Nlipokuwa Kijana Mudogo Nilienzi Sana Mapenzi Kumbe Bila Kujua Nachoongeza Sana Ni Stressi Staki Mademu Staki Mashore Staki Warembo Epuka Maneno Staki Kukonda, Umeshinda Umebonda,Wamejaa Urongo Kugongewa Ndio Fashion Kuchapiwa Ndio Fashion Staki Kukumbuka TBt Staki Kukumbuka Tbt Mi Namapenzi Ni Kama Polisi Na Bange Mi Na Mapenzi Ni Kama Moto Na Pambe Mi Na Mapenzi Nkama Simba Na Sware Mi Na Mapenzi Ni Kama Tajiri Masikini,Hawasikizani Hawaelewani
❤❤
Nlipokuwa Kijana Mudogo Nilienzi Sana Mapenzi
Kumbe Bila Kujua Nachoongeza Sana Ni Stressi
Staki Mademu Staki Mashore Staki Warembo
Epuka Maneno Staki Kukonda, Umeshinda Umebonda,Wamejaa Urongo
Kugongewa Ndio Fashion
Kuchapiwa Ndio Fashion
Staki Kukumbuka TBt
Staki Kukumbuka Tbt
Mi Namapenzi Ni Kama Polisi Na Bange
Mi Na Mapenzi Ni Kama Moto Na Pambe
Mi Na Mapenzi Nkama Simba Na Sware
Mi Na Mapenzi Ni Kama Tajiri Masikini,Hawasikizani Hawaelewani
🙏