KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU (SEH B)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • TAFADHALI ANGALIA SEHEM "A" YA SOMO HILI NDIPO UANGALIE SOMO HILI. KAMA HUJAANGALIA SEHEM "A" ANGALIA KWANZA,NDIPO UTAELEWA.

КОМЕНТАРІ • 46

  • @yusuph1547
    @yusuph1547 4 роки тому +9

    Ninavitu vingi kujifunza nimeelewa sijamfahamu Mungu vizur,ninaamin hata kuomba sijui niakili yangu tu ndio inaomba sio roho

  • @upendowijengo310
    @upendowijengo310 Рік тому

    Mungu akubarik Zaid na Zaid mtumishi wa Mungu.

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 місяців тому

    Amen

  • @SalomeMoturi
    @SalomeMoturi Місяць тому

    Amen ps. Barikiwa

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 місяців тому

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @claracasto7615
    @claracasto7615 2 роки тому

    Pr Ubarikiweee sanaaa

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 2 роки тому

    Bwana akubariki

  • @EsterKasimu-xy1su
    @EsterKasimu-xy1su Рік тому

    Uyo ni mimi jamin maombi marefu adharani nimecheka mchungaji. Mungu akubariki

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 8 місяців тому

    Nimebarikiwa nikiwa hapa saudi Arabia

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 роки тому +1

    Kusema ukweli sijawai kunenea sadaka yangu . sikujuwa ni muhimu. Thanks pastor kwa somo hii. From Qatar

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 4 роки тому

    Hallelulia hili neno ni langu mtumishi 🇰🇪🇦🇪✊✊

  • @francismwakio7988
    @francismwakio7988 Рік тому

    Je Ni lazima kunena kwa ndime kama umejazwa na roho mtakatifu

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 3 роки тому

    Barikiwa mtumishi WA MUNGU

  • @nathanmhuli56
    @nathanmhuli56 Рік тому

    Pr baraka zikuandame

  • @bahatijohn4877
    @bahatijohn4877 4 роки тому

    Ubarikiwee sana

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 роки тому +1

    I feel so much blessed

  • @stevenbenson1499
    @stevenbenson1499 4 роки тому +7

    mchungaji sisi ni watu ambao tunafuatilia mahubiri yako kwa ukaribu sanaa lakini ninaombi nakumbuka siku moja wakati unahubiri ulisema uliandaa chaneli ya mahubiri Tv ili tuachane na kufuatilia vitu ambavyo havifai vya kijinga lakini je unaonaje ukaandaa Group la wasap ambao litakuwa linatumika juu ya malezi yetu ya kiroho na tutakapo itaji ushauri kutoka kwako au tutakalo tumia kuuliza maswali magumu pale tutakapo shidwa kuelewa tunapo soma biblia please fikilia ivoo

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 роки тому +4

      Steven Benson Mungu akubariki kwa wazo jema,kuna group la maombi tayari! Tuma number kwenye infomahubiritv@gmail.com

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 4 роки тому

      Pia mimi nahitaji kujiunga na hiyo group

    • @mishyalrawaili1139
      @mishyalrawaili1139 3 роки тому

      @@MahubiriPrMmbaga pasta mungu akubariki Sana nakuombea

  • @patricejakanyadagi4069
    @patricejakanyadagi4069 4 роки тому +1

    Nmejifunza kuanzia leo

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 4 роки тому

    Ameen

  • @nippermshana9260
    @nippermshana9260 4 роки тому

    Nimebarikiwa Sana , barikiwa pastor

  • @ajemwimodoro5680
    @ajemwimodoro5680 4 роки тому

    Meditation nzur mno ,,,, ,,,barikiwa Sana Pr Mbaga.....

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 4 роки тому

    Mchungaji umenisaidia sana kwa vile nikiomba sikuwangi na maneno ya kusema hata sijawai maliza 10 min kwa maombi. Lakini nimepata jawabu. Barikiwa sana

  • @shijamsoma3147
    @shijamsoma3147 2 роки тому

    Mtumishi wa Mungu unaposema kunena kwa rugha sio kuomba katika Roho unamaanisha nini kuwa 1kor 14:14 Nikiomba kwa rugha roho yangu huomba. Kwa fungu hili unasemaje mbn huineni kweli ya Mungu inavyopaswa kunenwa kama hujawahi kukutana na nguvu za roho mtakatifu Mtakatifu Yesu vizuri utaelewa kwanini kunena kwa lugha ni kuomba katika roho

  • @verynicemkaro7116
    @verynicemkaro7116 4 роки тому

    Inatukuta sanaa jamani Mungu nisaidie

  • @mackynicky8278
    @mackynicky8278 4 роки тому +8

    Mchungaji Mmbaga naomba kuongea na wewe, nakupata kwa namba ipi jamani!!

    • @rosemutinda3076
      @rosemutinda3076 4 роки тому

      Mtafute Facebook lakini hapa huwezi pata jibu Lake

  • @mn9484
    @mn9484 4 роки тому +3

    Ninapotoa sadaka niongee rohoni. Nilijifunza hii kupitia Mchungaji nilipoanza kufatilia Mahubiri TV.

  • @pheniacepaul277
    @pheniacepaul277 4 роки тому +1

    HIvi pastor hili swala la meditation kwa mara ya kwanza nilisikia upagani, naomba kujua inaruhusiwa kutumiwa kanisani pia, na jee mipaka yake inakuaje maan kule upani wanasema kuna mpaka kufungua jicho la tatu. Naomba siku moja utoe elimu juu ya meditation asante wakati ukilifikilia hili ombi langu.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 роки тому +1

      PHENIACE PAUL MEDITATION YA KIPAGANI NI HATARI SANA,INAKUINGIZA KATIKA IBADA YA SHETANI KIDOGO KIDOGO,WENGI HAWAJUI!! UNAFUNGUA AKILI YAKO KUTAWALIWA NA NGUVU NYINGINE,UKWELI NI KWAMBA SHETANI HANA JIPYA,ANACHUKUA VYA MUNGU ANAPOTOSHA,KAMA PALE EDENI ALIVYO BADILISHA. KUTAFAKARI NI JAMBO LA BIBLIA ILA ADUI AMEPOTOSHA. Mwanzo 24:63 Isaka akatoka ili kutafakari kondeni wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.
      Ukipata kitabu changu cha siri ya maombi yaliyojibiwa nimeeleza kidogo. Hata hivyo nitaanda somo hilo
      Zaburi 104:34 Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Mimi nitamfurahia BWANA.

    • @nelsonkyando3411
      @nelsonkyando3411 4 роки тому

      @@MahubiriPrMmbaga asante nimebalikiwa

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому

    mm mara nyingi natumia zaburi 102 kila niingiapo kwenye sala na kunakipindi niliacha lakn siku moja nikiwa nime lala niliota ndoto ambayo inasema nisome zaburi 102 asubuh ile nashtuka tu nikasema acha niangalie hii zaburi inasemaje ndipo nikakuta ni ileile ambayo niliiacha ndipo nikajuwa kuwa kunauhusuano mkubwa kwenye hii zaburi kulingana na mahitaji yangu kwa MUNGU

  • @mwanawambeli7771
    @mwanawambeli7771 4 роки тому

    Pray for me pastor najisi ujungu ndani ya moyo wangu

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 4 роки тому

    😂😂haswaa kuomba kwa akili jaman MUNGU nisaidie

  • @anastaziafrancis191
    @anastaziafrancis191 4 роки тому +2

    Pasta naomba kuongea na wewe kwa simu

  • @AliBaba-fv3rj
    @AliBaba-fv3rj 4 роки тому +1

    I want talk to you pasta pasta

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 4 роки тому +1

      Ali Baba email me at infomahubiritv@gmail.com or mahubirimbaga@gmail.com

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 4 роки тому +1

      Au piga +255 755 932 283

    • @trihanah7725
      @trihanah7725 4 роки тому

      Helloo mutumishi wa mungu nisaidie na namba yako ya whatsap plz niko Dubai

  • @maureenjovial6237
    @maureenjovial6237 4 роки тому

    Amen

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому

    Amen