DIVANA - SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA
Вставка
- Опубліковано 22 січ 2025
- Moyo uliniuma zaidi pale nilipokuwa nawaona watoto wengine wakiwa na mama zao ,siku moja nikajiuliza mbona sijawahi kuambiwa kuhusu baba Wala sijawahi kumsikia akizungumziwa Ina maana mimi Sina baba? Hapan hakun mtu asiekuwa na baba nikaona nimuulize bibi.
Nilitoka shule wakati huo nilikuwa nimeshafika darasa la nne , nilifika nikachota maji na kuosha vyombo huku nikimsubiri bibi atoke shambani.
Baada ya kufanya kazi zote nilioga na mda huo bibi akafika ,nilimsalimia na kumpokea mzigo wa maembe na kuweka ndani , kutokana na kiu yakutaka kujua sikusubiri apumzike. Ila nilichojibiwa na bibi yangu kiliniumiza sana. - Розваги