Mimi ninaamini kuna Mungu aliye hai,ukikaa ndani yake,nayeye atakaa ndani yako, yeye ni mfinyanzi atakutengeneza upya,Hongera sana Mama Rose,nakuombea maisha marefu Duniani ili utimize kuzudi la Mungu,AMINA
Rose Muhando, NAKUPENDA SANA, muimbaji wa injili mwenzio aliwahi kuimba “DHAHABU IKIPITA KWENYE MOTO UJUE ITANG’ARA TU, na jiwe likipita kwenye moto ujue litapasuka tu, ROSE, wewe ni dhahabu, unatumika kwenye jeshi la BWANA kwa uaminifu na utazidi kung’ara! Ole wao waliohusika kukushusha, OLE WAO!
Hayo yote Dada Rose Muhando ni kwa sababu MUNGU ni uzima wako.tembelea UA-cam Channel yangu . Jina Yusuph Otieno Wimbo : MUNGU ni uzima wangu utabarikiwa.
Mama unakitu kikubwa sana, unajua kuongea kiswahili fasaha, unajua kizungu lazima uwe wa level ya KIMATAIFA... Sasa hivi badilisha tu style ya uimbaji kulingana na majira ya sasa
Swali langu ni je anafafanya na Nathan mbado amrudishe nyuma vile alimfanyia? Naomba tu aimbe nyimbo zake akijisimamia kila kitu asikumbali contract tena na Mungu atamsaindia
Mimi ninaamini kuna Mungu aliye hai,ukikaa ndani yake,nayeye atakaa ndani yako, yeye ni mfinyanzi atakutengeneza upya,Hongera sana Mama Rose,nakuombea maisha marefu Duniani ili utimize kuzudi la Mungu,AMINA
Millard Ayo asanteni Sana kuleta mama Rose promote huyu mama arudi Tena zaidi kama kitambo Mungu mwema siku zote welcome back Dada rose
Nimefurahi
Mwenye mziki wake wa Injili amerudi Mungu mwema tunakupenda sana dada Rose 🙏🏻
Umeonae
Kweli mwenye muziki Wa injili karudi!
Dada Rose God is using you. You have touched many broken hearts and families. God bless you and your family.
Rose ni Chombo cha kazi ya Mungu.
Hakika nakubali bro
Shomboshakazi
For real mungu alijibu maombi yetu tuliomuombea ...mungu azidi kukuinua kabisa kabisa
Rose Muhando, NAKUPENDA SANA, muimbaji wa injili mwenzio aliwahi kuimba “DHAHABU IKIPITA KWENYE MOTO UJUE ITANG’ARA TU, na jiwe likipita kwenye moto ujue litapasuka tu, ROSE, wewe ni dhahabu, unatumika kwenye jeshi la BWANA kwa uaminifu na utazidi kung’ara! Ole wao waliohusika kukushusha, OLE WAO!
Hongera Dada Rose, Mungu amekufuta machozi
Mungu akutangulie mama napenda Sana nyimbo zako huwa nafarijika Sana ninaposikiliza.
Nakupenda Sana Rose...Mungu Akubariki 😘
Be blessed mama ur songs is inspiring more.
Hongera sana mama TRM twakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Mimi Ni muislamu Ila Nampenda saan rozi muhando
Mwana hamis Mungu akubariki sana kwaupendo ulionao kwa mtumishi wa Mungu rose 🙏❤
Waooh
Na mimi piya Muslim ila nampenda sana
Hata Rose alikuwa mwislam
Martha Sumaye ndio alikua muislamu aka convert,, she is now a full time Christian
MUNGU akutunze Dada Nakupenda sana
Mungu akubariki sana Dada Rose
Mungu aendelee kukulinda Legend wetu
Wakenya wapi likes za Rose muhando
Hongera Sana dada Rose Mhando
Mungu apewe sifa tena ku muponya my sister rose muhando
Am from kenya tunampenda huyu dada sanaa
Hayo yote Dada Rose Muhando ni kwa sababu MUNGU ni uzima wako.tembelea UA-cam Channel yangu . Jina Yusuph Otieno
Wimbo : MUNGU ni uzima wangu utabarikiwa.
Congratulation Rose your always the best.God be with you
Nampenda sana rozi muhando...nyimbo zake zanibariki mno
Congratulations sister rose
Halafu msisahau kutangaza kwanza kwamba amani ni tele Burundi
Malkia wa mziki wa gospel ongera kipenzi ca watu ubarikiwe sana
Tumtegemee Mungu,
Mungu atakupa majibu yote na utajua njia zote utakazopitia.
Amen My God bless you
Rose nyimbo zako unibariki sana naomba Mungu akushikiliea sana wale wanakuuwa watakufa wenyewe
Yes it's truths My God Bless you
Rose rose rose rose rose rose u r bless may th Lord Jesus Christ cover u with his blood
Nakupenda sanaaa my rose
Mungu akupe nguvu za uvumilivu dadaa Kwa njiaa unazo pitiaa
Love the swahili...purest of all
Marikia wa nguvu rose mhando ridhiki ni kama mwanga kwenye giza lazma utaonekana😘😘
3:20 POINTI SAAANAAAAAAAAA MUNGU AKUSIMAMIEE
Hongera sana Yesu akuinue zaidi
I love you my mom Mungu akuzidishie nguvu uendelee kuinjilisha injili ya Bwana
Nafurahi umerudi. Missed you sana. Mungu akupe afya ili uzidi kumtangaza kwa kinywa chako kupitia nyimbo
Ubarikiwe mama,nakupenda mno❤️❤️
Dada rose kweli mungu akupenda , mungu ni mwema kwetu
i feel proud ninapokusikia rose mhando
Nasubr hii album nakupenda sana
Hongeraaaa!!!
LA Queen
Amen 🙏🙏🙏 mama songa mbele
Mama na mtumishi wa mungu twakukubali na twakupenda sana sana
Nakupenda sana my love nakukubali sana
Hongera Rose... MUNGU azidi kukusimamia.
I love you BIG sister Rose
Hongera sana dada rose nakukubali sana mdada
Dada rose mhando Ni shida. Dada tunakukubali sana
Mungu mwema dada rose
Hongera
Mungu yu pamoja nawe Rose mhundo
Dada Nakupenda sana Mungu awe nawe Daima Siku Moja tutaonana.
Shetani huwaaminisha watu uongo kabisa.Ubarikiwe sana 💖💓❤️
Kweli Mungu ni mwema sana kwako Da Rose
Mungu akueke Sana mamaa
Mama unakitu kikubwa sana, unajua kuongea kiswahili fasaha, unajua kizungu lazima uwe wa level ya KIMATAIFA... Sasa hivi badilisha tu style ya uimbaji kulingana na majira ya sasa
Amina sana
God bless you mamy sauti yako sasa😘
Hongera sana
Namesake Mungu akuzidishie na akuongoze hongera
Kubali yesu kwA mpigo mum you are more than a conquer
Nakupenda Sana rose natamani nikuoe
Umenenepa masha allah
🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤
Mungu ni mungu tu hakuna kama yeye na ametenda makubwa
Rose kanenepa sanaaa,kwa Waafrika eti unene ni ishara ya kuwa na pesa.
Karibu Burundi Rose
Huyu Mama Mungu Amutunze Na Mpenda Sana
Rose muhando tunakupenda sana
Kapendeza kanenepa
Jamani rose muhando km ebitoke wanja wake, utabakia kuwa juu mpk unaondoka duniani
Nice
😘😘
Nakupenda sana dada Rozi
Hiyo Neema ya mungu
uyu mtangazaji amepaka lipstick au
Wewe ulizaliwa kuwa ushuuda wawatu usichoke kumtumikiya mungu nakupend sn mungu akutanguliye sn
🙏🙏🙏🙏
Hongera sana mama rozi Mungu azidi kukubariki
Hakika Mungu akiamua kukuheshimisha hakuna wakupinga🙏
Shetani ni muongo tangu mwanzo wa duniaaaaaaa
Hahahaaa shetani nimuongo sana hakika sana
God bless you mama †
Nakumbuka wakati unatoa nibebe nilikuwa napata komunio ya kwanza nilibebwa mgongoni 🤣🤣🤣
Hahahaa
Pesaaa hizo
Kwel mam
Hakika Mungu yu mwema
Mutumishi wamungu Rose usuhuda wako unanitia nguvu kwa mapido yangu
Heshima YAKO iko pale pale!
Duuuiiu
MUNGU HATAACHA KUFANYA KAZI YAKE KWETU
Nakpend sna da roz
Hongera rose lkn najua pastor nganga Ata jisifu ati alikuombea adi ukapata kikombe najua nganga
Muulize kwenye mikutano tz analikikaka kwa sasa?
Miamba imepasuka kabisa
Hivi waimbaji mna shida gani??. Najiuliza ni Mungu gani ambaye anakupa neema unayezini na menager wako. Acheni mzaha na Mungu.
Change the cover photos u have chosen, it's not impressing viewers ndio maana likes chache na viewers chache too
Swali langu ni je anafafanya na Nathan mbado amrudishe nyuma vile alimfanyia? Naomba tu aimbe nyimbo zake akijisimamia kila kitu asikumbali contract tena na Mungu atamsaindia