Josephine Minza
Josephine Minza
  • 35
  • 368 593

Відео

Josephine Minza - Neema Imenifunika ( Official Music Video )
Переглядів 5 тис.2 місяці тому
Josephine Minza - Neema Imenifunika ( Official Music Video )
Josephine Minza ft Stella Emmanuel - Heshima Na Adhama ( Official Music Video )
Переглядів 6186 місяців тому
Josephine Minza ft Stella Emmanuel - Heshima Na Adhama ( Official Music Video )
Josephine Minza - Haleluya ( Official Music Video )
Переглядів 4796 місяців тому
Josephine Minza - Haleluya ( Official Music Video )
Josephine Minza - Fill Me (Live Musci Video)
Переглядів 1,6 тис.6 місяців тому
Josephine Minza - Fill Me (Live Musci Video)
Josephine Minza - Nina Haja Nawe (Live Music Video)
Переглядів 1,2 тис.7 місяців тому
Katika maisha yetu ya kila siku, kama wanadamu hatuwezi kufanya jambo lolote bila kuwa na msaada wa Mungu. Wimbo huu ukawe ni maombi yako kwa Mungu kwamba unamuhitaji wakati wowote na Mungu atakutendea muujiza wako. Zaburi 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. #JosphineMinza #NinaHajaNawe #LiveMusicVideo
Josephine Minza & Pastor Nsia Ndossi And Michelle Mastai - You Are Holy ( Official Music Video )
Переглядів 4,2 тис.11 місяців тому
Josephine Minza & Pastor Nsia Ndossi And Michelle Mastai - You Are Holy ( Official Music Video )
Josephine Minza Ft Ambwene Mwasongwe And Nicole Ngabo - Hallelujah ( Live Music Video )
Переглядів 67 тис.Рік тому
Front of House/Sound Engineer :- Innocent Mujwahuki Monitor Mix and Stage Management/ Sound Engineer:- Christian Mgana Light Design and Programming:- Fado Dc Coordinator:- Raymond P.A System:- Scope Pro Audio Backline:- Sound Solution International Trassing:- S&M Lights:- Visual Matters Venue:- Mbezi Garden Graphics:- DanielGeorgetz Band Main Keys: Haroun C. Simule Auxiliary Keys: Elisha Mubila...
Josephine Minza Ft Jackson Benty - Umenirehemia (Live Music Video)
Переглядів 6 тис.Рік тому
Mungu alinisaidia kuupata wimbo huu nikiwa ninahudumu katika ibada ya jumapili kanisani ninako abudu. Na ulileta mabadiliko makubwa kwangu na kwa mwili wa Kristo katika kanisa. Ndipo nilipo amua kuuandika na kuufanya kuwa sehemu ya maisha yangu kama maombi ya rehema na shukurani kwa Mungu. Mungu akubariki unapotafakari rehema zake asubuhi ya leo. #JosephineMinza #JacksonBenty #Umenirehemia
Josephine Minza Ft Goodluck Msuya - Utukufu Haleluya (Live Music Video)
Переглядів 10 тис.Рік тому
I thank God for the grace to sing this song and record it with a minister of God Goodluck Msuya. It is a hym song and has become a blessing to many. This song of praise aim to exalt King of Glory following His work on the Cross. To God be the Glory as we Praise Him through this song. Song writer : Josephine Minza Album : Worship circle BAND: Musical Director,Vocals/Music Arranger Main Keys @sam...
Josephine Minza - Sioshwi Dhambi Zangu. (Live studio session)
Переглядів 9 тис.Рік тому
Wimbo huu ni wimbo wa kitabuni katika kitabu cha tenzi za rohoni wimbo namba 78. Ni wimbo unampa Mkristo yoyote ujasiri ya kwamba dhambi zetu zote husafishwa na kutakasika kwa kupitia damu ya Yesu. Hata hivyo haki zetu zinahesabika kwa kupitia damu ya Yesu Kristo. Mungu akubariki unapiendelea kusikiliza maneno ya wimbo huu. Artist singer @ josephineminza. Video capturing @director masai Audio c...
Josephine Minza - Yahweh (Official Music Video)
Переглядів 2,2 тис.Рік тому
Wimbo huu ni wimbo unaoeleza namna ambavyo Mungu wetu amejitambulisha kwetu kama YAHWEH ambapo kiebrainia huliandika YHWH. YHWH (yaani, “Mimi Ndimi”) ni herufi nne ambazo kwa Kiebrania zinaandikwa יהוה. Ni konsonanti zinazounda jina la Mungu lililo muhimu kuliko yote linalopatikana mara 6,828 hivi katika Biblia ya Kiebrania kuanzia Mwa 2:4. Wimbo huu kwangu umekuwa ni wimbo wa kumuabudu Mungu w...
Josephine Minza Ft Rehema Simfukwe - Wastahili (Live Music Video)
Переглядів 47 тис.2 роки тому
Ufu 5 (SUV) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹¹ Nikaona nikasikia sauti ya malaika wengi pande zote za kile kiti cha enzi, na za wale wenye uhai, na za wale wazee, na hesabu yao ilikuwa elfu kumi mara elfu kumi na elfu mara elfu, ¹² wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka. Singer/songs Writer: JOSEPHINE MINZA @josephine_...
Josephine Minza - Pamoja (Live Music Video)
Переглядів 13 тис.2 роки тому
Praise God. This song PAMOJA has been recorded at WORSHIP CIRCLE⭕ LIVE RECORDING which organised by servant of God @Josephine Minza Its a song that she wrote when she was meditating the book of 2 Chronicles 5 (KJV) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹² Also the Levites which were the singers, all of them of Asaph, of Heman, of Jeduthun, with their sons and their brethren, being arrayed in white linen, having cymbals a...
Josephine Minza - Mimi Si Mtumwa (Live Studio Music)
Переглядів 2,3 тис.2 роки тому
Namtukuza Mungu kwa ajili ya neema yake na nguvu yake katika kulitafakari neno lake kila siku. Wimbo huu niliutunga na kuuandika baada ya kuwa nimesoma neno la Mungu katika kitabu cha WARUMI 8:15 na kujifunza kuwa mimi si mtumwa tena, bali ni Mwana wa Mungu. “Kwa kuwa hamkupokea tena roho wa utumwa iletayo hofu; bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambayo kwa hiyo twalia, Aba, yaani, Baba.” - r...
Josephine Minza Ft Ushindi Leonard - Kwa Uzuri Wa Utakatifu (Live Music Video)
Переглядів 50 тис.2 роки тому
Josephine Minza Ft Ushindi Leonard - Kwa Uzuri Wa Utakatifu (Live Music Video)
Josephine Minza - Roho Mtakatifu (Official Music Video)
Переглядів 17 тис.3 роки тому
Josephine Minza - Roho Mtakatifu (Official Music Video)
Josephine Minza - Damu Imebubujika (Tenzi Za Rohoni)
Переглядів 9 тис.3 роки тому
Josephine Minza - Damu Imebubujika (Tenzi Za Rohoni)
Josephine Minza ft Gwamaka Mwakalinga ft Samyona ft lizblecing - Let Your Will Be Done.
Переглядів 12 тис.4 роки тому
Josephine Minza ft Gwamaka Mwakalinga ft Samyona ft lizblecing - Let Your Will Be Done.
Josephine Minza & Eliya Mwantondo - Hyms Lyrics
Переглядів 7 тис.4 роки тому
Josephine Minza & Eliya Mwantondo - Hyms Lyrics
Josephine Minza ft Baraka Mwangalika - NIMEKOMBOLEWA lyrics
Переглядів 8574 роки тому
Josephine Minza ft Baraka Mwangalika - NIMEKOMBOLEWA lyrics
YAHWEH song -JOSEPHINE MINZA at AICT MAGOMENI CHURCH. Worship experience overnight
Переглядів 3,3 тис.4 роки тому
YAHWEH song -JOSEPHINE MINZA at AICT MAGOMENI CHURCH. Worship experience overnight
WASTAHILI BWANA.
Переглядів 6434 роки тому
WASTAHILI BWANA.
Josephine Minza - Kwa Uzuri Wa Utakatifu (Official Music Video)
Переглядів 32 тис.4 роки тому
Josephine Minza - Kwa Uzuri Wa Utakatifu (Official Music Video)
Josephine Minza - Karibu Na Wewe (Official Music Video)
Переглядів 26 тис.4 роки тому
Josephine Minza - Karibu Na Wewe (Official Music Video)
YAHWEH By Josephine Minza Ft Bertha Mwakitwange
Переглядів 2,7 тис.4 роки тому
YAHWEH By Josephine Minza Ft Bertha Mwakitwange
PAMOJA - JOSEPHINE MINZA Ft PASTOR BOMBY JONSON X SARAH NDOSSI
Переглядів 6 тис.5 років тому
PAMOJA - JOSEPHINE MINZA Ft PASTOR BOMBY JONSON X SARAH NDOSSI
You are might God by Josephine Minza
Переглядів 3045 років тому
You are might God by Josephine Minza
El Shadah by Josephine Minza
Переглядів 1,1 тис.5 років тому
El Shadah by Josephine Minza
Nakwabudu by Josephine Minza
Переглядів 2 тис.5 років тому
Nakwabudu by Josephine Minza

КОМЕНТАРІ