WANANCHI KITETO WAIGOMEA BARUA YA SERIKALI INAYOTENGA ENEO KUWA MALISHO YA MIFUGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @simonkipondo1453
    @simonkipondo1453 2 роки тому

    Hongereni sana serkali pendwa ya mama Samia tobiko suluhu Hassan, Kwa kuwajali mifugo na wanyama pori ili iwe endelefu Kwa vizazi vijavyo

  • @hassanabdillah3325
    @hassanabdillah3325 2 роки тому +1

    Busara hikima weledi uadilifu muhimu sana kwanchi yetu hatuna pakwenda Tanzania ndio nchi mungu ametuweka

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 роки тому +1

    Ndungai alishasema samia anauza Nchi. watanzania walianza kumutukana Unaona Tangu ameiongoza Tanzania . Migogoro Sasa hivi ni kila kona.Wakati jpm ezi za lukuvi migogoro ilipungua alivyoweka mtoto kikwete migogoro imezindi Kila mahari Tanzania ni migogoro ya aridhi. Watanzania amukeni

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Рік тому

    Namkumbuka ndugai.

  • @MwinyiBwanga-i3l
    @MwinyiBwanga-i3l Рік тому

    Ipo siku Hawa watataka watu wengine wasifike huko kwao maana wanaona hiyo aridhi ni yao peke yao wakat ni mar ya serikar kikatiba ebu watu wasome katiba inavyoeleza kuhusu umiliki wa aridhi k

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Рік тому

    Mkikubali mtanyanyasika Kama was Ngorongoro kwanini nanyi wafuhaji wanaandamwa huku wakubwa maeneo yao hayaguswi?

  • @thomsmollel1280
    @thomsmollel1280 2 роки тому +1

    Nashangaa Sana watu wanao msifia mama kuwa amefanya Kaz nzr kazi gan hyo nzr yenye amefanya Zaid ya kila cku wnanchi kunyang'anywa maeneo yao ya kuishi serikali hii ya mama inaonea Sana wananchi af mama ako kmy tu nchi iko na matatizo kibao drama nyingi kwa viongozi wetu badala ya kusolve matatizo ya wananchi

    • @MwinyiBwanga-i3l
      @MwinyiBwanga-i3l Рік тому

      Wewe mama ànakuhusu nini wakat wewe nimkenya jadili mambo ya kwenu Kenya achana kabisa na mama wew mkenya acha mambo ya inch yetu jadili maandamano yenu huko kwenu mbona mtafuata fuata sana kwenye comm. Tuachien mama yetu

    • @Felix-e6t4m
      @Felix-e6t4m Рік тому

      Ninani alikuambia Mimi ni mkenya pole sana Mimi ni mwarusha alisi uku natafuta kama wale watanganyika walioko marekani asante sana kumbe awajui pia waambieni wale walioko marekani ni wamarekani

  • @tryphonefriday6010
    @tryphonefriday6010 2 роки тому +2

    Nchi imeshauzwa hii tuamue tu liwalo na liwe

  • @lomayaninangoro9641
    @lomayaninangoro9641 Рік тому

    Walalamikaji wote wasenge2

  • @salama1113
    @salama1113 2 роки тому

    Duh

  • @agnesmanimba8548
    @agnesmanimba8548 2 роки тому

    Mmmh

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 роки тому +1

    Jpm Tutakukumbuka

  • @nsanyarasheeed8693
    @nsanyarasheeed8693 2 роки тому

    Wamasai wengi wanaakili sana

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 роки тому

    Ardhi ni Mali ya serikali ya vijiji...
    .hiyo mihitasari ya watu wachache wajanja wajanja... Hamna huruma jamani....kiama kifike tu Mungu nfalme na Bwana wetu atawake... Hawa wajanja wote watoweshwe... Amani upendo vidumu mielle na milele

  • @kilortingukuu
    @kilortingukuu 2 роки тому

    kwayo tuomba rais wetu tusaidiye please

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat Рік тому

    KITETO KIMEUMANA BADO MILIMA YA SIMANGORI, MT MERU KUNGUNERO NA MAENEO MENGINE JAMII YA KIMAASAI KAENI MKAO YA KUTAFUTA PA KWENDA

  • @kilortingukuu
    @kilortingukuu 2 роки тому

    haha mambo ambayo unaendelea sio vinzuri

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 роки тому

    Kwani nchi hii inarudisha migogoro tena ambayo ilikuwa tayari imeanza kupotea kulikoni

  • @marialukas8683
    @marialukas8683 2 роки тому

    Kiboko

  • @hassanabdillah3325
    @hassanabdillah3325 2 роки тому

    Kulikoni huko

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 2 роки тому

    Nahuku kumekucha tena Morogoro wanalia na bomoabomoa

  • @Felix-e6t4m
    @Felix-e6t4m Рік тому

    Wewe usijaribu awezekani Wacha ujinga kabisa tusieshimu c c m atakidogo haswa sisi wana nchi wa kiteto tumekataa ilo agizo la serekali ikome maramoja kutusumbua sisi watanganyika nendeni kwenu zanzibari kwanini wachukue tuukatae ulonimamboleo