Ni mama aliyenifanya nipende Radio ya "SAUTI YA KENYA" hiyo miaka ya sabuhini(1970s).Mungu aendelee kumlinda huyu mama wetu. Nampenda sana miziki ya taarabu enzi hizo❤❤.
Yaani hadi Raha pongezi Shangazi Khadijah Ali na mzidi kutuletea wengine km Leonard Mambo mbotele in full na Mr.Wa Music Time The blackest man in the Africa Frrrrrreeeeeed Ombbbbach Machokaaaaa.
Nimemutambua Khadija Ali kupitia Sauti ya Ujerimani. Kutokana na jinsi alivyo nivutia kiutangazaji, Hata nimempa msichana wangu jina la Khadija Ali natumai atakuja kuwa shujaa pia.
her voice is golden indeed. Growing up listening to her
Ni mama aliyenifanya nipende Radio ya "SAUTI YA KENYA" hiyo miaka ya sabuhini(1970s).Mungu aendelee kumlinda huyu mama wetu. Nampenda sana miziki ya taarabu enzi hizo❤❤.
Ooh i used to listen to her beautiful voice...and that show on sunday Meli ya Mahanjumati..Swahili my language
Karibuni pia Tanzania kwetu muwasikilize watangazaji wetu..hongera Sana Khadija Ali
I like her programs, choice of songs and her Kiswahili pronunciation just like mine from Zanzibar. We like you sister.
Woooow this tok me back to early 2000s as a kid.. your work ethic is admirable 👌💯
Hongera mama. Tumekukosa sana , sauti yako,ugwiji wako wa lugha na pia utendakazi wako.
I really love this lady ana sauti nyororo kabisa.nakumbuka KBC wakati huo
Namkumbuka sana akisoma salamu, Agneta Machinga wa Nakuru, Shoto Myololo... na pia Mchezo wa Radio pale KBC Radio Taifa. Heko Khadija
Legend never been recognised. Uhuru should do something
Shukran mama Allah akubariki!!
Bibi Khadija la ufaswah na sauti mzuri uliojaaliwa na Mola wako halina mjadala.Allah akuhifadhi na akujaalie mwisho mwema
Khadijah Ali jameni! Real legend
is she still living...i remember her in dinia wiki hii....her voice was a bomb
Huyu ni gwiji katika utangazaji. Tumushukuru Mungu kwa kututunuku mama khadija.sauti alibarikiwa nayo
shukran, mama khadije kweli kenya yetu n mzuri
To date I still tune in to #KwaRahaZangu every Sunday on KBC
LEGEND
I cannot miss that show. Huwa natembea na earphones incase inipate kama niko mbali
Good old days...when talent counted for something... Siku hizi ni slay queens ndio wamejaza airwaves...
Golden sound hearted ever glittering sense of humor,my question to her is why do many jornalist ditch there job to become politicians?!
Nice loved mama ila mda umefika umrejee Allah.
Mashallah aunty khadija kisu chenda na makali yake Mashallah Allah akupe afya na furaha katika age yako ilio baki
Mashallah tabarakallah ni mama mwenye heshma na m*hajabaa mashallah am proud of mum❤✌✋👍barakallah fikyy✋👍❤❤❤
My heart breaks because they are never celebrated like they should.
Sadly Nungari.
It reminds me when I was a kid.
Attended the same school with her kids.
True our country is the best place to live
Cecilia Moti it's ok
True dat
Hongera Dada Mrembo
Yaani hadi Raha pongezi Shangazi Khadijah Ali na mzidi kutuletea wengine km Leonard Mambo mbotele in full na Mr.Wa Music Time The blackest man in the Africa Frrrrrreeeeeed Ombbbbach Machokaaaaa.
Masha Allah, mwanangu bi khadija
Another legend 👏👏
Taarab! Legendary stuff.
She is a role model,unsung Hero and a dignified Woman she needs to be honored by the President.
Mashaalla
Very interesting and informative
Thumbs up
Mashallah mashallah mashallah mama hadija
Good! Really a role model, l like!!
Masha Allah nakumbuks nikiwa mdogo
❤❤❤❤❤
Good pple
They really helped me learn Swahili
she is a legend
Khadija, vyema mami.
Where is "NYUNDO WA KOMEO" ... please feature him
Nyundo died long time ago
@@tahiraabdul1701 🤒🤒🤒
Kweli tunakupenda sana mama khadija Ali
Nimemutambua Khadija Ali kupitia Sauti ya Ujerimani. Kutokana na jinsi alivyo nivutia kiutangazaji, Hata nimempa msichana wangu jina la Khadija Ali natumai atakuja kuwa shujaa pia.
Mashallah mashallah mabrook mama khadija
2020 MashaAllah
MASHALLAH
A successful madam mtangazaji, Adija, keep it up.
Legends
Mashaalaha mama khadija Ali
wakarudi kwa mola wao haraka kabla mauti hayajawafikia Allah atusamehe soote amiin
Sauti ya huyu dada Hadija ilinivutia sana......hasa Taarab # Kwa raha zangu.
Love you khadija.
sauti yke nzur ,lafudhi tamu ya pwani aaah mama yuko vizur nadhan wakenya mwatuzidi sie waTanzania ktk masuala ya khabar na utangazaji.....
Maisha Bana hivi nyie watanzania mnamkumbuka marin Hassan mari mungu amrahamu
Mmoja kati ya Mabingwa katika fani ya utangazaji
Bado sauti nzuriiii
Kuntu Galacha kuntu Ulamaa..
Allah hu Akbar.
Swahili ❤️
Those were them days when we were babies.
This is nostalgic
We celebrate you I need to see Churchill host her with mambo
Shukran Hadija....I was once your fun
Eti 1974!!!?". Kweli huyu ni guru.
Mashaallah somo WA mwanangu
Hongera mamangu
Hungera sna mama Khadija All
Maria
When kenya was a national Republic, you were employed due to your know how not know who....
nakuenzi mamaa KHADIJA ALI
Namkumbuka nikiwa primary twarab music mama hodari
Nitakupata wapi Bi khadija Ali natka hii kazi please
Botela naye wapi
Basi ka uko hay, rudi kwa Mola wako sote ni wakosefu lkn mbora wetu ni yule arudie kwa Mola wake!!!
Nasaha nzuri Masha Allah
@@tahiraabdul1701 Jazaka Llahu Khair
soote ni wakosefu lkn waliobora ni wale wanaojua makosa yao
Kadir fundi.
wakarudi kwa mola wao haraka kabla mauti hayajawafikia Allah atusamehe soote amiin