kisima Sara Official Audio

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @Patomrwanja
    @Patomrwanja 6 місяців тому +8

    We kaka ni noma sana tunajivunia kuwa na msanii kama wewe mm najua tupo wasukuma wengi naomba like zenu❤❤

  • @ChristinaSami-dj5ej
    @ChristinaSami-dj5ej 6 місяців тому +5

    Nyimbo nzuri hazichoshi kusikiliza 😍

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 6 місяців тому +5

    Kazi powa ya Sara tumeipenda sana

  • @mbuziwakutaga
    @mbuziwakutaga 6 місяців тому +4

    Kisima unatuheshimisha sana sisi wasukuma mungu azidi kukupa nguvu zaidi💪💪💪💪

  • @JosephRobert-oz4cz
    @JosephRobert-oz4cz 5 місяців тому +2

    Mwaka u u nakupa namba moja mwaka jana ulishika nbir mwaka 1saiv nakubali kaka nimeerewa sana nyimbo iyo mm madaha salala ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @luhendenjile8240
    @luhendenjile8240 6 місяців тому +1

    Pamoja sana kaka karibu kwetu mpimbwe zugu udubhinile ngika

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 6 місяців тому +4

    Umetisha sana kazi zako ziko poa sana kinomanoma uko poa sana salute kwako nakukubali sana Kwa nyimbo zako Huwa siwazi kuhusu MB nikiwa nasikiliza Ngoma zako

  • @NYONGOJCHUMAS
    @NYONGOJCHUMAS 6 місяців тому +1

    Daaah tindulano nihatari mpaka nimetoa machozi jamn kisima olegw'embi ngosha

  • @SimonCharles-p9q
    @SimonCharles-p9q 6 місяців тому +1

    Hongera sana mwamba wakisukuma❤❤

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 6 місяців тому +2

    Kisima wewe Ni Msanii Namba Moja Duniani kwenye Asili Mimi Ndio Nasema Sasa❤❤🔥🔥🔥

  • @MichaelLwabuzala
    @MichaelLwabuzala 6 місяців тому +1

    Safi sana kazi nzuriiii❤

  • @DanieMgema
    @DanieMgema 5 місяців тому +1

    Kaka me Shabiki yak mpaka inafikia hatua me naomba nyimbo yak popote jap nipo nzimbia huku dah unanikosha sana❤❤❤❤ piga kaz kaka

  • @MagdalenaMhela
    @MagdalenaMhela 6 місяців тому +1

    Big up sana msanii wetu❤

  • @onestartz
    @onestartz 6 місяців тому +1

    Sema mbasha mtu mbad sana anyway 🎉🎉🎉🎉wimbo mzuri sana bro👏👏.

  • @georgeShija-zh6gq
    @georgeShija-zh6gq 6 місяців тому +5

    Ngoma kali nyanda majabala pamoja sana

  • @JohnPaschal-l9n
    @JohnPaschal-l9n 6 місяців тому +3

    mpaka mvaa ugugupandeka kiwashe majabala 🔥🔥🔥🔥🙏🙏👊

  • @EdwardCoplo-lt4xr
    @EdwardCoplo-lt4xr 6 місяців тому +1

    Wachimbaji wa kakola sasaaa🔥🔥🔥

  • @ndeteleleoizdory2292
    @ndeteleleoizdory2292 6 місяців тому +1

    Hii nyimbo nilkuwa nmeisubiri sana tandu ulipoipga kwenye show ya BILISHI🎉🎉

  • @benedicto1446
    @benedicto1446 6 місяців тому +4

    Hii song saf sana kisima 🎉🎉yako hayo

  • @bonifacehamis4088
    @bonifacehamis4088 6 місяців тому +1

    kisima unajua sana 🔥🔥🙌

  • @ntuzuboy7342
    @ntuzuboy7342 6 місяців тому +1

    Ngoma imeturia sana🎉

  • @edwardsamike6181
    @edwardsamike6181 6 місяців тому +2

    The greatest singer in Tanzania

  • @johnthomas3673
    @johnthomas3673 6 місяців тому +1

    Nimeiwahi kabisaaa hii leo 😄

  • @leticiachares727
    @leticiachares727 6 місяців тому +3

    Nakubali bro

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 6 місяців тому +1

    Hatunaga shoo mbaya

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou 6 місяців тому +2

    Tunataka ngoma kali zamwaka huu kaka

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 6 місяців тому +1

    Da huu wimbo umenigusa santeeee

  • @dalaliCharlesi
    @dalaliCharlesi 5 місяців тому +1

    safi sana umukaya

  • @maliganyakanuda
    @maliganyakanuda 3 місяці тому +1

    Ngoma ya moto sana hatari

  • @EmmanuelMwigulu-yf3om
    @EmmanuelMwigulu-yf3om 6 місяців тому +1

    kazi moja

  • @JacklineMgema
    @JacklineMgema 4 місяці тому +1

    Uko vizur napenda nyimbo zako

  • @abdullikadiri
    @abdullikadiri 4 місяці тому +1

    hii nyimbo ipo vizur sana

  • @mbusimzee7801
    @mbusimzee7801 6 місяців тому +1

    Mimi ni shabiki mkubwa nyanda majabala niko mwanza natamani sana kuonana na huyu jamaa natokea nkololo ya mwamoto

  • @ramadhankwilasa2371
    @ramadhankwilasa2371 6 місяців тому +1

    Hakika Kila jambo lina Wakati wake kaka kisima piga kazi maana tuliowahi kukuona mwanzo kabisa kiukweli umepitia mengi ndugu unatembea na Njalu kwenye kampeni za CCM itilima daah ulikuwa na magumu mno

  • @kadala06
    @kadala06 6 місяців тому +2

    I Always listening to your songs...

  • @emmanuel.michezo4764
    @emmanuel.michezo4764 5 місяців тому +1

    Fanya kazi kijana wanye majungu watajua 2😂

  • @kandolomatiasi5363
    @kandolomatiasi5363 6 місяців тому +1

    Kka pamoja san majaba moja

  • @TadeoAmos-rt1iu
    @TadeoAmos-rt1iu 6 місяців тому +1

    Au siyo mzingo wamaana huoo

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 6 місяців тому +2

    Mim Sio wa kuambiwa na kusimuliwa ila ndio wa kuwaambia kisima katoa ngoma mpya ya Sarah. MTC is 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nguzotv
    @nguzotv 6 місяців тому +3

    HIVI WEWE KISIMA ULIKUWA KWENYE MAWAZO YANGU??
    MPENZI WANGU SARA ALINIACHA MPAKA SAIV YUPO DAR ES SALAAM DAAAH!! KISIMA🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @LupigiLugosha
      @LupigiLugosha 6 місяців тому

      Na Tv Nazo Siku Hizi Zina Wapenzi

    • @nguzotv
      @nguzotv 4 місяці тому

      Tulia wewe Mshamba unajua nini wewe,Tv inajiongoza yenyewe au na watu

  • @minzimasebumisinzo3653
    @minzimasebumisinzo3653 6 місяців тому +2

    MTC to the GLOBAL🎉

  • @SophiaGodwin-c8w
    @SophiaGodwin-c8w 6 місяців тому +1

    Yaan Wakati wa mungu ukifika hakuna wa kupinga nakumbuka kisima ulikuwa unabeba gunia la mahindi kupakiza kwenye gari hapo nyumban kwetu senani😅😅

  • @AllySalum-h4j
    @AllySalum-h4j 6 місяців тому +1

    mimi na wewe mpaka kieleweke

  • @nestorylutambi3359
    @nestorylutambi3359 6 місяців тому +1

    Big up

  • @JimaliSani
    @JimaliSani 6 місяців тому +1

    Unatueshimisha wasukuma pamoja sana

  • @malifedhamachimu4882
    @malifedhamachimu4882 6 місяців тому +1

    Kipindi hicho unapakia mahindi kwenye gari senanii nakuja kama tan boy na ndinga imendikwa mwanz ni mgumu...piga kazii nyanda omukaya

  • @NYONGOJCHUMAS
    @NYONGOJCHUMAS 6 місяців тому +1

    Song kumi nime dowlinoad nane na nimechangia albam yetu wasumukuma kwa mtunga nyimbo nyimbo jaman

  • @DeusMabula-k6n
    @DeusMabula-k6n 6 місяців тому +4

    Excellent songs

  • @stivenjiduki6606
    @stivenjiduki6606 6 місяців тому +1

    Majabala Traditional culture tupo juu sana turn up the volume🔊🎼🎼

  • @DjzombiMusictz-sb1xk
    @DjzombiMusictz-sb1xk 6 місяців тому +1

    Twendeni na sara

  • @JEREMIAHLUSANIKA
    @JEREMIAHLUSANIKA 6 місяців тому +2

    🔥🔥🔥

    • @SahaniKihongwe
      @SahaniKihongwe 6 місяців тому +2

      Safi sana

    • @SahaniKihongwe
      @SahaniKihongwe 6 місяців тому +1

      Wa kubese safi sana kisima kazi nzuri njoo mladz kaka

  • @maduhukasanda8561
    @maduhukasanda8561 6 місяців тому +1

    Ngoma kali

  • @KiwambaliMashaka
    @KiwambaliMashaka 6 місяців тому +3

    Nakubali

  • @SebastianAbel-c4s
    @SebastianAbel-c4s 6 місяців тому +4

    Safi kijana

  • @JacklineMgema
    @JacklineMgema 4 місяці тому +1

    Uko vizur

  • @masungasayi3298
    @masungasayi3298 6 місяців тому +1

    Mtc tanzania kisima majabala pamoja

  • @Emma562
    @Emma562 6 місяців тому +1

    Safi tolaga milemo nkoi

  • @drmaky3159
    @drmaky3159 6 місяців тому +2

    Kisima ni mzaliwa wa wapi??

  • @IkambulaMtunga4670
    @IkambulaMtunga4670 6 місяців тому +2

    KISIMA NYANDA MAJABALA 🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @EnosManyilizu-nf3xp
    @EnosManyilizu-nf3xp 6 місяців тому +1

    Saf ujumbe mzuri san kwa dada zetu wavivu kifany kaz

  • @Ng_wenda_Pole
    @Ng_wenda_Pole 6 місяців тому +1

    C.E.O.wa_kampun_kubwa_ya_MTC_TANZANIA_nakukubaligi_sana

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 6 місяців тому +1

    King Majabala

  • @salimukombo8973
    @salimukombo8973 6 місяців тому +2

    Namba 9

  • @DIRECTOR_MSAFIRIJ
    @DIRECTOR_MSAFIRIJ 6 місяців тому +3

    Unyama

  • @maduhukasanda8561
    @maduhukasanda8561 6 місяців тому +1

    Video yake IPO wapi majabala😅

  • @msukumamediatanzania6437
    @msukumamediatanzania6437 6 місяців тому +1

    Bhe kisima eshene hatari

  • @maduhukasanda8561
    @maduhukasanda8561 6 місяців тому +1

    Video IPO wapi majabala 😅

  • @ANTONITzofficai
    @ANTONITzofficai 6 місяців тому +2

    Facebook

  • @EdwardJuma-dv9jg
    @EdwardJuma-dv9jg 6 місяців тому +1

    Neyo Lolo sala

  • @dickmanmtumbayamwanzamoja308
    @dickmanmtumbayamwanzamoja308 6 місяців тому +1

    Uhakika

  • @wachachesana
    @wachachesana 6 місяців тому +2

    Nakubali

    • @benedicto1446
      @benedicto1446 6 місяців тому +1

      Hii song saf sana🎉🎉🎉yako kaka chukua