Himizo Kubwa kwangu kama kijana. Hakika dunia sasa tunaishi kwa muda wa kukopa. Karibuni Yesu anarudi. Swali ni je, nitaingia mji Mpya. Mungu nisaidie kushiriki matengenezo yako kwa kiasi cha mali yangu...Amina. Barikiwa Mchungaji!
Hiyo swali kila siku najiuliza Yesu akija kama leo je ntaenda nae au niage kma leo ntakua mgeni wa nani So hua nkijiuliza ndio napiga hatua kuendlea kua rafik wa Yesu
Broo mimi naitwa Daniel niko mwanza naomba kama kuna mchango wowote kanisani ili na mimi nishiriki tafadhali mtumishi wa mungu nipewe namba ya mpesa au account tafadhali
Ubarikiwe pastor masomo yako yanatujenga sana kiroho mfano kupitia masomo yako nilipona ungonjwa kichaaa(akili)
Himizo Kubwa kwangu kama kijana. Hakika dunia sasa tunaishi kwa muda wa kukopa. Karibuni Yesu anarudi. Swali ni je, nitaingia mji Mpya. Mungu nisaidie kushiriki matengenezo yako kwa kiasi cha mali yangu...Amina. Barikiwa Mchungaji!
Amen
Hiyo swali kila siku najiuliza Yesu akija kama leo je ntaenda nae au niage kma leo ntakua mgeni wa nani
So hua nkijiuliza ndio napiga hatua kuendlea kua rafik wa Yesu
Mungu atusaidie tuweze kuwa wa baraka Kwa wenzetu,ubarikiwe pastor.
Mungu atusaidie , mtoto wangu amenieleza kweli ule wakifu ambao alipewa zamani umemsaidia Sana kutokana na changamoto anazopitia
Plz I want u to pry for mie postor
Barikiwa sana mchungaji mungu akufunike na damu ya yesu kwa mafundiso mazuri
Mungu awabariki viewers wote wa channel hii
Akubaliki pia
Ameni likewise
Be blessed pastor may God help me to put into action
Mungu chochote kile Niko nacho naomba niwe na moyo mkarimu wa utoaji.
Amen be blessed parstor
Amina Asante
Mungu awafikishe mbali sanaa
Naomba mniombee watu wa Mungu naumwa japo cjui naumwa nn mbarikiwe sanaaa watu wa Mungu
Amen,
Nabarikiwa sana hapa msa Kenya
Mungu atukuzwe tamuka jambo kwa mum🙏🙏🙏🙏🙏
Amen God bless yu pastor david
Asante kwa somo Pastor, ubarikiwe 🙏
Nmo pamoja nanyi ndani ya Mahubirmi Tv, Mubarikiwe na Bwana.
Aki mungu wa mbinguni atusaidie;tugawe vitu
Hey
MUNGU mkubwa sana mtumishi hii ni zaidi ya Mahubiri MUNGU akulinde
Be blessed pastor 🙏🙏🙏 forever in my heart
Amen 🙏🙏🙏
Niko area nikisubiri neno la Mungu PR Mungu akutagulie na kuogole katika njia yke
Amena
Amina
Warudishe kabla Yesu arudi
Songeni mbele kwa Kazi ya BWANA🙏🙏🙏, pia video resolution kama itawezekana wakati mwingine iongezwe angalau 720p au zaidi.
Leo nimewahi live @Ivu 🙏
Amen.
Broo mimi naitwa Daniel niko mwanza naomba kama kuna mchango wowote kanisani ili na mimi nishiriki tafadhali mtumishi wa mungu nipewe namba ya mpesa au account tafadhali
Amen
Waiting
Mchungaji mm umeni guza kabisa kwa mafundisho haya
Amen
🙏🙏
Hivi sasa wako hapa Kenya na ninawafuata kabisa hivi sasa ni baadhi ya banki ya KC B na Equity
Tunangojea mahubiri ya Léo kwamoyo wote
Amen
Amina
Amen 🙏🏻
Amina
Amen
Amina
Amen 🙏
Amen