NENO LA SIKU | Yohana 17 | Maombi Ya Kupata Ulinzi Wa Kiroho

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na saba, na tunaenda kufanya maombi ya kupata ulinzi wa kiroho. Maisha ya kawaida tunayoishi duniani, yamejengwa juu ya msingi wa kiroho. Ukiwa salama rohoni utakuwa salama kwenye maisha pia. Na ukiwa hatarini rohoni, utakuwa hatarini kwenye maisha pia.
    Kwa hiyo katika maombi tunayoenda kuyafanya siku ya leo, tutamsihi Mungu atupe ulinzi ili tuwe salama katika ulimwengu wa roho, na katika ulimwengu wa mwili pia. Mungu akubariki sana, nakuombea ushindi mkuu kwa utukufu wa jina la YESU. Ameen!
    Isaac Javan
    +255 745 76 45 72

КОМЕНТАРІ • 29

  • @KimsonMurangiri
    @KimsonMurangiri 3 місяці тому +8

    BWANA Yesu asifiwe ndugu sangu wapendwa ❤ tupedane

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 3 місяці тому +3

    Naomba ulinzi wa kiroho mimi na watoto wangu kwa jina la Yesu amen.

  • @tabithamselema166
    @tabithamselema166 3 місяці тому +4

    Ninaomba ulinzi wako Bwana Yesu uwe nami na uzao wangu katika jina la Yesu

  • @blandinaabdul7232
    @blandinaabdul7232 3 місяці тому +3

    Amen 🙏

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 3 місяці тому +2

    🙏🙏👍

  • @NathariaProtas
    @NathariaProtas 7 днів тому

    Naomba ulinzi kwa watoto wangu kwa jina la Yesu amen 🙏 🙌 ♥️

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o 3 місяці тому +3

    Amen amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, naomba ulinzi wa Kiroho pamoja na wangu kw jina la Yesu naomba

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 3 місяці тому +2

    Bwana Yesu asifiwe Mungu naomba ukanilinde mimi na familia yangu na uzao wangu najiunganisha na damu ya Yesu ili nipate ulinzi mimi nauzao wangu tusiingizwe kwenye ibada zamiungu Damu ya Yesu ikanifiche mimi na uzaowangu kwa damu ya Yesu ya Agano
    Napokea ulinzi wa Damu kwa kunifungua nakutufungua mimi na uzao wangu katika Jina la Yesu Kristo .Damu ya Yesu itulinde
    Mulindwe na Damu ya Yesu Mtumishi

  • @maazuu-dm7zr
    @maazuu-dm7zr 3 місяці тому +2

    Amen 🙏.Mungu nilinde na uzao wangu kwa kila njia kwa kila hali Ututenganishe na mabaya kwa damu ya Yesu 🙌

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 3 місяці тому +4

    Amina eeh mungu wangu niongoze nikutumikie kwa roho na kwely 🙏🙏🙏👆

  • @ceceliawamboi
    @ceceliawamboi 3 місяці тому +2

    Amen 🙏🙏❤..... Mungu akupeee maisha malefu uwendeleee kutusaindia kiroho..

  • @Tinahtinash
    @Tinahtinash 3 місяці тому +2

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 3 місяці тому +2

    Amen Asante Mungu kwa ulinz wako

  • @JudithTEO-k2b
    @JudithTEO-k2b 3 місяці тому +1

    Ameen mtumishi wa Mungu akutunze❤

  • @aimerencentabagoyi8311
    @aimerencentabagoyi8311 3 місяці тому +2

    Ameeeeeen and amen

  • @AgiAggi-my6yh
    @AgiAggi-my6yh 3 місяці тому +2

    Amen 🙏🙏🙏 mtumishi wa Mungu

  • @MargaretAsiko-h2y
    @MargaretAsiko-h2y 19 днів тому

    Amen Amen barikiwa sana pastor ❤❤❤

  • @SaphinaAbdully
    @SaphinaAbdully 17 днів тому

    Ameen🙏

  • @AnnMwajuma
    @AnnMwajuma 3 місяці тому +2

    🙏🙏🙏🙏

  • @vivijohn2578
    @vivijohn2578 3 місяці тому +2

    Powerful prayers 🙏

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 Місяць тому

    I the name of Jesus 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @brendah-qc8gw
    @brendah-qc8gw 3 місяці тому +2

    Amen pastor🙏🙏🙏

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 3 місяці тому +2

    Amen

  • @VivianChepkoech-i1b
    @VivianChepkoech-i1b 5 днів тому

    Pia nawe

  • @vivijohn2578
    @vivijohn2578 3 місяці тому +2

    🧎🧎🧎🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @yvetteasabwa3152
    @yvetteasabwa3152 3 місяці тому +2

    Amen

  • @KimaniJosephinen
    @KimaniJosephinen 7 днів тому

    Amen amen 🙏

  • @AsiaMu-sb4hm
    @AsiaMu-sb4hm 3 місяці тому +2

    Amen