SAFARI ZA MIKOANI NA MABASI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 2 роки тому +4

    Dada pole ..kumbe bado Kuna mabasi yenye wahudum wajinga na wapuuuzi..hawana ustaarabu Kwa abiria wao?? Ni basi gani hili tulo tafadhali.

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

  • @nyundomaster1541
    @nyundomaster1541 2 роки тому +1

    Kamanda mtafungwa unayaona haya lakini
    Mistari hyo wanachukulua kama mapambo.
    Driving ya uzoefu si sawa

  • @mkwepujr1279
    @mkwepujr1279 2 роки тому +2

    kaskazin akuna ligi kabisa ukitaka kuenjoy nenda Kanda ya kusini kwa ujumla

  • @ibrahimkadibo810
    @ibrahimkadibo810 2 роки тому +1

    Askari mkowapi hawa jamaa wanavunja sheria kama huyo tashirifu...yani wana fukuzana hadi hawataki kushusha abiria wangese sana hawa.

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

  • @أرتغرل-غ5ب
    @أرتغرل-غ5ب 2 роки тому +1

    Mkodieni boda huyo dada 😂

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 2 роки тому

    Hapo speed mwisho ngapi ,au tochi inasubiri kumchomekea dereva wa fuso kumuonesha smart phone badala ya kifaa maalum Cha spidi

  • @officialmwerevu5455
    @officialmwerevu5455 8 місяців тому

    Na mnachek mazuri ayo et

  • @shukurumotima6846
    @shukurumotima6846 2 роки тому

    Ngosha the don

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 роки тому +1

    Zhongtong pump kubwa ngoma inanyanyuka ajabu

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

  • @zachaliajoseph-gm5zt
    @zachaliajoseph-gm5zt Рік тому

    Hajalipa nauli huyo dada
    Konda anawadanganya

  • @bahatiasheli9032
    @bahatiasheli9032 2 роки тому +2

    Kuna siku nilikuwa naenda Mtukula nikapanda kandahali ya kwenda bukoba dereva anazalau kupita maelezo tukiwa singida kamshusha abiria simahali sahihi huku akimtukana kahama nako kamwacha abiria akiwa chooni

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

  • @allymohamed4111
    @allymohamed4111 2 роки тому

    Mnawakela wateja mbwa ninyi

  • @YunusKikoty
    @YunusKikoty Рік тому

    Apo ni nacharo na tashrifu

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 2 роки тому

    Ndo maana hakuna hata moja kwenye 10 bora yamepitwa hadi na TILISHO

    • @NassAlly
      @NassAlly 2 місяці тому

      Ukiona ujumbe Wang nijulishe nataka gusafili

  • @maalimrajabu8942
    @maalimrajabu8942 2 роки тому +1

    Hapo ni vita ya golden dragon na zongtom clember na yuotom

  • @NassAlly
    @NassAlly 2 місяці тому

    Ukiona ujumbe wandu nijulishe nataka gusafili

  • @elikuedward3186
    @elikuedward3186 2 роки тому

    Wafaa kufungiwa

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

  • @timotimo5501
    @timotimo5501 2 роки тому +1

    Hivi hiyo mistari miwili ktk hiyo barabara mnajua maana yake kweli???

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 2 роки тому +1

    ILA TASHRIFU SIO VIZURI HIVYO ANGALIA MBELE

  • @maickykavishe939
    @maickykavishe939 2 роки тому +1

    Nacharo na tashrif 'DUS' Dar- tanga - dar

  • @mlionea
    @mlionea 2 роки тому

    Tz is green

  • @simonzakaria2389
    @simonzakaria2389 2 роки тому

    wakati abirlia anakuja mnamgombania na kumbembeleza why kushukamsiwatarifu kwa vituo acha uhuni huo ni ujinga na utoto mnao ufanya

  • @abn8331
    @abn8331 2 роки тому +1

    Hawa wapumbavu wanabahati sana

  • @kevonash3494
    @kevonash3494 2 роки тому +1

    Nacharo na Tashriff wana lao ao 😁

    • @li9onlinetv
      @li9onlinetv 2 роки тому

      suberscbur🙏🙏🙏🤦

    • @2like-017
      @2like-017 2 роки тому

      Sio ustaarabu hata kidogo

  • @elomwaibofu3247
    @elomwaibofu3247 2 роки тому

    Mabasya mbeya

    • @frankbella4271
      @frankbella4271 2 роки тому

      Hayo siyo mabasi ya mbeya hiyo tanga na arusha

  • @kelvincharles2247
    @kelvincharles2247 2 роки тому

    Hao wasukuma vipii

  • @alhajihamisi5889
    @alhajihamisi5889 Рік тому

    Kibombi

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 роки тому

    Nyie mbona hamtembei mnapitwa tu...😄😄😄

  • @musiradam4445
    @musiradam4445 2 роки тому

    😁😁😁😁😁 hatari sana kaka

  • @ikibalinanj7670
    @ikibalinanj7670 2 роки тому

    8re