GODY YANGA AUWASHA MOTO BAADA YA KIPIGO VS MC ALGER | ALIA NA MAJERUHI | AWATAJA AUCHO & MZIZE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 196

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Місяць тому +3

    Godi hahahaahahaa kawa mpoleee kama maji ya mtungini hahahahahahaa kazi ipo kweli 😂😂😂😂

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd Місяць тому +3

    Huyu jamaa kweli amevurugwa

  • @Najizilmuhsinina
    @Najizilmuhsinina Місяць тому +3

    Mbona unaapa utarudi na ushind sema ishaallah

  • @BahatiAthuman-v3v
    @BahatiAthuman-v3v Місяць тому

    God yanga daima mbele nyuma mwiko wananchi hatupaswi kukata Tamaa.

  • @Maradona2857
    @Maradona2857 Місяць тому +18

    Kachanganyikiwa huyu. Anahisi mechi ya Al hilal waliyopigwa anahisi ilikuwa ugenini.

    • @deogratiusvalentino6248
      @deogratiusvalentino6248 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @SuleimanBarnaba
      @SuleimanBarnaba Місяць тому

      We boya kaa kmya

    • @HamisiOmaryHussein-jp5pt
      @HamisiOmaryHussein-jp5pt Місяць тому +1

      wameomba hiyo mechi ichezwe dar pumbavu fuatilia mambo iwe ugenini au home mechi ipo dar

    • @halimasengo2814
      @halimasengo2814 Місяць тому

      ​@@HamisiOmaryHussein-jp5pthakuna mechi inachezwa libya ndo wamechagua uwanja wao wa nyumbani

    • @halimasengo2814
      @halimasengo2814 Місяць тому

      ​@@HamisiOmaryHussein-jp5ptwameomba lini tupe ushahidi ila mshabiki wa Yanga 😂😂

  • @ShaabanJuma-s3z
    @ShaabanJuma-s3z Місяць тому +1

    Daaah kweli kachanganyikiwa uyo mzuiyenii

  • @NathanaelKatundu
    @NathanaelKatundu Місяць тому +1

    Clement akicheza mnamsema asipo cheza mnamtaka. Nakumbuka last year mechi za Mamelodi alisemwa Sana Mzize.. 😂😂😅

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h Місяць тому +2

    Muamsheni huyu atakojoa kitandani mwambieni kumekucha😂😂😂😂

  • @sophiadaffajohn8116
    @sophiadaffajohn8116 Місяць тому

    Mwachen aongee limtoke 😂😂😂😂😂😂

  • @Aed126
    @Aed126 Місяць тому +3

    Zarau na kibri sio nzuri kabisa.

  • @ShaabanJuma-s3z
    @ShaabanJuma-s3z Місяць тому +1

    Mim niliskia young wayo kikos kipana huwa inamaana gani iyo sikwamba akitoka mtu anakaa mtu au mm sijua ndugu zangu nisaidieni apo😂😂😂😂❤😂

  • @JeremiahWilliam-d6d
    @JeremiahWilliam-d6d Місяць тому +2

    Ukweli yanga Wamechenza vizuri sana

  • @bonisachubwa1046
    @bonisachubwa1046 Місяць тому +7

    Huyu anasema atashinda kwenye michezo ya nyumbani je mechi ya kwanza alishenyetwa wapi😂😂😂😂😂

  • @bakaribakari167
    @bakaribakari167 Місяць тому +3

    Kweli mzaz hamtupi mwana bado ujinga huo sema hatupo sawa timu yetu

  • @lukumbitu_micronutrients1769
    @lukumbitu_micronutrients1769 Місяць тому +3

    Huyu kaanza kupenda mpira yanga ya Mayele 😅😅😅mpira mchezo Wa wazi team yetu ipo chini ya kiwango no doubt bana hapo robo uongo

    • @HamisiOmaryHussein-jp5pt
      @HamisiOmaryHussein-jp5pt Місяць тому

      Nyie mbwa mshasahau na wandishi wenu uchwara kakazania oo mmefungwa goli 4 kasahau kolokwinyo alipigwa goli 14 mechi 3 na alipita kwa point 9 pumbavu mnapenda mpira hamjui history

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 Місяць тому +1

    Bahasha hazifanyi kazi CAF

  • @jaffarishabani
    @jaffarishabani Місяць тому +1

    yanga sioni kama itachomoka Lubumbashi salama

  • @halimasengo2814
    @halimasengo2814 Місяць тому +1

    Michezo mitatu ipi jmn 😂😂😂😂,huyu akili hana huyu

  • @azizajamary576
    @azizajamary576 Місяць тому +4

    Huyu kachanganyikiwa kwa hiyo ibenge anakuja tena kucheza kwa mkapa 😂😂😂😂😂😂

  • @IbrahimBuliga
    @IbrahimBuliga Місяць тому +5

    Kakojoe ulalee! Familia inakusubiri home uto

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson Місяць тому +1

    Hawa wengine waliingia kuisha gilia Yanga baada ya kuona Mayele. TIMU HATUNA

  • @MaryTz-i2z
    @MaryTz-i2z Місяць тому +1

    Mnajipoza kwa simba,,,semeni.mmeshenentwa

  • @SaumuHassan-sf5zk
    @SaumuHassan-sf5zk Місяць тому

    Well said God Yanga

  • @zuriaIbrahim-o5m
    @zuriaIbrahim-o5m Місяць тому

    Aucho daima Yanga inapoingia mashindano makubwa anakuwa majerui backluck

  • @HenryMnemba-t5q
    @HenryMnemba-t5q Місяць тому

    Tatizo YANGA kubwa kuliko kocha yan kocha hana mbinu mbadala zozote

  • @bonifacelugo2941
    @bonifacelugo2941 Місяць тому

    Hapo yanga hana chake tena

  • @erastomnyavanu8680
    @erastomnyavanu8680 Місяць тому +1

    Yanga inawapa wakati mgumu sana kuizungumzia

  • @HassaniUlenge-j5j
    @HassaniUlenge-j5j Місяць тому

    Usiseme majeruhi timu msimu huu haileweki kabisa angalia hata umbo la wachezaji jana uwanjani ovyo ovyo tu umiliki pia ovyo ovyo pasi wachezaji wanapoteza tu sasa nn kocha wetu hajui

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 Місяць тому

    leo umekubali nyumamwiko hakunakayoko ubayaubwela

  • @Jamalybella
    @Jamalybella Місяць тому

    Huna jipya mbwa wew😂

  • @BoniphaceGwau
    @BoniphaceGwau Місяць тому

    Usiwape matumaini ya uongo yanga ni mbovu

  • @controlroom9210
    @controlroom9210 Місяць тому +1

    Kweli mtu akitaka kufa huwa anaonyesha matumaini🤣

  • @IdrisKabenza
    @IdrisKabenza Місяць тому

    Niliwah kusem mchez na namungo mtashinda ila game na waarab hamuez kutoboa na namungo wangewafung ingekuw ttz zaidi

  • @PhilipoMassawe-k5l
    @PhilipoMassawe-k5l Місяць тому

    Simba wanacheza mechi zetu

  • @SaumuNuruFerooz
    @SaumuNuruFerooz Місяць тому

    mnajiona yanga niyakwenu mnabaguwa wenzenu mnamuona alikamwe kamamungu mnaitia nuksi timuyetu

  • @MustaphMat2
    @MustaphMat2 Місяць тому

    Kweli ww kiboko ya madunduka ebu karudie kuangalia mechi ya Al Hilal ulicheza wap.

  • @nurdiniabdillahi3558
    @nurdiniabdillahi3558 Місяць тому

    Yanga bingwa wa mchongo wengine machapion kweli

  • @barakamwakilema
    @barakamwakilema Місяць тому +1

    Yanga bado ina nafasi kubwa huwez kumzuia mtu kuzomea na kuongea chochote maana nao hiyo ndiyo furaha yao wamepata cha kuongea kufungwa kwa yanga,Ni kipindi cha mpito tu na kitapita,chui hata akikonda vipi hawez kua nyau,

  • @raymondmmbag4647
    @raymondmmbag4647 Місяць тому

    Timu hachezi vizuri.hakuna mahali wanaenda

  • @khadijajumanne3324
    @khadijajumanne3324 Місяць тому

    Marehemu hakosi sababu

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 Місяць тому +3

    😂😂...Heri ncheke mie

  • @khadijajumanne3324
    @khadijajumanne3324 Місяць тому

    Hiyo ndio nyumba mwiko

  • @salummbau6788
    @salummbau6788 Місяць тому

    Tunataka mashairi, mashairi mashairi tafadhariiii

  • @alitante4279
    @alitante4279 Місяць тому

    Mbilimbili fc chalii hoi bin taban

  • @ErickBahati-j9m
    @ErickBahati-j9m Місяць тому

    Punguza domo,hiyo domo ndo inawauwa,hâta Lubumbashi hamutobowi mutarudi n'a viyatu mikononi

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 Місяць тому

    Jinga hili kwahiyo hiyo miwili ndo unadhani ilikuwa migumu sasa kaani vizuri mnaweza kuishia kushika mkia

  • @lawlencekalenga4212
    @lawlencekalenga4212 Місяць тому

    Muende mkachukue million kumi Kwa Mwalimu aliahid yanga ikifungwa atatoa hyo hela na mc alger

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 Місяць тому

    HIYO YA REFA SIO SAHIHI.REFA ANGEWABEBA JANA,ANGEWAPA ILE PENATI

  • @abouAtqaah
    @abouAtqaah Місяць тому

    Vipi bado malaika waletwe au basi

  • @HamisiOmaryHussein-jp5pt
    @HamisiOmaryHussein-jp5pt Місяць тому

    kuna Dickson job kuna Boka kuna Mzize kuna Aucho wee huogopi

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 Місяць тому +1

      Ira yanga wepesi sikuizi jana wameachia mikunfu wazi wakajua waalabu ni wepesi afu bao mbili tu anataka apigwe yanga avaagi chupi yanga ni mikundu kunuka t

  • @EliyaKudaga-u4q
    @EliyaKudaga-u4q Місяць тому +1

    Tp hamtok mtajua sili nguvu ya mamba kwenye maji

  • @ZuberiNkumulwa
    @ZuberiNkumulwa Місяць тому +1

    Hhhh.utapenyaje sjaona timu utakayoifunga pole kanywe supu jangwani

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne Місяць тому

    Yanga atashinda timu za gsm tuuu

  • @nassormbarouk
    @nassormbarouk Місяць тому

    Mwaka huu hata alama 3 hamupati

  • @salomemahenge7935
    @salomemahenge7935 Місяць тому

    Naumia sana yani ila yanga yetu saizi imepotea sana lobo sizani kama tunaingia

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk Місяць тому

    Timechoka Yanga wachezaji kocha hovyo

  • @bonifacemollel87
    @bonifacemollel87 Місяць тому

    Mtamkumbuka Gamondi baada ya miaka 25 Gamondi amekuja kuwapeleka Robo fainali mkamtoa leo hii mnaishia Group stage

  • @BabaMkuu-q4n
    @BabaMkuu-q4n Місяць тому

    God kweli nafasi ipo lkn kwa kochi huyu kweli

  • @Najizilmuhsinina
    @Najizilmuhsinina Місяць тому

    Jipe moyo mzee .. Ila yanga haina mfumo wa ushindi.. Mpira ukishavuka mstar Wa kati sio wenu tena

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u Місяць тому

    Umeongea vizr sana lkn nyumbani pia ulipoteza

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk Місяць тому

    Hatuna kocha wa kutuvusha makundi

  • @RichardMbugi
    @RichardMbugi Місяць тому

    Mpaka muombe misamaa haiwezekan ujitambe kuwa hakuna tim yakuwafunga mpaka tim maraika washuke sasa subilini maraika aondoke ndipo utashinda

  • @ErickBahati-j9m
    @ErickBahati-j9m Місяць тому

    Hâta TP mazembe itawazinguwa,wana yanga domo mnayo

  • @bk8516
    @bk8516 Місяць тому

    Tutaelewana tu..

  • @petermboye5284
    @petermboye5284 Місяць тому

    Nilimwambia wakitoboa Robo niko paleee

  • @SylasShinyanga
    @SylasShinyanga Місяць тому

    Hahahaha amepagawa huyo

  • @lawlencekalenga4212
    @lawlencekalenga4212 Місяць тому

    Kweli kichapo kinachanganya akili

  • @ShaabanJuma-s3z
    @ShaabanJuma-s3z Місяць тому

    Uyo jamaa wa nyuma apo anachanganyikiwa god unaongea pumba ondojaa apo mpishe yeye😂😂😂

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 Місяць тому

    USHALEWA POMBE SHEHE SIO AKILI YAKO

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 Місяць тому

    achana na hesabu za salama ngale kwa hao wengine watakuwa wamesimama acha utoto

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 Місяць тому

    Tabora bingwa wa nchi gani vile?
    Hawa mapimbi kilichowasaidia ni ile namungo(GSM)
    YANGA BILA BAHASHA si sawa na team ya upinde 🌈 🏳️‍🌈

  • @leonardmhina4004
    @leonardmhina4004 Місяць тому

    Suburi supu tu mpira auchezwi mdomoni

  • @EricKiza-p7u
    @EricKiza-p7u Місяць тому

    Kipigo kinamchanganya amesha sahau😂

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 Місяць тому

    huyo mchekeshaji mpira hajui et mazembe endeleeni kujidunga na dubeday

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 Місяць тому

    Tutarudiana na Al Hilal Ouduman hapa hapa.😂

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 Місяць тому

    kubalini maneno ya haji nakutuma kwa sef buguruni akupe mpira ulivo

  • @smiletv1405
    @smiletv1405 Місяць тому

    Hatuna kocha jamani

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 Місяць тому

    Al hilal mmecheza Mae mchana na mmefungwa

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Місяць тому +2

    Wana Yanga tujipe moyo mana yote ni maisha 🙏🙏

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Місяць тому

    Huo ni uongo wachezaji 2 yaani Aucho na Mzinze ndo wamebaki tegemezi ? Tukubali tatizo ni coach tusiwakaumu wachezaji viongozi wetu wajitasmin

  • @mjinjasagamambi7531
    @mjinjasagamambi7531 Місяць тому

    Kwa uchezaji huu wa timu ni ngumu kufuzu

  • @franccoz94
    @franccoz94 Місяць тому +1

    Watakataana tuu huko,mbele hapoo ndoo watajua mwaka robo ni ngumuu

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 Місяць тому

    Timu inaonesha ilipata ubingwa wa ligi kuu kimagumshi.😂

  • @AbuuBakar-h7n
    @AbuuBakar-h7n Місяць тому

    Usemaje bado michezo 4 kisha unasema michezo 3 mnacheza hapa nyumbani unasema wa ugenini ni 1 tu unasahau wa ibenge ugemini😂😂😂😂😂

    • @ShaabanJuma-s3z
      @ShaabanJuma-s3z Місяць тому

      Anajipa moyo tu hataki kujuwa machungu kwanza anavyoongea tu lkn akili yake apo haina akili

  • @AlexKabogo
    @AlexKabogo Місяць тому

    Hahahaha😅 kimeumana

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Місяць тому

    Na refa amewabeba ila hambebeki 😂😂😂

  • @AbuuBakar-h7n
    @AbuuBakar-h7n Місяць тому

    Nani kasikia tutaludiana na al hilaly omdumani hapa hapa kumbe hawa jamaa kweli akili kisoda 😂😂😂😂😂

    • @kassimkassim6386
      @kassimkassim6386 Місяць тому

      Ni sahihi jamanaa wameomba wachezee hapa hapa kwa mkapa

    • @AbuuBakar-h7n
      @AbuuBakar-h7n Місяць тому

      @@kassimkassim6386 kama ni hivyo sawa

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm Місяць тому

    Si mumetaka kucheza na malaika nyinyi

  • @sabinibra3513
    @sabinibra3513 Місяць тому

    Kwanza inavyoonyesha kashachanganikiwa msikilze tu kwa makin utagundua.. kiuhalisia Yanga amabikiwa na michezo minne yani miwili nyumbani na miwili ugenini yan ukimsikilza kwa makin huyu jamaa utagundua kashapotea huyo sio yeye kabisa kabisa et anasema ana michezo ya nyumbani mi3 na mmoja wa ugenini TP mazembe😂😂😂🙌🏻

  • @AbuuBakar-h7n
    @AbuuBakar-h7n Місяць тому

    Huu ugojwa sana unamtaja Ibenge aje tena kwa mkapa au bado mnazikumbuka zile timu zisizo na kwao mlizokuwa mnacheza nazo nyumbani na kuzipiga 6 6 😂😂😂😂😂😂😂

  • @bahatimashauri3945
    @bahatimashauri3945 Місяць тому

    Uyu jamaa ameshavurugwa n timu lake bovu Yan anasema bado mechi 3 uwanja wa Benjamin kivp wakati tayar ameshacheza mchezo mmoja nyumbn bado Tena mitatu jmn mashabiki wa yanga adi huruma

  • @GidionNyau
    @GidionNyau Місяць тому +1

    Hawa watu wa dar,ndo wanatupotoshaga, mjinga huyu

  • @kheiromar3932
    @kheiromar3932 Місяць тому

    Yanga kufuru ya maneno mliosema muletewe malaika mcheze nao hayo ndio matokeo yake, ebwana m/mungu haingiliwi kweny maeneo yake, tubieni na badilisheni kauli zenuu.

  • @JohnJoakim-w3g
    @JohnJoakim-w3g Місяць тому

    Meshenyetwa na muendelee kuomba mletewe malaika Duniani hakuna wa kujifunga Yanga

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Місяць тому

    Unashindaje bila aucho katikati mchezesha timu unamuweka duke abuya mzee wa backpass na unashindaje ndani anacheza kibabage jitu fupi hii timu yangu safari hii imeniumiza alafu maumivu yameisha saizi inanichekesha😆😆😆

  • @abdallahluhinda
    @abdallahluhinda Місяць тому +1

    Kwisha habari yenu,koma mkomae

  • @mariowatz5814
    @mariowatz5814 Місяць тому

    kumbe yanga inawachezaji wawili2 aucho na nzinzee sio

  • @ismaelmwinyi921
    @ismaelmwinyi921 Місяць тому

    Michezo ipi mitatu ya kushinda,huyu anaumwa nini?

  • @fmngombaela551
    @fmngombaela551 Місяць тому

    umechanganyikiwa nyambafu jiite jina la baba yako siyo Godi yanga fala wewe mazembe unawaowazarau wanakuchapa Kennedy maji wewe

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 Місяць тому

    KACHANGANYIKIWA HUYU HAJUI KITU.Na MSIPOANGALIA MTAMALIZA WA MWISHO KWENYE HILO KUNDI LENU,..😅😅😅