KWA UCHUNGU DIAMOND AFUNGUKA MAZITO KWA WATU WANAOMSHAWISHI ZUCHU WAACHANE ILI AVUNJE MKATABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @Jal210
    @Jal210 17 годин тому

    Wewe Diamond ndiyo zako

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 2 дні тому +3

    Namshahuri atoke kabisa. Aachane na wcb.

  • @anisaali5979
    @anisaali5979 День тому

    Mapenzi yamekwisha lakini kazi iendelee kwa sababu hapo mwanzo sio mpenzi yalompeka WCB

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 8 годин тому

    Ndio shida. Ya kuchanganya mapenzi na Kazi, na DAI hujui kuheshimu mapenzi ndio hapo unapofeli,kumbuka madui walishakuzi Kwa kukushusha lkn kupitia zuchu anavopendwa na wewe chuki imekua Haina uzito Tena,unasahau ulipotoka DAI, we we ndio chanzo

  • @salahathuman-i9w
    @salahathuman-i9w 10 годин тому

    Usjali simba wangu kwani kabla ya zuchu wcb ilikuwa ipo hivyohvyo na hata akiondoka yeye bado itabaki kuwa palepale wasikusumbue akili endelea kupiga kazi kaka

  • @WTC492
    @WTC492 2 дні тому

    Hivi jamani naomba niulize huo wimbo unaopigwa kwenye background ya tangazo ni WA nani?

  • @AllyShamtee-yw2cr
    @AllyShamtee-yw2cr День тому +1

    Ningemuomba atulie hapo maan angeangalizia kwa mavoko ndio itampa funzo huenda akafirisika