Rais Samia Amewabananisha Mawaziri Wake Kujibu Hoja za Wananchi Tunduma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesimama na kuzungumza na wananchi wa Mji wa Tunduma wilayani Momba wakati akitoka Sumbawanga kuelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe uliopo mkoani Mbeya.
    Katika mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Tunduma, Rais Samia aliwasimamisha mawaziri alioambatana nao ikiwemo Waziri wa Maji, Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliwaweze kusalimia na kujibu masuala mbalimbali yaliyoibuliwa na wananchi.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @DicksonMtaki-dd3vu
    @DicksonMtaki-dd3vu Місяць тому

    Hongera sana Rais wangu kwa kazi nzuri unayofanya

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

    Mbona Samia yy anawasukumia mawazir ili aonekane mstaarabu

  • @user-tx5nc4zq4g
    @user-tx5nc4zq4g Місяць тому

    Mh bashe kwema tuwaishie mbolea za kupandia msimu umeisha anza huku Tarime mkoa wa mara wakenya wanatupanshia bei kama vile hatuna serekali tuwaishie chap