JE, NABII ADAM ALIKUWA WA RANGI GANI? MASWALI KWA SHARIIF ABDULQADIR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Khutba hii imetolewa Masjid Nuruyaakin Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania Tarehe13/8/2021, ilitolewa kwa Lugha ya Kiarabu na Sheikh Shariif Abdulqadir na kutafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili na Sheikh Awadhi Solu, ikifuatiwa na darasa ya maswali na majibu , inshaallah fatilia hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu na Allah atawalipeni.

КОМЕНТАРІ •