UTACHEKA!!! DULVAN akiiga sauti ya WEMA SEPETU, "nimeblock.....unakuta mtu anakutukana"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @zainabujuma7252
    @zainabujuma7252 4 роки тому +2

    .
    .
    .
    KULEGEA KWA MISULI YA UKE.
    Tatizo hili huwatokea wanawake wengi kabla au baada ya kujifungua. na wanawake wachache Sana huliepuka kutokana na tofauti za kimaumbile na njia ya uzazi anayotumia mwanamke huyo.
    Uke hutanuka zaidi ya kipenyo chake cha kawaida ambacho ni sentimeta nne, sawasawa na kipenyo cha uume ambacho Pia huanzia sentimeta nne na kuendelea kwa wanaume wengi.
    SABABU ZA KULEGEA
    1-uzazi wa karibu karibu kwa vipindi viwili vifupi vifupi kwa njia ya kawaida.
    2-matatizo ya vichocheo, homoni za kike hushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mashambulizi ya magonjwa sugu kama vile; kansa,TB, HIV/AIDS, kisukari, na Magonjwa ya zinaa kama kaswende.
    3-kuongezwa njia wakati wa kujifungua kutokana na ukubwa wa mtoto. Misuli ya uke hulegea na uke hutanuka kabisa, ndiyo maana wanawake wengi sasa wanapendelea Sana KISU ili tu asiharibu uke wake, (mawazo yao) ingawa uke unaweza kutanuka hata bila kuzaa.
    4-Umri mkubwa. Mwanawake mzee (Wabibi) hali hii haikwepeki hata kidogo, hata kama hakuwahi kuzaa (mgumba) Kwani misuli ya uke hulegea Kadri umri unavyozidi kuongezeka hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea.
    MADHARA
    Mwanamke huathirika Sana kisaikolojia na kimaumbile, kwani hupoteza raha ya tendo la ndoa kutokana na kutokuwepo na msuguano wa kutosha baina yao kama ilivyokuwa hapo awali, hali ambayo humuathiri mwanaume pia, na kushindwa kufurahia uke wa mke wake na pengine huanza kutoka nje ya ndoa na kuzidi kumuathiri mke kisaikolojia hata aione ndoa Chungu Sana kutokana na kukosekana mapenzi na ukaribu baina yao.
    NINI KIFANYIKE SASA
    1- Epuka kukaa na magonjwa au maradhi ya ukeni mara kwa mara kwa muda mrefu bila kutibiwa
    2-Kumbuka kujisafisha vizuri kila unapohisi tu kuna tatizo ukeni kwako kisha muone Daktari anayeshugulika na magonjwa ya akinamama kwa msaada mkubwa
    3- Zingatia chakula bora hasa mboga za majani na matunda ya kutosha kila siku, Kwani katika mboga mboga na matunda kunapatikana vitamini na madini mengi Sana yanayosaidia kuweka sawa mwenendo wa mfumo wa homoni, upevushaji wa mayai, uimarishaji wa misuli yote inayounda mfumo na viungo vya uzazi
    4 - Mazoezi ya viungo, Kubana pumzi na kubana misuli ya uke wakati wa kukojoa ama haja kubwa kuitoa kwa kukatakata kidogo na siyo kusukuma haja yote itoke kwa wakati mmoja.
    Suluhisho lipo tumia femicare +96879161307/+255 769 381 343

  • @queen.christelle1
    @queen.christelle1 4 роки тому +1

    Na nyinyi mna amini upuuzi hio sio kweli

  • @lovevivy7459
    @lovevivy7459 4 роки тому +1

    Uko vizuri dull

  • @dianalyanga3310
    @dianalyanga3310 4 роки тому +2

    Hahah. Daah umewezea iyo sautiii

  • @rehemamakame8898
    @rehemamakame8898 4 роки тому +4

    Namkubali dullyvan

  • @faridaoman149
    @faridaoman149 4 роки тому +3

    Hahaha hatari hila hizo kucha

  • @michaeleustach9769
    @michaeleustach9769 4 роки тому +2

    Hyu atakuja kuwa mushkeli

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 роки тому +4

    Makucha kama jini😄

  • @michaeleustach9769
    @michaeleustach9769 4 роки тому +2

    Jera ukiwa unajixhaua xhaua kma demu unaolewat

  • @rahmssalum3163
    @rahmssalum3163 4 роки тому +2

    Dulvan nibalaa

  • @Saadah-jm5xs
    @Saadah-jm5xs 4 роки тому +1

    Waaaah🤣🤣🤣

  • @christinajohn181
    @christinajohn181 4 роки тому +2

    Huko vizr

  • @haleemasulthan4894
    @haleemasulthan4894 4 роки тому +2

    Kampatia haswa madhallah

  • @nathalienyota3176
    @nathalienyota3176 4 роки тому +3

    Kitoko

  • @hassanmchau8908
    @hassanmchau8908 4 роки тому +4

    Hapo mwisho wa video kamalizia gudi

  • @fatmerhabibth7477
    @fatmerhabibth7477 4 роки тому +2

    Hii sauti ya wema kumbe yakera watu wengii...

  • @AlarmMedia4600
    @AlarmMedia4600 4 роки тому +2

    HApo kati patamu mwisho kaua

  • @mkongafiber4285
    @mkongafiber4285 4 роки тому +5

    Huyu dulivani kama hajabadilisha style huenda watu wakamfira kabla hajafa.

  • @rukiamatola2485
    @rukiamatola2485 4 роки тому +2

    Nyie amjaelewa sauti niyawema Ila yeye kanyanyua mdomo tuu ili aonekane anaongea yeye ameingizia sauti ya wema

  • @mlunguchibidu7979
    @mlunguchibidu7979 4 роки тому +3

    HIYO MIKUCHA KAMA KUNGURUU

  • @pastoralamoth1824
    @pastoralamoth1824 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂🤪🤪🤪

  • @annamshangi1648
    @annamshangi1648 4 роки тому +2

    Mmmmm

  • @hidayaasumani820
    @hidayaasumani820 3 роки тому

    T