Wake za Watu Walivyopewa Kichapo Kwa Wizi wa Cheni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 244

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 роки тому +8

    Namshukur Mungu kwa kuniepusha na iyo tabia.namuomba sana azidi kuniepusha na dhahama hii.

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 років тому +23

    Ewe Mwenyezi Mungu tupe stara na kukinai kwa kile tunacho dhani ni kidogo unacho turuzuku. Amin!

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 роки тому +5

    Haya matukio mtayaona sana na hivi ndo mnawanyanyasa wamachinga! Wakati wa Magu si ajabu wangekua wanajiuzia vitu kujipatia riziki.For now they have no hope....RIP ANKO MAGU....

  • @mohamedsuleiman7215
    @mohamedsuleiman7215 2 роки тому +3

    Dunia Sijui siku hizi tuna elekeya wapi aibu ya mwenzako usitangaze kila mtu ni mkosefu na mkosaji.

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 років тому +9

    Waizi wote hao. Hata yule mama mtu mzima pia aliiba, kisha ajifanya yeye mzuri

  • @lilbbaddiebaddie2690
    @lilbbaddiebaddie2690 6 років тому +4

    Jamani aki nyie wamama mmetuaibisha Njooni Saudi Arabia muoshe vyoo dhahabu ni cheap

  • @امينهامينه-ع6ه
    @امينهامينه-ع6ه 6 років тому +26

    njoeni mpigie kazi oman msikae kuiba cheni za mia

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 5 років тому +4

    Unaendaje iba kwenye watu wengi ivi? Si uta kufa kabla ya kipigo kwa presha 😂

  • @zenajimmy6603
    @zenajimmy6603 5 років тому

    Mmmmmm Allah anisamehe bila Mimi walai nachukia wezi hawa niwatu wabaya mno watu wakuregeshana nyuma tuuu haki Mwenyezi Mungu atuongoze sote tueshimu sheria ya one of the ten commandments of musa a.s.

  • @everjohn1136
    @everjohn1136 4 роки тому

    Asante MUNGU kuniepusha na tamaa yoyote

  • @ayaanwarsan
    @ayaanwarsan 7 років тому +10

    noma sana waah, lkn who else thinks huyu mtangazaji ana sauti nzuri 😍

    • @oyay2821
      @oyay2821 5 років тому

      Wewe unashida. Umpende mtu kwa sauti tuu?waja penda majini

  • @anithabuberwa2253
    @anithabuberwa2253 5 років тому +2

    Muuuuuuh makubwa ya dunia,kama una uwezo za buku kwa nini utake vya laki!!!! Tuhache tamaa tupambane na hali zetu

  • @kenedynashon9717
    @kenedynashon9717 6 років тому

    Dar ndio maana hamjitambui,yaani mwizi mnawatunza na kuwaambia warelax😂😂😂😂😂😂,nimewatamani sana hao

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 2 роки тому

    Ohoo in Tansania,,the things are very cheap kwanini?My be wamewasingizia

  • @buibui8002
    @buibui8002 3 роки тому +1

    Msichukue Sheria mikononi mwenu wapelekeni polisi

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 років тому +2

    Nipo Oman nafua vichup vya warabu na kutosha hamam

    • @kadabrap184
      @kadabrap184 5 років тому

      Aaaa yan unafua vichupi vya waarabu etii alafu unajisifu mmmm ww dahhh hongera

  • @dianamsasa6939
    @dianamsasa6939 5 років тому +1

    Uzeni hata vitumbua ila sio kuiba jaman

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 8 років тому +8

    mtauwawa bure kwa tamaa za kijinga kitu km unauwezo nacho achana nacho

  • @umiy1971
    @umiy1971 6 років тому +7

    hizo sio dhahabu msijidai vile .......loh!

  • @gukamunene3292
    @gukamunene3292 7 років тому

    Haha TANZANIA mna mambo
    Mwizi mwamwabia atulie dah😂😂😂
    Kenya hilo halifanyiki jameni .wangefaa angalau kuchapwa bakora kadhaa

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 2 роки тому

    Mwenye gauni ya njano simuoni mû TZD

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 8 років тому +4

    Mh! aib Wallah watuwazim hovyo hawaoni hata aib 😏 wakauz mkaa

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 8 років тому +1

    Mtu akiiba chakula nitamuhurumia labda ni njaa, basi hawa wakuiba urembo na pombe hata sijui niwasaidieje. Tabia zingine ni kujitakia kifo bure.

  • @turibamweali8661
    @turibamweali8661 5 років тому +1

    Bahati yenu mapolice wamuwakimbilia bato kuchomwa loooo namushukulu Mungu nilikuwa na woga kwani wangewachoma mto . Siyo kweri

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 8 років тому +2

    Yan issa azam kila kona we bro kiboko

  • @anitagathoni
    @anitagathoni 2 роки тому

    Sio thahabu, ni chain za kutoka China zenye rangi ya thahabu kutoka kampuni la Coco

  • @damasmathei2305
    @damasmathei2305 2 роки тому

    Jamani kinamama mnatuaibisha munaiba? Mkauze hata mbogamboga

  • @charleskibiro9159
    @charleskibiro9159 7 років тому +3

    watazania wazuri wana roho ya upendo kweli. Kenya wanapigwa kinyama na kutolewa nguo kuachwo uchi wafe.

    • @aishaabdul1360
      @aishaabdul1360 5 років тому

      Charles Kibiro kweli kabsa

    • @marypaul2178
      @marypaul2178 5 років тому

      kuliko uibe Kenya bora uuze unga china

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 2 роки тому +1

    Jamani, wanawake.. Vikoba hivyo. Wanataka wakalipe madeni, uwiii

  • @jabilishekusa2202
    @jabilishekusa2202 6 років тому +1

    hao labda walikuwa makahaba makahaba hakuna wameamua kutunga mbinu nyingine yakujipatia rizki basi wasameheni mwisho wao umetimia

  • @wemamtotochanelyusuphomari8262
    @wemamtotochanelyusuphomari8262 8 років тому +6

    dah pamoja sana global tv online mimi nawapenda sana kwahabali tu mpo juuu

  • @khadijahilal3016
    @khadijahilal3016 2 роки тому

    Anaiba halafu mjeur😂😂😂😂

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому

    wanaomba kupelekwa polisi washajua polisi wataachiwa free . piga hao iwe funzo kwa wengine .

  • @hadijaabbas2192
    @hadijaabbas2192 2 роки тому

    Piga hao tena wakiingia dukani hawatoki haraka mpk ww munuzi wa kweli unaamua kuondoka

  • @nassiralihassan1160
    @nassiralihassan1160 3 роки тому

    Uzeeni tupuu zenuu zaa nyumaa ili mupatee pesaa zaa harakaaa uzeeni tupuu zenuu zaa nyumaa

  • @aishahassanikichuna4820
    @aishahassanikichuna4820 5 років тому +1

    mi nimemuona lingo tu😂😂😂

  • @asnathmwaipopo6877
    @asnathmwaipopo6877 5 років тому

    MUNGU atusamehe na atusaidie huyu shetani kishawishi ashindwe kabisa. Tuwe na roho za hekima. Na MUNGU atusaidie sana

  • @twahaanyoni9120
    @twahaanyoni9120 2 роки тому

    Wana bahati wangekua wanaume wangejuta wallah

  • @mwanamwemaomary6934
    @mwanamwemaomary6934 5 років тому +1

    Wadada wazuri wezi jamani uzeniata vitumbuwa bx

  • @mdathirhassan2187
    @mdathirhassan2187 3 роки тому

    Waafrika Kueni wastaarabu wezi tena mwawapiga kama hayawani si sheria iko nchini

  • @maryoswad7022
    @maryoswad7022 2 роки тому

    Aibu kweli jamani heleni tuu

  • @fatumamasudi365
    @fatumamasudi365 8 років тому

    Senate global kwa habari mzuri mko vizuri

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 2 роки тому

    Noma sana mmh

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 8 років тому +1

    yuwaonye ndugu jam na marafki na wazaz wetu I ni aibu aise

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +1

    Subhannahllah

  • @paymushi3529
    @paymushi3529 6 років тому

    Mi mwenyewe nawataman mana wanakera sana wanarudisha nyuma wafanya biashara

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 2 роки тому

    Mh lkn pengine cyo kweli jmn maana dar bwn

  • @lusekelojorammwakyalabwe6277
    @lusekelojorammwakyalabwe6277 2 роки тому +1

    Wangekua wanaume wangewaua

  • @chrispinchris70
    @chrispinchris70 2 роки тому

    Forgive them please they don't know what the do

  • @zuuraadinani8292
    @zuuraadinani8292 5 років тому

    Doooh aibuuu lazima kwan kuva Chen jaman

  • @AwesomeCaptainxx
    @AwesomeCaptainxx 6 років тому

    duh piga kabisa polisi wann nyie wapige waachieni wasepe😠

  • @alexjosephat9030
    @alexjosephat9030 5 років тому

    Kumbe mwanamke akiiba anapigwa na wanawake alafu mwanaume anapigwa na wanaume leo nomeona

  • @mariyammaria3366
    @mariyammaria3366 7 років тому +9

    jmn heri waje saudi tusaidiane kuwahudumia warabu aibu wanawake wzm ovyo

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 6 років тому

      mariyam maria umeonaaa eeh

    • @abuuiddi9110
      @abuuiddi9110 6 років тому

      mariyam maria +97477053859 nicheki whatsap pliz nkupe issue

    • @ashanuru4234
      @ashanuru4234 6 років тому

      mariyam maria umeonaaee😀

    • @lilbbaddiebaddie2690
      @lilbbaddiebaddie2690 6 років тому

      mariyam maria waambie tena swee waje saudi wasugue hamam dhahabu itakua cheap

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 років тому

      Umeonaee hata mimi niko qatar doha

  • @aishasmoni5881
    @aishasmoni5881 4 роки тому +1

    Subhannallah

  • @bintimohammed3233
    @bintimohammed3233 5 років тому

    Uuliwe bure sababu ya cheni ya mia moja jamani majanga kila kukicha

  • @tomaaslkinyaaasitajwekwnin348
    @tomaaslkinyaaasitajwekwnin348 5 років тому

    Kujeeni uku mhsunguwe voo vawaarabu kuliko kudhalilika jamaniii

  • @nuruontv6541
    @nuruontv6541 3 роки тому

    Msipende kuwadharirisha wanawake .wanawake mambo yao ni siri Mbona mnayaweka hadharani.

  • @mornicacharles8443
    @mornicacharles8443 7 років тому

    dada uyo mjeuli kweli kaiba anakua namdomo mlefu mbona mwenzie si mkali

  • @luckyasa3960
    @luckyasa3960 8 років тому +1

    jmn wanawake hao shame on them looooh wangepigwa mpka watolewe alama

  • @nasramohamedi4095
    @nasramohamedi4095 5 років тому

    Huyo mmama mmoja alokata ny wele ndo mwz

  • @eventelias278
    @eventelias278 8 років тому +1

    aibu sana mwanamke kuwa mwizi.

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 роки тому

      😃😂Hata.wakiume.hapendezi.wakikendyikabisaa.maivu.hayampendezimtu

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому

    Aliemuona Isa Azam gonga like

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 роки тому

    Aibuu tupu kwakweli wenzenu wapambane nyiny muibe

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому +9

    Kama hawana kazi siwauze hata maandazii

  • @حواءجمعهخميس
    @حواءجمعهخميس 7 років тому

    hamna haya wanawake wazima mwashindwa kuuza viazi na chapati mkapata pesa za kununuwa vitu

  • @mariamally2649
    @mariamally2649 5 років тому

    Tafuteni ajira fanyeni kazi mpate hela mkanunue mnachotaka tabia hizi wengine pia mnawaharibia jina

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 8 років тому

    jamani, za mwizi, arubaini, kweli, mara kwanza, ukiiba, wafurahi, kwa, kua, umefaulu, kumbe, bado, ndio, wazidisha uhuni, poleni, ndio funzo.

  • @happyabdallah8379
    @happyabdallah8379 7 років тому +1

    awataki kujituma wanaiba jamani njoni Oman tufanye Kazi

  • @noelinenerima1937
    @noelinenerima1937 6 років тому

    watanzania mna visanga 😅😅😅😅😅mnamdekeza mwizi??

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 років тому +6

    ukisikia wamama wenye midomo mabarazani hayana kazi hafu ukiyatazama yanavaa vizuri ndo haya. kazi ya wizi. ingrkuwa mimi mwenye duka. ningewakamata taratibu bila kelele nifunge geti niwaonyeshe adabu. ningewakata viganga vya mikono na kuwavua nguo hafu niwaruhusu waende zao.
    aibu wanawake kwanza mnaonekana mnafamilia nyie watoto wenu na waume zenu sijui mahawara mtawaeleza nini?.
    wenzenu wanahangaika wanauza mboga mboga mitaani na matunda kichwani wanapata rirkhi zao nyie mmejinenepea na kula vya dhulma. leo imewafika 18yenu. mnabahati sana nyie. aibu wanawake tunaheshma zetu mnatuharibia sifa. wapumbavu wakubwa nyie. sasa mnalia nini wakati ushahidi upo.

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 років тому

    Sasa mnaaibishwa ivo chen za 20p jmn , ni shida kazi hamna?? Aunachagua kazi polen

  • @shamilyjoel4209
    @shamilyjoel4209 4 роки тому

    We nimharifu tulia😂😂😂😂

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 5 років тому

    Wauliwe tu wanawake waizi dooooh aibu sn

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 2 роки тому

    Hilo duka halina CCTV? (Camera za ulinzi)

  • @Sophia-b2m7o
    @Sophia-b2m7o 8 місяців тому

    Wanawake kwa tamaa

  • @nikitadiamorelivingstone2831
    @nikitadiamorelivingstone2831 8 років тому +1

    Tamaa mbaya

  • @tatu1530
    @tatu1530 7 років тому +2

    jaman karibuni Oman ilimpate kwa jasho

    • @nathaliabusongo6784
      @nathaliabusongo6784 6 років тому

      Nipe connection jamani

    • @aseelaaseela4913
      @aseelaaseela4913 6 років тому

      Umeona eee nipo maabellah mm mpenzi maisha yanaenda na pesa tunaingiza kwa uwezo wake ALLAH tena ya halali kabisaa...

  • @AwesomeCaptainxx
    @AwesomeCaptainxx 6 років тому

    wanaume wa dar bhana😆😆😆

  • @sagudamagerela3414
    @sagudamagerela3414 2 роки тому

    Siyo cheni za dhahabu hizo

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 8 років тому

    Mitihani waallah pole yao za mwizi ni 40

    • @shadrackkesy941
      @shadrackkesy941 8 років тому

      hata Mimi hawa wakina mama waliniiba nikawakamata wakafungwa jela miezi mitatu katoro geita

    • @shadrackkesy941
      @shadrackkesy941 8 років тому

      hata Mimi hawa wakina mama waliniiba nikawakamata wakafungwa jela miezi mitatu katoro geita

  • @tumainifesto9840
    @tumainifesto9840 6 років тому

    Ebhanaaa eeee akinamama jamani?!

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 5 років тому

    Ingekuwa Kenya askari wangekunjia maiti

  • @ashuraumari1322
    @ashuraumari1322 2 роки тому

    Kama na wewe umemuona issa azam laiki 👇tujuane 😂😂

  • @neemaalphonce1333
    @neemaalphonce1333 8 років тому

    mjini kuna mambo nani angedhania wamama kama hao ni wezi lol

  • @BisuraEddi
    @BisuraEddi 8 місяців тому

    Unajua wakipingwa hawataiba tena

  • @bahatinassor186
    @bahatinassor186 6 років тому

    Oman kuna kazi kuna kufirwa

    • @his-queenaisha7086
      @his-queenaisha7086 5 років тому

      Sasa mambo hayo yakijinga wayaleta hapa kafirwe ww mjinga

  • @specialslavery6315
    @specialslavery6315 6 років тому

    Pumbavu kabisa wangepewa doz kdg

  • @WachajiWaForo
    @WachajiWaForo 2 роки тому

    Jamani wanawake aibuuuuuuuuuu

  • @mwasitiramadhan5634
    @mwasitiramadhan5634 5 років тому

    Nyie hali ngum asikwambie MTU😢😢😢

    • @saudangalleni388
      @saudangalleni388 2 роки тому

      Siyo Hal ngum no mijiz tu hiyo mijanamke ata Hal ngum vip uwezi ukaiba kama so tabia yako

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому

    Madada pambaneni na hali zenu sisi tunateseka uku mwisho wa cku hatumuombi mtu malazi wala makazi

    • @fbhj443
      @fbhj443 6 років тому

      Saumu Hassan kweli dea unapata rial yako yahalali

  • @saudangalleni388
    @saudangalleni388 2 роки тому

    Du aibu iwe fundisho

  • @dharesfadhil2236
    @dharesfadhil2236 7 років тому

    mola tupe roho zakukinai.madada aibu hio

  • @swabrinyawale8126
    @swabrinyawale8126 5 років тому +1

    Mime mwona lingo kwa mbaali

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 2 роки тому

    Si wafanye kaz wiz wa nn

  • @roseurio1876
    @roseurio1876 8 років тому

    Chomeni moto wamezoea vya dezo

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 8 років тому +3

    It's very embarrassed

  • @santamariadelfiore3343
    @santamariadelfiore3343 5 років тому

    No globalizazione

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 3 роки тому

    Wapigweee mbwaa

  • @antonygichuhi4050
    @antonygichuhi4050 5 років тому

    very sad waachilieni tu

  • @enemamgogoikopowasanatu9750
    @enemamgogoikopowasanatu9750 8 років тому +4

    hawana hayakweli wajetutoe jashokwawarabu doo