Sasa mbona unakula ugali na kijiko?Dah!!!! Hapo umeniangusha dumisha utamaduni dadangu any way watching live from cape town south africa wasalimie watu wangu wa mombasa KISAUNI BARSHEBA..
Plz bro, ask before you start commenting, hizi vlog's amezikata into parts, Afrolanka was in Dar kitambo, hii amedrop ni ya mwisho. Na kama kula hujakatazwa kula don't take it to waswahili tuu sawa bro. Na kama maadamano she was there in Mombasa forefront demonstrating with everyone. Nways, 'Just to make things clear okrrrrr'!
I love your videos your videos make me in mood❤
I think you have settled Dar es salaam, mambo mazuri MashaALLAH basi huko nitakuja tembea InshaALLAH greetings from Adelaide South Australia
Ungekuwa unaandika bei ya vyakula na hivyo vitu unavyonunua, na pia mitaa ya hizo sehemu ili mtu akitaka kuja ajuwe anaenda sehemu gani.
I wish ungejaribu pia kwa esha bukhet ako na chakula kizuri
I can't wait to have you back babes.... Karibu tena 🇹🇿
Allah akinijaalia safari
In shaa Allah ntakutafuta tusafiri Pamoja Daa
Beautiful ❤️
Mashaa Allah
Hello sister love your content
Thank you so much 🙂
Olaaaa .. Kama usual Yako.. mish kaKii outside parFum shop then Kwa shiLole.
U still in dar, coz huKu kigamboo Kuna very KooL place 2 shiBa some More.. kariBia
Budget approximation dia when traveling to Tz
100,000 Ksh
Nmependa you make your own way ya kupata views na dollar
Thank you ❤
Heeeeeeyyyyyyy❤
Sasa mbona unakula ugali na kijiko?Dah!!!! Hapo umeniangusha dumisha utamaduni dadangu any way watching live from cape town south africa wasalimie watu wangu wa mombasa KISAUNI BARSHEBA..
🎉🎉
Mbona Sijakuona kwenye maandamano Dadangu au ulikua unaogopa teargas?😅😂
Nilikuwa hadi kwenye gazeti
@@afrolanka mbona huja Vlogg maandamano bas? ungepiga Views kibao!🤣😂
Shishi umeiona hii ya jamaa yako ua-cam.com/video/QF8Z0hnu_qM/v-deo.htmlsi=M6ELHqJqGsyXgo2j
Waswahili na vyakula. Umetusakiti dada, yani sisi tupo kwenye maandamano wewe wala tu! Ntachoka akili mamake
Plz bro, ask before you start commenting, hizi vlog's amezikata into parts, Afrolanka was in Dar kitambo, hii amedrop ni ya mwisho. Na kama kula hujakatazwa kula don't take it to waswahili tuu sawa bro. Na kama maadamano she was there in Mombasa forefront demonstrating with everyone. Nways, 'Just to make things clear okrrrrr'!
Mama i love your postive vibes you deserve to be subscribed lots of love from nairobi