TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @serapiaminja3432
    @serapiaminja3432 2 місяці тому

    Hongera sana Sr Joyce na wakuu wote wa shule za TEC

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 2 місяці тому +1

    Hongereni sana ! KWA KWELI PAMOJA NA KARO ZENU KUBWA LAKINI MNAWATUNZA VIZURI MNAJALI AFYA ZAO HASA LISHE. Nawashauri MPUNGUZE KARO PIA MNACHUZA SANA MSICHUKUE DARAJA LA KWANZA TU.

  • @solomonsilas1149
    @solomonsilas1149 2 місяці тому +1

    Tumsifu Yesu Kristu! Asante kwa update!

  • @marymasech7288
    @marymasech7288 2 місяці тому

    Hongereni waalimu kwa juhudi zenu
    Mungu awape nguvu.

  • @ElizabethAbel-tg6hn
    @ElizabethAbel-tg6hn 2 місяці тому +1

    Kongole kwako Sr kwa ufafanuzi mzuri wa uchambuzi huo.

  • @AvilaWilbard
    @AvilaWilbard 2 місяці тому

    Hongereni St augustine kaisho sec

  • @denismushi614
    @denismushi614 2 місяці тому

    Hongera Sana Sr Kwa hzo jitihada namini mwaka huu ni zaidi . hongera mtoto wa mama CDNK 🌹Kwa kazi nzuri

  • @anthonywilliam6510
    @anthonywilliam6510 2 місяці тому +1

    Safi sana shule za Kanisa katoriki

  • @juliusjohn1592
    @juliusjohn1592 2 місяці тому

    Hongereni sana Sr. Lakini ungetoa kwa asilimia ingependeza zaidi. Asante sana

  • @leonaldangaiza
    @leonaldangaiza 2 місяці тому +1

    Hongera sana kwa kazi hii nzuri ya kulijenga taifa la Mungu. Ushauri wangu ni vizuri zaidi takwimu kuhusu matokeo ziambatane na asilimia, mfano idadi ya wanafunzi waliopata daraja la 1 ni asilimia ngapi ya wanafunzi elfu 5 ? Ubarikiwe sana.

  • @paskalinakilave4795
    @paskalinakilave4795 2 місяці тому

    Msizifute kwa kuwatoa watoto musaidie wafanye vizuri

  • @Sr.BasilisaPanga
    @Sr.BasilisaPanga 2 місяці тому +3

    Hongereni sana kwa matokeo mazuri TEC na waalimu wa shule husika. Je. TEC yaweza kuongeza idadi ya wanafunzi kwa kuongeza idadi ya wanaojiunga kidato cha tano n sita. Au kuongeza idadi ya shule za kidato cha tano na sita? Tatu, ni masomo aina gani shule zetu zinafanya vizuri?

  • @danielmbunda3947
    @danielmbunda3947 2 місяці тому +1

    St. Peter's Seminary ongezeni juhudi, kama tulivyofanya kaka zenu

  • @SalomeSheshe-b4x
    @SalomeSheshe-b4x 2 місяці тому

    Tanga pokea maua yako🎉

  • @YohanaMbano
    @YohanaMbano 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @anthonywilliam6510
    @anthonywilliam6510 2 місяці тому

    Mbona Tabora hakuna

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 2 місяці тому

    Hao watatu umebana kauli, hakuna division inayosema hawakufanya vizuri, usimung'unye maneno sema wamepata division ZERO, hata hivyo *HONGERENI*

    • @benedictntilla6943
      @benedictntilla6943 2 місяці тому

      Kwa hiyo division ziro wamefanya vzuri?

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 2 місяці тому

      @@benedictntilla6943 kabla hujajibu soma vizuri uelewe kilichoandikwa.