Dibozi anatia huruma sanaaa😢😢😢Anapigwa faini kosa halijui😢duuuuuuhhhhh huruma sanaaaaa ila haki itapatikana mwisho wa movie hii wanaoamini walike hapa🎉🎉❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉ila mumepunguza muda daah ,shey shey na team yako mko sawa sana,alafu huyu mke wa diboz n msaliti yuko upande wa shey shey 😮😮😮😮,nampongeza huyu binti Diboz yuko sawa sana pia na advice
Dibozi anatia huruma sanaaa😢😢😢Anapigwa faini kosa halijui😢duuuuuuhhhhh huruma sanaaaaa ila haki itapatikana mwisho wa movie hii wanaoamini walike hapa🎉🎉❤❤
Duhhh mkewe dibozi anazinguwa snaaaa,,,, waloliona hilo tujuane kwakoment❤❤❤❤❤
❤❤❤🎉🎉🎉ila mumepunguza muda daah ,shey shey na team yako mko sawa sana,alafu huyu mke wa diboz n msaliti yuko upande wa shey shey 😮😮😮😮,nampongeza huyu binti Diboz yuko sawa sana pia na advice
Kanziru dada sheishei Ila muwe Munakwenda na kwa kp mala moja moja na ❤❤❤
Sheila unatisha kaah lakini huyu mama wa huyu mzee kumbe ninyoka❤❤❤❤
😂😂😂😂 mama mdogo msaliti dawa yako ipo 😅😅 napenda sana huyu binti ya Dibozi very wise ❤❤
Muko vizuri kweli 💪💪❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪
Wote nilio wakuta nime wapa like na mm jamani❤❤❤
Nimechelewa lakini nimefika dadag kipenzi twakupenda sn🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞💞💞💞💞💞💞💞❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nyokooo! Mama mdongo nimesikia kila kitu waongea na nani je anataka nn pia unausiana vipi na sheyshey
😂😂😂
😂😂😂
Utoto hautaisha we mbwa
❤🎉❤🎉❤🎉❤❤❤❤❤🎉❤🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤na wapenda sana timu Shei shei
🎉🎉🎉🎉pokea maua na baraka zako dada shey shey
Shey Shey nakukubali kinoma sana, nakupenda
Sheila KAZI nzuri nmependa Sana KAZI yako momma nakupenda Sana ❤❤watching from Kenya the capital city of africa😮
Tuongezee muda iko xawa sana
Watatu kutoka kenya 🎉🎉🎉 nani anaona sheila anafanana na ninah mpendwa kutoka kenya
Wallahi Hii movie tamu sana❤❤
Dakika zinakwenda Dakika Dakika zinakimbia Dakika😅😅😅😅😅
Wakanza Mimi kutoka 🇧🇮🇧🇮
Wa Kwanza Kutoka Kenya🎉🎉nawaombeni likes jamani❤❤
Kazi nzuri Shy shy
Nakupenda dad sheyshey
Safi sana nafwatiliya kutoka Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 tukutane wenzangu wacongo
Wa Kwanza kutoka KENYA ❤❤ musininyime likes 😝
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Maskin mzee dhiboss anatia huruma nani mwiginee anamwonea huruma dhiboss kama mm wapi like zetuu
Yuko kwenye wakati mgumu sana
Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu awajalie sana wasanii wetu mungu awape Afya njema ❤❤❤❤
Wakwanza from Tanzania.
nimewayi leo shey shey nampenda sana gonga link kama unamkubali shey shey ❤❤
Kaicherewesha kidogo kama unaamini alicherewa like amechelewa kidogo
Hakika miss chei chei unajua kuceza ipasavyo 🎉🎉🎉wanaokubariyana na mimi gonga hapa nipate ata like tanu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Shey shey
Olá my love sheila ❤❤❤kazi mzuri kipenz changu🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏
Kazi nzuri sana da shey&dar kid
Powa kazi nzuri wangu
Uy mam mdogo haeleweki duuuuh siy poa alakini naw❤❤❤❤❤❤
Kikulacho ki nguoni mwako dibozi
Nimewai Leo kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
From gambosh pacha wa mwakatobe ❤❤yuleyule wazee wa kupaa kama ndege scrutiny kwako kwa movi kali from darkid
Saluti kwako❤❤❤
Mimi Leo wakwanza from Mozambique 🇲🇿, naombeni likes ata 3 tu jaman 😢
Kazi nzuri Shaila, nakufatilia nikiwa Kenya Nairobi
Kazi nzuri sana🇹🇿
Pamoja naww tangia 1 mbaka 11
Yaliyopita kwenye dakika,, dakika zinakwenda dakika,, dakika zinakimbia dakika 🤣 🔥
Dakika zinakimbia
@@PaulPeter-f2c sana shey shey keshasema mimi ni nani mpaka nipinge?
😂😂😂😂😂😂kazini kwetu Leo kunakazi mamdogo kapatikana
Dada shey shey kazi nzuri sana kipenzi ❤❤❤
Kutoka kenya mr dibosi wehuogopi❤❤❤❤❤
huyu ma mdogo anatamaa Sanaa atakufa vby hyu😂😂😂😂 shenzi na nusu marijuana 🍁
Du mbona hapa patamu sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉mauwa yenu
Shey shey sijapenda kwakwel duu
Nakupend San dada ❤❤ na pia napend sn kaz zak ❤❤🎉🎉🎉🎉
Sheila hongera sana Mungu akuinue umejua kuichezea timu hiyo mtoto wa kike Mungu akuinue
Dah kumbe kuwa wakwanza kukoment niishi
Safi siku za mwizi ni arobain huy mama anajifany mke mwema sasa kakamatika
Hongera kazi nzuri 😂
Mmmh jaman kuulizwa time n mwanafunzi kama sai n saa ngap ilkuwa shida😢😢😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂weeee apo mwisho jamani 😊😢😢😢
Aki nyinyi hii movie inaenda aje 😥 hadi sijaelewa walai lakini nimependa dada ya maya kwa kushauri babake asikubaliane n shey shey anamtumia to🎉🎉🎉❤❤🇰🇪
Twende nalo 🔥🔥
Sheila dibos shukrani wapedwa kawa mafuzo ❤❤
😢😢😢jamani mzee Dibozi ila Sheila unazingua
Kazi nzuri sheyshey and the team much love from 🇰🇪
Kaz nzuri sana
Muko vizuri sana🎉❤
Shey shey Jamani we ni jambazi haswa, umecheza vizuri mno
2 ❤❤❤❤Leo nimimi
*Dada angu Shey Shey naomba ❤ yako hapa tafadhari sana. Mimi ni yule yule fans wako sugu. YALIYOPITA, KWENYE DAKIKA. Dakika zinakwenda dakika, dakika zinakimbia dakika* 🙌🙏🙌
❤❤❤❤❤huchelewii😂😂😂🎉🎉
@Noela-l8e ntachelewaje kwa dada angu Shey Shey 😆
Uko kila mahali wewe
@@Damarisisanya-ww3lv 😆🙌😀 nimecheka sana 😀
*Asante sana dada angu SHEY SHEY kwakuweka ❤ tuko pamoja sana*
Angekuwepo na kp hapa ingekuwa balaaa maana story imetulia sana
Vyenye nilikuwa nimemiss ❤❤
Next ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Dah! Itakuaje mamdogo🎉🎉🎉🎉
Diboz kwann usiseme ukweli😢😢😢😢😢napicha zako ziko zakusubiri uangamie wakati mchezo mkeo kaucheza
Kazi nzuri kipenzi sheyshe
Nahurumia sana dibozi ela usijali haki ya mwanao utapatikana
Huyo mamdogo ni shetani kumbe...AUDHU BILAH...
From Kenya
Wangapi wanampenda dadaake Maya kwa ushauri mzuri kwa babake
From Kenya 🎉🎉❤
Kaz mzuri kipenz
Makofi kwa Binti dibozi😂😂🎉
Huy mamdogo ni nyok hata hafai kumshirikisha chochot kil maan lao ni limoja na huy jambazi wakike
Huyo bint anamiakili mingi lakin hawezi kumshinda dada shey shey
Kaz nzur🎉🎉🎉
Wauuu msaliti kapatikana😮😢
Shey Shey unamtesa dibosi kwanini😢😢😢
Usichokijua mamaako mdogo n adui yenu ww na babako 😢
Kipengere 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Wa pili kutoka kenya
Eeeeh hii noma
Changamoto ya DEBOZ ni mkewe not otherwise 😂😂😂
Shey shey big up pambana sister tuko pamoja nawew mbaka ufikishe300k
Uyu bint atakua mtoto wa diboz kwer maana wamefanana
Afazali jinsi umenguduwa uyo mama yako mdogo
Leo nakuj mapem kl😂🤭🤭🤭❤❤❤❤👌👌
Nime kuwa wa Tano Leo from 🇲🇿🇲🇿
Uyu mamake mdogo Maya kumbe sio mzuri yko pamoja na shey😏😏
Nzuriii
Huyu mama ni mjinga sana na anacheza sheyshey hajui huyo ni nyoka atamgeuka tu
Uyo mamdogo ni mbaya wenu diboz
Wajameni huku tu naangalia Dakika tusiwe wachoyo tupeaneni hiyo FREE VPN ya waarabu tuburudike pamoja kama kuna aliyepamoja na mm gonga like apa 👍👍
Safi sana, we are enjoying.
Naomba like ata moja kutoka moshi