#ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Semina ya Ndoa ya Wachungaji iliyofanyika jijini Arusha Bethel Kijenge

КОМЕНТАРІ • 11

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 3 місяці тому +1

    Huyu mtumishi aliyesoma neno na kulifafanua nimemuelewa sana sana. Mchungaji kwenda kuangalia mpira sio salama kabisa

  • @eneashetuli1490
    @eneashetuli1490 3 місяці тому

    Mungu awabariki sana Pst George na Pst Sayuni kwa Mafundisho mazuri

  • @felixsanga
    @felixsanga 3 місяці тому

    All that are very past stories 2:43 2:43 of fools,We are looking for "Holiness at any ra 2:51 te,any cost,any time!!Isaiah 32:5"Fools will never be called wise!!

  • @jasperjackson8871
    @jasperjackson8871 3 місяці тому

    Ni masomo muhimu sana na Mungu awabariki mnooo.
    Nichangie kidogo kwenye swala la mpira ni hivi kuangalia mpira sio tatizo kabisa ila inapokuja kwa wachungaji sio watu wa kua na uhuru kuingia popote hivyo n muhimu sana kuhusu ushuhuda hivyo n bora kuangalia nyumban ila kwa washirika waweza kwenda kibandan km kwako huna Tv inayoonyesha mpira husika ila angalizo ukiangalia mpira baa ujue pombe sio chai waweza kumwagiwa pombe kupigwa n.k hivyo haishauriwi maana n halali lakn sio salama ila kipimo cha usalama ktk hili n kwamba mpira usikutawale bali uutawale ukiona tu kihisia umetawaliwa na mpira yaan addiction/ulevi wa mpira hapo sasa unakua mtumwa wa huo ndo itakupelekea kutokwenda ibada ukaenda mpirani au kuja ibada akili na mawazo yakiwa mpirani n tatizo hilo na upo uwezekano wa kumkose Mungu

  • @VeloMahenge
    @VeloMahenge 2 місяці тому

    Suala kuangalia Kwa NAMNA gani maana macho hayana pazia unaweza kuona kushabikia na kuwa mpenzi wa mpira ni kosa kubwa Kwa mlikole

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 3 місяці тому

    Mchungaji amesema anangaliaga mpira.

  • @laita8218
    @laita8218 3 місяці тому +1

    Ameeen pastar Sayuni na pastar Mngodo

  • @VeloMahenge
    @VeloMahenge 2 місяці тому

    Mpira ni miungu mikubwa kabisa

  • @resaltnekesa9702
    @resaltnekesa9702 3 місяці тому

    Thanks so much servants of God.. Am indeed educated

  • @laita8218
    @laita8218 3 місяці тому

    Ameeen