Man believed to have died, buried returns alive

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 вер 2022
  • A family in Gatwikira village, Kandara, Murang'a County has been thrown into confusion and disbelief after their kin who was presumed dead and buried turned up alive. The family of Joseph Kiarie will now have to exhume the grave where they had buried the body of the person they had mistaken for his

КОМЕНТАРІ • 91

  • @stephenmukaabya8442
    @stephenmukaabya8442 Рік тому +14

    So then the lingering dusturbing question is whose remains did they burry?

  • @maggiebernard
    @maggiebernard Рік тому +5

    That was too fast mtu anakosa kuongea only 2 months na mnazika ati ni yeye

  • @b.3940
    @b.3940 Рік тому +12

    My name is also Kiarie and my family members thought I had died since I had not communicated with them in 14 years. Walishangaa nilipowapigia simu nikiwa JKIA wakanipata na wife wa kizungu na watoto 2. Hili jina letu Kiarie lina mambo.

    • @mamamyles
      @mamamyles Рік тому +1

      Pia wewe 14yrs yote what were you up to?

    • @mweenemakinya.8541
      @mweenemakinya.8541 Рік тому

      Simu ya kuingia u-tube umetoa wpi

    • @b.3940
      @b.3940 Рік тому

      @@mamamyles shame of having come to America and was not doing well sababu nilikuwa sina makaratasi.

    • @oseredavis9771
      @oseredavis9771 Рік тому

      Uko sure hizi sii story za Jaba?

  • @RKBro-jr1ts
    @RKBro-jr1ts Рік тому +13

    This stories have been too much waaah,there was another in Bungoma last week

    • @nerthaa6431
      @nerthaa6431 Рік тому

      actually i have come to watch that from bungoma .am wondering were are we heading 😭😭😭lord have mercy

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 Рік тому +5

    Kiswahili rounded off to the nearest mother tongue.
    Yule Kíarie wangu ako kwa shimo(Kíarie wakwa ùrìa njúì e irima.)🤣🤣

  • @dorcasmwangi7664
    @dorcasmwangi7664 Рік тому +6

    This is my home county, oooh my God, how did this happen?

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 Рік тому +6

    They would have asked themselves kweri ní Kíarie?😂😂

  • @jnjn2136
    @jnjn2136 Рік тому +2

    Ameni bro Wangu alitoka home 10yrs ago hapigi hata simu so hatujui ka ako hai au hayuko

  • @mamayake
    @mamayake Рік тому +9

    Kwani they don't know how their kin looks like?

    • @ranjusranjus143
      @ranjusranjus143 Рік тому

      It's very tricky identifying a dead body. Unless you know the person intimately well, wrong identity is by very easy.

    • @queenbee1588
      @queenbee1588 Рік тому +3

      Me and my tattoos nobody will mistake my body

    • @ranjusranjus143
      @ranjusranjus143 Рік тому

      @@queenbee1588 if you are black skinned and the tatoos are black.....ever seen a dead body?

  • @Kwambo442
    @Kwambo442 Рік тому +11

    Upata kuna mtu alifaint kwa hiyo matanga

  • @faithbreezy628
    @faithbreezy628 Рік тому +7

    Alafu,watu siku hizi wamekuwa na haja Sana na mtu amekufa kiliko mwenye ako uhai,sijui ni juu ya utamu was matanga ama,hata wanjala wa masufuria huko Bungoma alizikwa tu😂😂

    • @queenbee1588
      @queenbee1588 Рік тому

      Una kufa njaa watu wana kula vizuri kwa matanga yako

    • @faithbreezy628
      @faithbreezy628 Рік тому

      @@queenbee1588 Hahah 😂😂😂

  • @karanjagladys1827
    @karanjagladys1827 Рік тому +2

    Nahutokea wapi after hii mambo ikifanyika nawanajua aje kuna mtu amezikwa home akidthaniwa niyeye

  • @elizabeth100mm7
    @elizabeth100mm7 Рік тому +1

    Watu wafunguke macho mjue ya kwamba Wachawi wanachukua watu wenu wanaeda nawao kisha na maana wanawafanyia miujiza mnawekewa migomba ya madindizi au ngurue ama mbwa amepakwa dawa za kichawi inafanana mtu wenu sasa ukipna kabisa unaona ni fulani ame fariki kumbe sio mtu,na sasa hao watu wanaeda kutumikizwa na wachawi ,ikiwa ikiwa hiyo familia ni ya waombezi yule mtu anarudi,ikiwa sio watu wanao mjua Mungu basi mtu wenu anaishi uko ahad kifo chake milele

  • @richardosogo5370
    @richardosogo5370 Рік тому

    How

  • @favoured0016
    @favoured0016 Рік тому +2

    Woooie si huyo nî mtoto wa mtu Tu amezikwa sasa family yake nayo aje 😭😭

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 Рік тому +1

    Can imagine the meeting en family mourning.watu fainting na out side catering.

  • @fredrickkevogo
    @fredrickkevogo Рік тому +1

    This people have made someone's body to rot, now how will the owners of the body identity cause i believe that it's now rotten beyond recognition,...some people must be jailed

  • @shebeshshebesh828
    @shebeshshebesh828 Рік тому

    Ooooh njirani yangu poleni xna

  • @shirungati6098
    @shirungati6098 Рік тому

    so who did they bury?

  • @emillyolunga4103
    @emillyolunga4103 Рік тому +4

    Majaabu yaendelea

  • @tujutuju2567
    @tujutuju2567 Рік тому +4

    Hapa ndio kwa Alice wahome kandara?

  • @mainasteve9202
    @mainasteve9202 Рік тому

    Ti kiarie....weh

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 Рік тому

    @Mike Rúa come here uone kweri nì Kìarie🤣

  • @DiasporaGikuyuTv
    @DiasporaGikuyuTv Рік тому +1

    Kwani Kiaria hajui Kiswahili na alikuwa Nairobi😂😂😂

    • @lynnmemoo8106
      @lynnmemoo8106 Рік тому

      Ety kuchapa simu😃😃😅😅😀😀😀😀😀

  • @benmwangi8094
    @benmwangi8094 Рік тому +1

    kiarie we kiarie wee sio kiarie haaaa

  • @lawrencenduru
    @lawrencenduru Рік тому +1

    Hahahaha, kanaitwa Karie. Nika dingoo kahomie.

  • @evancejohn1294
    @evancejohn1294 Рік тому +1

    Je,na watu wa catering walicheza kivyao??

    • @queenbee1588
      @queenbee1588 Рік тому

      Hii poverty ya hapo hairuhusu catering. Waombolezaji wali kula waru na chai

  • @beatrice8742
    @beatrice8742 Рік тому

    Yvone baby yow

  • @updateworld6010
    @updateworld6010 Рік тому

    Hii ndo shida za kutoangalia maiti......mngejua ......always always obey the dead they need that respect!
    Hakungekuwa na hizi

    • @queenbee1588
      @queenbee1588 Рік тому +1

      Kwa mortuary huwa haku kosi mzee flani kiherehere wa ku identify ati ni huyu namjua vizuri sana nkt

    • @Gwaycee
      @Gwaycee Рік тому

      Watu waliangalia. But kulikuwa na conflicting views

  • @kadzo6614
    @kadzo6614 Рік тому +1

    Yeah right and people still blame us for having tattoos. At least my tattoo will help in such a situation..💔

    • @ghostghst6019
      @ghostghst6019 Рік тому

      What do you mean

    • @maramgriffjey919
      @maramgriffjey919 Рік тому

      Not a must to have tattoos most families have birthmark though okuyu fears the dead bodies they don't do more investigation

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 Рік тому

    This video should just trend🤣🤣

  • @jngigi3981
    @jngigi3981 Рік тому

    Ní kíarie ti kíarie

  • @douglasasanyo6791
    @douglasasanyo6791 Рік тому +9

    Kumbe wasabere ni masikini hivo

    • @philomenameier9354
      @philomenameier9354 Рік тому +1

      Suerly what a questions?? 🤣🤣🤣🤣

    • @RKBro-jr1ts
      @RKBro-jr1ts Рік тому +3

      Huko illicit brew inamaaliza watu mse

    • @wamalwajoyce6608
      @wamalwajoyce6608 Рік тому

      Na venye wanajifanyanga unaezadhani wote ni matajiri

    • @mofatnyingi9352
      @mofatnyingi9352 Рік тому

      @@wamalwajoyce6608 🤣🤣🤣enyewe

    • @pendo6
      @pendo6 Рік тому

      Yesssl enda gikambura kiambu

  • @jeffkaranjafilms6441
    @jeffkaranjafilms6441 Рік тому +4

    That's time travel man

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 Рік тому

    Kuchapa Simu😂

  • @reginakaloki6590
    @reginakaloki6590 Рік тому

    Alice wahomes back yard

  • @halixmburu719
    @halixmburu719 Рік тому

    this is my home aky

  • @tujutuju2567
    @tujutuju2567 Рік тому +2

    Hapa ndio kwa Alice wahome kandara?