Sad story 😢😢😢😢😢 pole finanga Na Sonia Kwa kweli hii movie mumeteseka Sana...Doko ongera Sana nikija Tanzania nitakutafuta Winnie form kenya.... kikogwe congratulations umekua fuzo Kwa wakogwe wegine
Thank you Doku for this nice movie we have being together from beginning up to the end we enjoyed this,on behalf of my fellow malawian l'm wishing you all the best ntill next series again
I salute you DOKO👩🎤,,,Kweli wewe no muigizaji,,,, If the best actor is to be selected in the whole world, you will be the best of all. You are such a talent actor,,,Uigizaji wako ni halisi,,,Keep the good work,,, Eagerly waiting for season 2.
Kusema ukweri , mumeweza katika hii sanamu , kuanzia mwanzo adi mwisho , film was fire 🔥, like fans we are waiting for next coming films by this same actors and actress
Basi kama mumemaliza tupie hiyo goma ya kikongwe jamani ni kali sana. ila wahusika wote humu ndani mmeitendea haki hii tamthilia yaani sijapenda iishe big up kwa woteeee nikisema nitaje jina moja moja sitamaliza aisee mimi ni muigizaji lakin humu ndani mmefanya zaidi ya maigizo🔥🔥🔥
Naomba season 2 ya kikongwe mjamaliza vizuri natamani kumwona kikongwe na mfinanga wakielewana kidogo ❤ iyo mapenzi yote haiwezi isha ivyo kama unaitisha season 2 gonga like
Kazi nzuri, mwanzo mzuri ila mmemaliza vibaya, no suspense, haya tuambie bibi Chaka alichukuliwa hatua Gani, mfinanga alimzika mkeo au alifanyaje, aliyempenda doko mwishowe mumewe ambaye hajiwezi nyumbani kuliendaje. Kwangu mm hamjamaliza kazi bado na hii movie ya kikongwe ni Kali kuliko ambayo mnafanya ya hazikwi mke wangu
Mfinanga alipokua akipigwa uyu dem mwenye ameshikwa ame smile na alifaa kukasirika ju ameandamwa mikono iko nyuma story nitamu sana naitazama nkiwa kenya mombasa
Doko bro umeimaliza kwel lkn kuna sehem kama nne ambazo ulikuwa uzicheze mfinanga na yule binti na ww u deal na mamako hatua ichukukuliwe lkn n sawa juu Bado una thamthilia nyengne waendelea nayo HAZIKWI big up Tyson banda ❤❤
❤❤❤❤❤❤ Safi mwanzo mpk mwisho Ila mmeimalizia vby banna hatma ya steringi wetu mama doko au kikongwe hatujaijua ,vile vile yule jamaa aliepewa ulemavu na doko hatukujua hatma yake,Ila move Safi sana mapungufu kdg mazuri kibaoo big up wahusika wote wamezitendea haki sehemu zao husika,big up ya pekee mama doko kikongwe❤❤❤
MAMBO VIPI SONIA APA NISEME ASANTENI SANA KWA KUWA NASI TOKA KIKONGWE SEHEMU YA KWANZA MBAKA SASA KIKONGWE SEHEMU YA MWISHO TUNAWAPENDA SANA PIA NAWAPENDA MASHABIKI WANGU MIMI SONIA
Sonia❤❤❤❤ Umetisha sana lakini una macho mazuri kama NYANYA chungu Ukimwangalia mfinanga kama anataka kukimbia Basi sawa hongera sana Sonia ❤❤ jina zuri halafu mwenyewe mzuri Lakini???? Haijaisha Mwisho wa Sonia haujaonekana Mwisho wa kikongwe haujaonekana It means that haijaisha twambieni Tusubir season 2 au ndo m atuacha hivi hivi Movie tamu sana Majibu tafadhal
Jamani ss tunataka hii nyimbo ambayo imetumika tunatamani tumspoti huyo kaimba nyimbo🎉🎉🎉🎉 tunatalajiwa kuona kanzi nzuri kuzidi hii❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪,,kazi nzuri mfinanga, tunakupenda sana,God bless you ❤🎉.
Sad story 😢😢😢😢😢 pole finanga Na Sonia Kwa kweli hii movie mumeteseka Sana...Doko ongera Sana nikija Tanzania nitakutafuta Winnie form kenya.... kikogwe congratulations umekua fuzo Kwa wakogwe wegine
Hongera Sana doko kwa movie nzr Kama hii imetufunza mengi
Wakwaza Leo jmn ahsante Sana timu zimaa ya kikongwe❤❤
Thank you Doku for this nice movie we have being together from beginning up to the end we enjoyed this,on behalf of my fellow malawian l'm wishing you all the best ntill next series again
This is one of the best bongo series in 2024. Love from Mozambique ❤❤❤❤❤❤
Hogelen kwakaz nzuuuur .
Mnajua kaz maan kumufurahish mtu nikaz ngumu. Nawap❤
Asanteeeeee sana Kwa kazi nzur 🌹🌹tunategemea sana kutuletea kazi zaidi 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana sanaa, yenye mvuto na yenye kuvuta hisia za wafuatiliaji, hongereni sana
asanten kwa kazi nzur mwisho wakikongwe ndo mwanza wakaz zingine nzur
I salute you DOKO👩🎤,,,Kweli wewe no muigizaji,,,, If the best actor is to be selected in the whole world, you will be the best of all. You are such a talent actor,,,Uigizaji wako ni halisi,,,Keep the good work,,,
Eagerly waiting for season 2.
Mmemaliza vzuri San meeleweka pongezi kwenu Doko Bibi usimuache Fanya nae kazi anakipaji Sana pia Mfinanga nakukubali San
Tunakubali sana doko mwisho wa kazi yetu pendwa ndo mwanzo wa kazi nzr zaidi❤🎉
Mimi kibinafsi napenda mfinanga sana ,he is so cute ,I like his character ❤❤❤
That was a very amazing episode.... Watched from 1-14... Full of Creative actors.... Congratulations
Sio mbay DOKO haun baya ila bibi kikogwe alikuw atake kumuuw yul SONIA ndio MFINANGA aingie yey kati achomwe kisu lkn sio mbay broo🎉🎉🎉
Kusema ukweri , mumeweza katika hii sanamu , kuanzia mwanzo adi mwisho , film was fire 🔥, like fans we are waiting for next coming films by this same actors and actress
Vile nlkua naidubria much love mfinanga❤
Doko hii movie ilikuwa tamu sana rafiki yangu toa kama ulivyo toa hii kichaa wangu
Makumazan AkA * DOKO* hongera saana for the big intertainment .. like for like Wenye Vipara Hatuchekeshii..🎉 gonga like👍🏿
Kazi nzuri sana doko hongera sana team mfinanga ❤❤❤
Aki mapenzi wewe, Doko hongera sana kaka.. we love soo much. Tunangoja ingine kali ..
Asante kwa kazi nzuri sana nyinyi wote wahusika mumedufulahisha sana 🙏 ❤❤
Kweli ni kali nimeipenda sanaa..heti shikamoo babangu😅😅😅
Hongeren kwa Kazi nzuri sana Lakn daah mbn imewahi kuisha jamn hatuwez pata season 2 jmn
Doko na kukubali Sana broo hogera karibu Kenya
Hadisi nzuri Sana.... Hongera❤
Kazi nzuri guys, big up Doko family 🎉
Basi kama mumemaliza tupie hiyo goma ya kikongwe jamani ni kali sana. ila wahusika wote humu ndani mmeitendea haki hii tamthilia yaani sijapenda iishe big up kwa woteeee nikisema nitaje jina moja moja sitamaliza aisee mimi ni muigizaji lakin humu ndani mmefanya zaidi ya maigizo🔥🔥🔥
Shukran sana doko nimekuw nawe mwanzo mpk mwisho kaz nzur ❤❤❤
Naomba season 2 ya kikongwe mjamaliza vizuri natamani kumwona kikongwe na mfinanga wakielewana kidogo ❤ iyo mapenzi yote haiwezi isha ivyo kama unaitisha season 2 gonga like
Natamani kikongwe afungwe akafie jera kweli
season two ikunje
Sawa bibi chaka umetisha mama wetu
Kwwli imeisha vibaya sn
mfinanga da lachel da gres kaka doko kamote mjomba na wengine woote nawapenda mnooo
Big up bro doko wapi like za mfinanga
Nimeifikisha mwisho hii series tena Kwa dhati I really like these❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kama na wewe ni mfuatiliaji wa kikongwe kuanzia EP 1 mpka finally gonga like za kutosha apa♥️♥️♥️
❤
Kwanini hautaki like
Daaah saf doko Ii nyimbo inaitwaje
iendelee bwana, tumeachwa kwa taharuki
Deo kutoka makonglos chuny naikubali mdo utam umekolea❤❤
Mwisho wa kazi mzuri ndio mwanzo wa kazi nyengine mzuri tunawakubali sana
Hongera sana Doko kazi yako safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow mwisho mzuri nawapenda nyote❤❤❤❤
oyaa doko nicheki nikupe story kalii sanaa
Doko tunakupenda unajua sana kutoka 🇧🇮🇧🇮
Wamwisho leoooooo wenye vipara nitarudia tena,,,huwa hatuchekeshiiii 😂😂😂tuandalie nyingine bwanaa Doko😂😂
Dah kazi nzuri sana mfinanga
Good work guys, waiting for new things
Kazi nzuri, mwanzo mzuri ila mmemaliza vibaya, no suspense, haya tuambie bibi Chaka alichukuliwa hatua Gani, mfinanga alimzika mkeo au alifanyaje, aliyempenda doko mwishowe mumewe ambaye hajiwezi nyumbani kuliendaje. Kwangu mm hamjamaliza kazi bado na hii movie ya kikongwe ni Kali kuliko ambayo mnafanya ya hazikwi mke wangu
Unafanya vizuri sana family yangu doko
Mfinanga alipokua akipigwa uyu dem mwenye ameshikwa ame smile na alifaa kukasirika ju ameandamwa mikono iko nyuma story nitamu sana naitazama nkiwa kenya mombasa
Doko asante sana, congratulations, tafadhali anza movies ingine mzuri kama hi, mimi naomba wewe usicheze movies ya mchawi plz, mimi kutoka kenya,
Hii ni filamu bora na wala sio bora filam❤❤
❤❤❤❤❤❤duh nilitamani iendelee tu maana haishi radha
Mwambie doko hiyo move hajaisha
Tunashkur sana ila doko uwe umetuandalia kingine kitu but najua huwezi kutuangusha❤❤❤❤
Doko am from Kenya and am happy with your work congratulations bro 🎉❤
Mimi ni wakwaza por favor minhas likes🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
bado ijaisha iyoo kwasababu atujui Sonia kafa au ajafa na kikongwe vip kakamatwa na police au ameolewa na mfinanga daaa mnafer kumaliza
Ukweli haijaisha
Mimi ndio wakwanza naombeni like zangu
Wale wametizama kutoka manzoni adi apa mwisho pita apa kazi nzuri watching from Kenya 🇰🇪 🎉❤😊
Kila moja n wakwwnza 😂😂😂😂❤
M doko 😂😂 ana mwingini balaa sio Kwa Kwa mi nyenge hyooo recho kama recho
Wakumi na moja jamani nimetoka.mbali🇧🇮🇧🇮🇿🇲🇿🇲
Doko bro umeimaliza kwel lkn kuna sehem kama nne ambazo ulikuwa uzicheze mfinanga na yule binti na ww u deal na mamako hatua ichukukuliwe lkn n sawa juu Bado una thamthilia nyengne waendelea nayo HAZIKWI big up Tyson banda ❤❤
Much love from kenya
Kenya hapa...congratulations my people,,,show yenu imekuwa tamu beyond my expectations❤
Maskini mfinanga pole.sana kumpoteza kipenzi cako.sonia imeniuma sana maskini😢
Kazi nzuri Mungu awajalie mtuletee movie zingine zaidi ya hii
Oya mnachelewa kutoa kazi mnazingiwa
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 leo nimechelewa kidogo ila samahani naomba like zangu
Doko nakuja wallpaper 🎉🎉🎉
Final shikamooo kw kikongwe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ni doko kazi unayo Kwa hyoo mama yako
Doko kumbe unamaneno mazuli safi sana mmejitaidi
❤❤❤❤❤❤ Safi mwanzo mpk mwisho Ila mmeimalizia vby banna hatma ya steringi wetu mama doko au kikongwe hatujaijua ,vile vile yule jamaa aliepewa ulemavu na doko hatukujua hatma yake,Ila move Safi sana mapungufu kdg mazuri kibaoo big up wahusika wote wamezitendea haki sehemu zao husika,big up ya pekee mama doko kikongwe❤❤❤
Namba 2 like zang jamn kutoka mwarusembe
Kama hii ni finally Sasa tutakua tunanjoy Nini Lafikizanguni ambao hamjafulahia kikojgwe Bibi kufikia mwisho tujuane kupitia like
Good in acting but poor in finishing aistaili iishe vle imeisha
Was amazing
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@@deherlkaplondalinkon6877😅o
😅
kp😮 10:31 0 m
Atimae tumemaliza kikongwe 🎉🎉🎉🎉 hatari sana Doko
Namba Moja naomba likes zangu🎉🎉
Semq huyo mfinangq anajua san script aliitendea haki🙌🙌
Aaaaah ebu leteni season. 2, hii haijaisha poa, jameni
Wow nzuri sana ❤🇹🇿
woow nimefrai kumuona dadaangu gres
Jamani hii movie nzuri ijawahi kuniboa japo mwisho inauzunisha
Bro umechelewecha from somalia 🇸🇴
imeweza bloody Doko
Tuachie nyingine kazi mzuri sana❤❤
Mimi Léo wakwa nza naomba muni ❤❤
big up doko na ukumbi wako 🔥🔥🔥🔥
Nawapenda San ,kazi nzuri
Asanty tulikua twaingojea sana....
MAMBO VIPI SONIA APA NISEME ASANTENI SANA KWA KUWA NASI TOKA KIKONGWE SEHEMU YA KWANZA MBAKA SASA KIKONGWE SEHEMU YA MWISHO TUNAWAPENDA SANA PIA NAWAPENDA MASHABIKI WANGU MIMI SONIA
Sonia❤❤❤❤
Umetisha sana lakini una macho mazuri kama NYANYA chungu
Ukimwangalia mfinanga kama anataka kukimbia
Basi sawa hongera sana Sonia ❤❤ jina zuri halafu mwenyewe mzuri
Lakini????
Haijaisha
Mwisho wa Sonia haujaonekana
Mwisho wa kikongwe haujaonekana
It means that haijaisha twambieni
Tusubir season 2 au ndo m atuacha hivi hivi
Movie tamu sana
Majibu tafadhal
❤
haujafariki lakini?❤
❤❤❤❤❤❤na sisi pia twakupenda unafanya vizuri sehemu yako manshallaah tabarakallaah
Love u soso
Fishing aina uwalisia mmeipelaka peleka tuu sema safi tuu tume enjoy
Wallah wa Billah Nimifanyikia Kua WA Kwanza ... NAOMBENI like zenu jamani please
Kazi nzuriiiii mnooo
Haijaisha vizuri. Maswali ni mengi kuliko majibu
Naomba season 2 ya kikongwe kazi nzuri xna mfinanga
❤❤❤❤❤tunamalizia saaa ❤❤❤❤nawakubali kinoma wanangu
Doko n namba nyingne jmn unajua yan unajua sana kaka jmn dah
Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤❤❤❤❤❤
Aisee mmemaliza vizuri sana na nifunzo kuwa visasi sio vizuri
Kipindi ya kikongwe nimefurahia Sana ,hebu harakisha movie pamoja na Doko nampenda kwa act kwake
Wa kwanza leo Safi saanaaaa doko....
Wenye vipara hatuchekeshi😂😂😂 naomba likeee zanguuu doko🎉🎉🎉🎉
Good job mko sawa kabisa
Mbona amjaniita team furus team WiFi team kupambana team kazi kazi nawapenda mno aya tusalimiane team Doko 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🔥🔥🔥