Katika harakati za maisha ya binadamu,mapenzi,majonzi,majuto,elimu,ubinadamu,maudhi,mateso,huyu sijui hakugusa wapi?,huyu mm naona siyo jabali,ni chuma tena cha pua cha mjerumani,RIP Baba.
"Samahani ewe mama kwa yote nitakayosemaa" (sio mimi ni sababu ya mapendo) "nakuomba niwie radhi usinikasirikie mamaa" (sio mimi ni sababu ya mapendo) Wangapi tumeshakutana na kisa hiki alichoimba hayati kaka yetu, ndugu yetu, mjomba wetu na baba yetu hayati Marijani Rajabu? Maana hapa kuna nguvu ya mapenzi na nguvu ya radhi ya mama.
ni kweli mm ni wa kizazi cha miaka ya 90 ila nakiri bila kulazimishwa na mtu yeyote tena nikiwa na akili timamu kwamba huyu jamaa ni jabali la mziki kuazia kizazi alichoanza nacho,hiki cha sasa hivi na kinachokuja.
Long time ago. Back in 1982. My Parane Secondary School. My beloved Head Master, Mr. Tuvako, My beloved Chemistry Teacher, Mr. Don Straub, My Agriculture Teacher, Mr. Malika. Your cooperation contributed to my good CBA. May you all be blessed wherever you are.
Marijani alikuwa akiimba visa halisi siyo imagination, na ndio maana anaimba kwa hisia Kali sana. Nyimbo zote alizoimba ni vitu au vituko halisi vilivyotokea,hakuna hata jambo moja LA kutengeneza-tengeneza apate wimbo.Wanaomjua wanamuelewa hivyo na vizuri sana
Laana ya Mapendo yalianza wakati wa Adam na Eva. Ufukara au utajiri , haijalishi. Naishi na kipenzi Cha roho. Kwako Marijani kwa hiyo dawa! Dr. Ogeto International
Siyo Mimi Ni sababu ya mapendo!!Asante marijani. R.I.P
ninaposikia this kind of music nahisi kama soul yangu inaelea mahali fulani pazuri...!!..ni hisia nzuri sana..!!
Sio mimi ni sababu ya mapendo dah! Huyu mwamba alitulia sana katika utungaji na kuimba pia R.I.P Jabali
Sio mimi ni sababu ya mapendo daah so classic🎉 r.i.p @Marijanirajabu jabali la mziki mtamu, usio isha radha,.. Ni raha tu kusikiliza.
I miss my beautiful mother's voice.. Alikuwa anapenda sana kuimba nyimbo za Marijani Rajabu.. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani Milele.
Ki kerli nyimbo zamarijani zi na mafunzo leo hata siku za mbele jamii zitafunza
Polee
Rest in peace mother
Ukiwa na kinyongo utaniumiza baba... Sio mimi ni sabab ya mapendo🌹🌹
Katika harakati za maisha ya binadamu,mapenzi,majonzi,majuto,elimu,ubinadamu,maudhi,mateso,huyu sijui hakugusa wapi?,huyu mm naona siyo jabali,ni chuma tena cha pua cha mjerumani,RIP Baba.
Unaungana na mm
Jabar la muziki mwana wa Rajab..nakupenda mpaka naumwa
Ngoma ,sauti zakuliwaza
Reminds me of some sad moments back in time
Timeless.
We remember you Rajab, za bongo zimechipuka hapa eti
"Samahani ewe mama kwa yote nitakayosemaa" (sio mimi ni sababu ya mapendo) "nakuomba niwie radhi usinikasirikie mamaa" (sio mimi ni sababu ya mapendo) Wangapi tumeshakutana na kisa hiki alichoimba hayati kaka yetu, ndugu yetu, mjomba wetu na baba yetu hayati Marijani Rajabu? Maana hapa kuna nguvu ya mapenzi na nguvu ya radhi ya mama.
Jamani? Sauti ya marijani inanikumbusha mbali Sana
Marijani alikuwa Fundi. One of a kind. Timeless
Sauti ya dhahabu, mziki mzuri, nyimbo bora zenye mantiki na mafunzo. Mziki usiochuja wenye ubora muda wote. Hazina ya WaTanzania .
my favorite song from Marijan plus mwanameka
Miaka nenda rudi yapata huu wimbo unapamba vilivyo na radha huongezeka maridhawa. Pata pumuziko wa kutosha pahali uliko. Dr. Ogeto International
anaitwa marjan jabali mungu ailaze roho yake peponi
mapendo ooh mapendo yamenizidi nguvu mamaaa
Usiombe ukukutana na hisia za penzi lenye ujumbe huo ulioimbwa na marehemu jabar marijani muimbaji bora wa muda wote na sauti nzito
Nyimbo hii uli ni imbia mimi na wengine wata kao kutwa na mikasa kama wangu
Nikweli bahamadi
i'm 22 years old and am in love with this song
Hukua wakati wake
Now you have 24
Oa 😅
Fundi wa muziki,ukisikiliza nyimbo zake unaweza ukalia,mafunzo na jitihada za kimaisha,hana mfano hakuwahi kuimba wimbo usiyokubalika.
namwerewa saana dah mapendo
Kweli iliyowazi
Oooh jamani acheni eeeeh mwenzenu nimeshapenda kama hats kama masikini mm Niko radhi kuishi naye
MZeee wangu Ombijo nitaendelea kuku kumbuka kwa nyimbo za marijani rajabu
wimbo huu wanikumbusha miaka ya themanini, if we cld just back the time...wow
If we could turn back the time
Kwl mm baba aliupenda sana
Ilikuwa ni dunia ya upendo
Leo ndio nimeielewa hii nyimbo vizuri hasa kweli nampenda Agnes sioni mwingine nawala simtaki mwingine zaidi yake yeye
Wacha wee!
Vip miaka mitatu imepita sasa Agnes bado yupo ??😅😅😅
❤❤❤❤ 😢😢😢 r.i.p kipenda lohoo
Asiejua kupenda Mungu amsaidie yasimkutee
Nikwer huyu marijan mungu alimpa kipaji na kaondoka nacho jaaman
Rahima Ally Hakika ni kweli kabis
Nash mc bought me here
asante jabar
love stories,heko marijani .
Waah mzee amesema yote hamna la kuongezea.maneno ya nguvu kweli yataishi milele.
sio mimi ni sababu ya mapendo
Sio mm wa kwanza yameanza na Adamu na Eva duh r.i.p Jabali
Ni muziki mzuri kwa kweli
Sio mm ni sababu ya mapendo
God bless you
Mwana musiki ninae mkubali maisha yangu yote
Upendo na mapenzi 😍😍😍
Si Mimi wa Kwanza yamenza na Adam na Away.
Mapendo mapendo ohh yamenizidi nguvu mamaa sio mm nisababu y mapendo jabali rest easy
Hatari
Ya kale ni dhaabu
ni kweli mm ni wa kizazi cha miaka ya 90 ila nakiri bila kulazimishwa na mtu yeyote tena nikiwa na akili timamu kwamba huyu jamaa ni jabali la mziki kuazia kizazi alichoanza nacho,hiki cha sasa hivi na kinachokuja.
Hahahahahahaaaaaaaaaaa
Mimi pia ni wa kizazi hicho nimefatilia Sana mzk ya jabali tangu enzi hake Maputo city
Haswaa
Mimi wa 93 ila nimemvulia kofia huyu mwamba anaimba mziki unaoishi na utakaoishi karne na karne .
Wimbo mzuri sana
Hii nyimbo ngoja niidownload maana nahisi maneno hayatoshi kueleza ukubwa wake
Usinilazishe nisiyempenda sababu ya utajiri wake
Fabio Nkata inanikumbusha nilieda mwaduwi shinyanga kumtembelea ndugu yangu
sio jabali tu na mwamba wa muziki hakuna anayemgusa wala kumfikia huyu mwamba
mimi unanikumbusha niko shule jioni tuna kwenda kuwtega samai huko lhowanja wakati walimu vitwangile na kiwanga
Nataman Sana music km huu uje ten maan Sasa tunaumiss
Long time ago. Back in 1982. My Parane Secondary School. My beloved Head Master, Mr. Tuvako, My beloved Chemistry Teacher, Mr. Don Straub, My Agriculture Teacher, Mr. Malika. Your cooperation contributed to my good CBA. May you all be blessed wherever you are.
Hazichuji bana
Unanikumbusha mbali sana
Marijani alikuwa akiimba visa halisi siyo imagination, na ndio maana anaimba kwa hisia Kali sana. Nyimbo zote alizoimba ni vitu au vituko halisi vilivyotokea,hakuna hata jambo moja LA kutengeneza-tengeneza apate wimbo.Wanaomjua wanamuelewa hivyo na vizuri sana
naipenda sana dah
mistari na ujembe wa kuelemisha. Mungu ailaze roho yake pepa
Mzuri sana
Nakukubari sana upunzike kwa Amani
Laana ya Mapendo yalianza wakati wa Adam na Eva. Ufukara au utajiri , haijalishi. Naishi na kipenzi Cha roho. Kwako Marijani kwa hiyo dawa! Dr. Ogeto International
Thank you for your great work, always I listen your songs, you are real legendary.
Fundi Marjani Roja
Apumzike kwa Amani huyu Nguli
Fundi wa music
Sio mm nisababu ya mapendo
hili kweli ni jabarii
Naitafuta hii cover nafkiri alifanya nash mc kama sijakosea lkn siipati.
Dah rafiki ang ukipata hyo cover ya nash mc ni2mie whatsp 0673011313 naitafuta piah
soromoni mkubwa ivisasa n
sio mimi ni sababu ya mapendo