu ila MUNGU ahilinde FIZI yetu na mila zetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mnahanza boronga tunatawachoka sasa mnahanza leta mzaa
Kk weye unajuwa san kbs🤣🤣🤣😆😆😆😃😃😋😄
Iyo video walishuti SEHEMU NGANI APO , TAFAZALI NAOMBA KUJUWA
Creativity ya music imewashinda sana mfanyeni mziki mnao ufanya
Amena watumishi
Noel njema 🥳🥳
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
💪 kibembe to the World Big up 💪 kwenu Guys🔨
Sawa hiyifimbo kabisa
ni hii nilikua na tafuta
Nimarufuku mwanaume kuhudumia kanisani akifunika kichwa
Merry Christmas, Papa " Huduma ya MAKONDENI MISSION TEAM "inawafuatilia sana kwa wimbo wa NDALO YA TATA.BARIKIWENI SANA.
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Kazi nzuri kabisa
Weto ii weto batana !!!!
Vizuri kaka tusonge mbele ss wa bembe
Hongera sana ila muda mwengine nyimbo za remix tumesha zichoka ,, ubunifu ni muhimu
🤔
Nawakubali sana ❤❤
Mubarikiwe wabembe popote mulipo amen
mungu awabariki 🎉🎉🎉😮
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Munajuwa sana tena sana
Sadi baba ameokoka
Mungu ana wahona😂😂😂hiyo himeendaaaaa😂😂
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Mubarikiwe vijana
Mmhhhh si amini
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Mbarikiwa kwa yote Mnayo fikiria.
Naona mumelewa sifa Endeleeni hivyo mtaona kitu
Good job broo
Twawapenda sana vijana wetu 🥰🔥
Amen mubarikiwe ndugu zangu
Nakubali apo kabisa
😂😂😂❤❤❤ ila imenifurqhisha sana wow ❤❤❤
Asant san kwa kaz yenu
mungu awabariki sana vijana wetu.
Mmmm atuelewi sasa
Christmas njema❤
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Noël njema kwa wote
Vipaji uhangaza semu yeyote. Aijalishi niahina gani ya music .
Bali skia ujumbe.
❤️😍yamwaka
From Burundi I love your songs
Mbona munarudiliya nyimbo zazamani ivo kwanini musiwe na himba zanu
Safi saan❤❤
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Nicely 🎉🎉🎉❤
Nikali sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤yeyeyeyeyeyeyeyeyeye muhelelweeeee na mweneômbe Abeca Tata
Seen by Taxmbwex inne king
Mubalikiwe
M'mbondo music
💥💥💥bumm
Baru ajuwi kupiga kayamba 😂😂
Unahanza Boronga SAsa
Vu par Léon pro 💫
pamoj san bana bétû
Nahipeeeeeenda
🎉🎉🎉.
Merry Christmas
Dieu que vous bénisse à tous ❤❤❤
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Nice song
Mimi wajomba zangu ni wabembe wa fizi niko mufulero mulemera hapoel mumechemsha
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
mlimaanisha nini usenge tuu
👌👌🙏🙏
❤❤❤
❤❤❤amen and Amen amen 🙏🏾 ❤❤❤❤
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ amen
❤
Mmmmmmmmmmmmm aman
Sadi 😁😁😁
Nice
Amen
🤣🤣kiteramo
ua-cam.com/video/ot9_FhO_ipk/v-deo.htmlsi=H0vQf551Q5Diyjr5
Amen 🙏
Mutafute messenger
😁😁😁😁😀😀😀😀 mmeanza comedy sasa
ila hongereni
🇨🇩🇨🇩🇨🇩💙❤️💙❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🙏🙏🙏
Okey thanks
See by Alfred Og
🤣🤣🤣🤣🤣🎄🎄🎅🎅🎁🎁
Munitumiye namba yenu
hii ni ujinga, mumesahau kabla bado hawajakuja na yesu wao, tulikuwa na miungu zetu.
😂😂😂😂😂
💞 'promo sm'
Kaheni hata mwezi amtowi nyimbo sio Lila Siku mziki ndo sababu mnahanza boronga sasa au cameramen wenu ni wa bure
Ujinga huu nawatu wana shangilia, Ndugu zangu Mungu haziyakiwi kama mmehamuwa kumtumikia Mungu basi msijanganye janganye mambo tafazalini san, Bible hinasema kwamba muovu naha zidi kufanya san uovu wake, namtakatifu na haziti kujitakasa
🤔🤔 Cousin, mbona mwachanganya mambo jameni? Je mume okoka ama mna mkashifu Mungu? You guys are jokers!
Nakupa view matako wewe 0:12 @bernard
Amena watumishi