Josephine Minza - Yahweh (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Wimbo huu ni wimbo unaoeleza namna ambavyo Mungu wetu amejitambulisha kwetu kama YAHWEH ambapo kiebrainia huliandika YHWH. YHWH (yaani, “Mimi Ndimi”) ni herufi nne ambazo kwa Kiebrania zinaandikwa יהוה. Ni konsonanti zinazounda jina la Mungu lililo muhimu kuliko yote linalopatikana mara 6,828 hivi katika Biblia ya Kiebrania kuanzia Mwa 2:4.
    Wimbo huu kwangu umekuwa ni wimbo wa kumuabudu Mungu wangu kwa ujasiri na kumuangalia Mungu kwa IMANI YA HAKIKA kuwa hakuna kama yeye katika hali zote kwenye maisha yangu.
    Ubarikiwe sana uusikilizapo wimbo huu.
    SONG AUTHOR AND WRITER: Josephine Minza
    MUSIC DIRECTOR AND ARRANGER: Sam Yonah
    AUDIO CAPTURING: Choosen Records(Sam Mboya)
    VIDEO CAPTURING: CYBER LINK(Silvester)
    #JosephineMinza #Yahweh #MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 15