Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Miili ya watoto yapatikana katika gari kwenye kituo cha polisi, Athi River || NTV Sasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2020
  • #NTVSasa #NTVKenya #NTVNews
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
    #NewNormal #NTVKenya #YourWorld

КОМЕНТАРІ • 70

  • @rachelkitila3544
    @rachelkitila3544 4 роки тому +5

    The car had been parked in the police station since much and the kids were missing in the last 11days this story is not adding up at all. Someone in that working station is behind that

  • @gamanahassan9145
    @gamanahassan9145 4 роки тому +5

    The main suspect are the police on that station
    This is so disturbing

  • @Esty1248
    @Esty1248 4 роки тому +2

    2 weeks hhhmmm 😢😢hawakua wanasikia harufu? Hiyo police station haina security guard kwa gate?

  • @peterjensen1673
    @peterjensen1673 4 роки тому +6

    The kenya police are capable of doing anything. I mean anything and everything.

  • @babrambula9367
    @babrambula9367 4 роки тому +8

    Same time's I wonder,mtu ukua na akili mzuri kuteza watoto wenye Awana hatia Hadi kuuwa?mwenye aliuwa hao watoto Mungu amuonekanie Sina lakusema.inauma Sana.

  • @wlkmwlkm3381
    @wlkmwlkm3381 4 роки тому +1

    Wowaa kwani police kazi yao nikulala tu tangu hao watoto waletwe policy station alafu waingizwe ndani ya gari vifunguo za gari zilipatikanaje isitoshe police station nilazima iwe gate inafungwa kila wakati wenye duty ya hiyo siko walikuwa wapi inaeza kuwa ni hao to police wenyewe ndio wenye walifanya hicho kitendo

  • @fredrickkevogo
    @fredrickkevogo 4 роки тому +4

    Hawa police wachungunzwe ,mara nyingi hawa police wamekua wakishiriki visa vya utekaji nyara

  • @peterjensen1673
    @peterjensen1673 4 роки тому +8

    Did you mention CCTV in a police station in kenyA....... thats the last thing they will accept.

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 4 роки тому +4

    Heard this story on hot 96 it's a disturbing one 😣

  • @timohwalikoni3992
    @timohwalikoni3992 4 роки тому +7

    Police in that station are the main suspects

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 4 роки тому +1

    Police station zimekua mortuary sasa.

  • @edwinwanyanga1881
    @edwinwanyanga1881 4 роки тому +2

    Those kids were reported missing many weeks back not few days avgo

  • @elizabethnjoki9320
    @elizabethnjoki9320 4 роки тому +3

    Yaani kitedo kikifanyika ndiyo sasa mnafikiliaambo mambo ya cctv surely, are u serious on what ur saying afade?oh God hide our children in the place where devil cant reach them.sasa watakuwa wanachezea kwa manyumba

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 роки тому +2

    Huo ni ukumbavuu wenu hamuna mpangilio na hii Digital muna expect nini washenzi nyinyi

  • @kariukimuhuthu6220
    @kariukimuhuthu6220 4 роки тому +1

    Ithink a good Samaritan took the two kids to the police station .the police on duty sheltered the kids in the car closing the doors .this led to the suffocation of the two kids

  • @rasnews1703
    @rasnews1703 4 роки тому +5

    I think maybe someone took the kids to the police station as lost, then someone decided to have them sleep in car, then forgot to check on them, then the kids suffocated in there (my thinking)

    • @marrelfashions3351
      @marrelfashions3351 4 роки тому +1

      I concur with you

    • @loicewambui4331
      @loicewambui4331 4 роки тому +1

      They were in a sack

    • @rasnews1703
      @rasnews1703 4 роки тому

      @@loicewambui4331 nop the ocpd said they were not in a sack

    • @victorobondo1165
      @victorobondo1165 4 роки тому +1

      It's hard for anyone to suffocate inside a car. Since the OCPD said they weren't in the boot. If the kids were in the car alive they would have shouted or cried and people outside would have heard

  • @rechealmugure9198
    @rechealmugure9198 4 роки тому +7

    Mwenye kufanya hivi asipate amani maisha yake yote

  • @benardgacungi9241
    @benardgacungi9241 4 роки тому

    Wananjua.. God. Harari

  • @marywanjirumburu3482
    @marywanjirumburu3482 4 роки тому +1

    Seth good questions

  • @enockmaghangamjawasi.6493
    @enockmaghangamjawasi.6493 4 роки тому +1

    This is very heartbreaking!

  • @benedictmungai2889
    @benedictmungai2889 4 роки тому +3

    Kwani Kenya tuko nyuma Kia's gani police station hakuna CCTV ??

    • @stevechira1446
      @stevechira1446 4 роки тому

      Well after half a century after independence we got another half to install

  • @ivywairimu6522
    @ivywairimu6522 4 роки тому

    Very painful 😥

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 4 роки тому

    Owner of the vehicle?

  • @carolineomoit2693
    @carolineomoit2693 4 роки тому

    So sad 😢😪

  • @rhinokifaru1699
    @rhinokifaru1699 4 роки тому +1

    Ati CCTV never ever ,

  • @ka5919
    @ka5919 4 роки тому +6

    Tafadhali NTV heri mwambie Seth Olare arudi shule asome Kiswahili. Anavunja lugha!!!!☹️☹️

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @shokandogo5526
      @shokandogo5526 4 роки тому +2

      mwenzetu hapa juu amegeuka examiner,fagia kwako kwanza..umepewa habari na bado roho chafu

    • @paulinefanuel3238
      @paulinefanuel3238 4 роки тому +1

      Heri haungesema kitu kuhusu Seth

    • @dorcasdee1114
      @dorcasdee1114 4 роки тому

      Mimi nilikuwa tu nacheka🤣🤣🤣🤣

    • @tsunamidigital5431
      @tsunamidigital5431 4 роки тому

      Seth is not bilingual, yeye hureport na kizungu bt all the same si umeelewa??

  • @mariegosset7482
    @mariegosset7482 4 роки тому

    So bad to the family for the loss of this innocent kids, RIP young angels.

  • @kimkim8808
    @kimkim8808 4 роки тому +7

    Ocpd sahii ndiyo unafikiria mambo ya cctv?? Nani huandika hawa ma askari wachezi kama hawa?

    • @shee716
      @shee716 4 роки тому

      😂😂😂😂 hata mimi cjui

  • @artoscahbogitah
    @artoscahbogitah 4 роки тому

    You know I always wondered whose voice that was...I guess that is all to be said regarding that..RIP for the young lost souls

  • @elizabethnjoki9320
    @elizabethnjoki9320 4 роки тому

    Poleni sana wazazi surely waliwaua kwanini?kweli watu niwagojwa vijwa?hawajali pia hawaogopi Mungu

  • @billaanyango8208
    @billaanyango8208 4 роки тому

    Kwani hakuna cctv camera?
    Police ya kenya bure kabisa

  • @thevineyard7149
    @thevineyard7149 4 роки тому +1

    Whose babies?

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 4 роки тому +1

    Serekali inawaonea huruma watu kama hao wanao uwa wangenyongwa tuu munafuga wauwaji magerezani

  • @faustinemuoki490
    @faustinemuoki490 4 роки тому +1

    So pathetic...no cctv no ideas even at the crime scene..

  • @magdalenemuthoni94
    @magdalenemuthoni94 4 роки тому +2

    Kwan hamkua mnaskia harufu??nyinyi hamfai kua Nazi,

    • @bmalcolm1357
      @bmalcolm1357 4 роки тому

      ati wanasema walikuwa wanavaa mask na kuhisi tu arufu ya sanitizer

  • @susankaburu140
    @susankaburu140 4 роки тому

    Hofu sana eti mume funguka macho.

  • @mohamedabdullahi2410
    @mohamedabdullahi2410 4 роки тому

    Hi

  • @stainnerkapedo33
    @stainnerkapedo33 4 роки тому

    Hii ni hofu na wenye hizo tabia wakipatikana wasiachiliwe uhuru

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 роки тому +1

    Mm najiuliza gari ni ya nani ?nani alileta gari police station? Ililetwa lini na iliingia ajy 🙄🙄

    • @antonymuli5028
      @antonymuli5028 4 роки тому

      Hujaisikia mzuri ww gari ililetwa ikifulutwa aikuwa na mtu yeyote na gari enyewe ililetwa mwezi wa Tatu so which means watoto walipotea mwezi wa Sita.. c unaelewa

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 4 роки тому

      @@antonymuli5028 sasa nimeelewa

  • @esthernasieku9898
    @esthernasieku9898 4 роки тому

    Kwanini watu wanaua watoto.😡😡😡😭😭

  • @fredrickkevogo
    @fredrickkevogo 4 роки тому

    Ama ni mambo na child support tena , i thought a police station should be the most secure place ,how comes that strange things are happening in the police station without anyone noticing, why ,

  • @antonymuli5028
    @antonymuli5028 4 роки тому

    Siku izi watu wanakula watoto ama shda n nn

  • @cristinanagelanagela9420
    @cristinanagelanagela9420 4 роки тому

    KAINI. NDAMU. HITATOKA. KWA. MIKONO. YAKO. HIO. MIKONO. IWE. IKIKUKUMBUSHA VILE ULIFANYA

  • @ondusojohn8884
    @ondusojohn8884 4 роки тому

    Mbona mtu auwe watoto wenye hawajui lolote😭😭😭.Na kusisitiza tafhadhali KTN tafuta mtu mwingine wakusaidia huyu jamaaa kwa matamshi na lugha pi.