utani wa MR MWANYA kwa CHIEF GODLOVE baada ya kugundulika hutumia VIMBAO kutengeneza vibunda 😂😂😂

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 152

  • @yahyakachekelo555
    @yahyakachekelo555 Рік тому +8

    Mbwaaa umemnunuria crow .wakat umeme wa buku mbil unakushinda kulipaaaaaa .

  • @lameckshigi7074
    @lameckshigi7074 Рік тому +11

    MTOTO MDOGO MWENYE MBAO NYINGI😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂😂😂 ahaaa mamae Godfrey

  • @boniphacesimon4975
    @boniphacesimon4975 Рік тому +7

    Mtoto mdogo vibao vingii😂😂😂😂hiii imeeenda shubamiti ww😂😂😂😂

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 Рік тому +14

    😅😅😅 Kweli Kaka Mimi nayaishimu maandazi

  • @salamaalihemed6220
    @salamaalihemed6220 Рік тому +1

    😂😂😂😂mm ntahamia tz watu mbao n mnaish vizur daaaah 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤lov u mwanya yaan unajua kunitoa stress z warabu

  • @bilid4128
    @bilid4128 Рік тому +4

    😂😂😂Mbwa anakula milioni mia sita 😂😂😂

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 Рік тому

      ila kwer anajua kuwaumbua watu 🤣🤣

  • @BreezeWRLD-cc1zk
    @BreezeWRLD-cc1zk Рік тому +10

    Umeua shubamiti tajiri mabox a.k.a Chief Godlove amakuwa mpole kinoma😂😂😂😂😂😂😂

  • @demolenebooysen2085
    @demolenebooysen2085 Рік тому +14

    Naomba like zangu all the way from S.A 🇿🇦 🇿🇦

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Рік тому +6

    🤣🤣🤣🤣 nimecheka dah buku mbili ya umeme huna

  • @samsonbaruani865
    @samsonbaruani865 Рік тому +2

    Ule jama alizingua sana unawekaje mbao kwamfano😂😂😂😂😂

  • @erickmukamba310
    @erickmukamba310 Рік тому +4

    Una tisha sana kabisa 😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @HashimMakungu
    @HashimMakungu Рік тому +4

    Hhhhh mpaka aseme yule mshamba ameumbuka vibaya yule

  • @ayubumsongole5640
    @ayubumsongole5640 Рік тому +12

    😂😂😂😂😂 Umeua sana mwanangu🔥

  • @Best_tz
    @Best_tz Рік тому +17

    Mwaaanya Big Up San bro 🔥🔥

  • @DijaMriri-wc4qd
    @DijaMriri-wc4qd Рік тому +1

    Kama mim naskia aibu hivi sijui ana hali gani cheaf godlove😂😂😂😂

  • @UbapaMchoroa
    @UbapaMchoroa Рік тому +3

    Mwanya nakukubali Sana mshua wachalazie mnyamwezi

  • @CheckEngineIssa
    @CheckEngineIssa Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂hii imeenda kabisa mr mwanya umeuwa san😂😂😂😂😂bora san tutapumzika kelele mtandaon😂😂

  • @bilid4128
    @bilid4128 Рік тому +4

    Umeme mara ya mwisho umelipa elifu mbili😅😅😅

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +2

    Yaani yule jamaa akirudia tena basi hajaenda jandoni maana kajua kuumbuka na mnavyozidi kumuigizia ndy atatafuta chaka ajifiche kabisa😂😂😂

  • @AishaJuma-y3r
    @AishaJuma-y3r Рік тому +3

    Adi wewewenyewe umecheka 😂😂😂

  • @wandegesugu4956
    @wandegesugu4956 Рік тому +4

    Njoss boi utakuja upigwe siku alafu atuamuliii sisi

  • @yahyakachekelo555
    @yahyakachekelo555 Рік тому +4

    Ngoja tutoke mageton kak😂😂😂😂

  • @yahyakachekelo555
    @yahyakachekelo555 Рік тому +5

    Mshamba wa videoooooooo weeeeeeee😂😂😂

  • @ezekiaamos
    @ezekiaamos Рік тому +4

    Najana alikuwa anakuuliza eti card ya pikipiki 😂😂yule chief ni comedian

  • @LucksonEdwardmgallah-tf5nc
    @LucksonEdwardmgallah-tf5nc Рік тому +1

    Vimbao content 😂😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @farajamelchior4578
    @farajamelchior4578 Рік тому

    Big up bro kumchan uyo godlove

  • @user-jeywazungu
    @user-jeywazungu Рік тому +1

    🥸tafuteni helabro kumbezile kauli maskini zilikuwa nawauma 😂😂😂

  • @pharmousplusco
    @pharmousplusco Рік тому

    Ayo maandaz ww c ulikua unayaheshim sana njoss kwenye pola..leo unayatupatupa ivo🤣🙌 daaah

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 Рік тому +1

    😂😂😂😂vibao vimegandishwa elf kumi 😂😂😂😂😅

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri Рік тому

    Huyu kaka mwanya nae ana mpenz wake jameni 😝😝

  • @mr-option7751
    @mr-option7751 Рік тому

    Daa nilichelewa kumuelewa😂😂

  • @herisaid5196
    @herisaid5196 Рік тому +2

    Lipa kwanza hela ya umeme😂😂

  • @christinerfransis-bn9ll
    @christinerfransis-bn9ll Рік тому +5

    Vimbao😂😂😂😂

  • @FUNDI726
    @FUNDI726 Рік тому +5

    dahh umeua mbaya…

  • @Callmedarkhim
    @Callmedarkhim Рік тому +4

    Kali hiyooooh

  • @JosepitaJosepita-lq4bg
    @JosepitaJosepita-lq4bg Рік тому

    Nimeipenda sana iyo brow jama lazima ajielewe

  • @ObedKajobhile
    @ObedKajobhile Рік тому

    Sana Mr Mwanya kumbe nimekuelewa Yuko wapi mwamba chief godlove 😂😂Yuko wapi mchizi mbn kapotea gafla😂😂

  • @chancewanga-dg8zt
    @chancewanga-dg8zt Рік тому +3

    Okay

  • @yahyakachekelo555
    @yahyakachekelo555 Рік тому +3

    Chif godlove atakurogaaaaaaaaa 😂😂😂

  • @philyngalo
    @philyngalo Рік тому +4

    😂😂😂😂 Vibunda vinalia balaa

  • @JacksoJMarko
    @JacksoJMarko Рік тому +2

    Mkute Godlove zile hennessy alikua anachemsha chai anajaza tu chupa😂😂😂

  • @yahyakachekelo555
    @yahyakachekelo555 Рік тому +3

    Umeyisha saan mr mwanyaaaaaaa😂😂😂

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 Рік тому

    Aha hahaha ukipata shoti kati yeyote pita nayo

  • @hasnajuma5567
    @hasnajuma5567 Рік тому +4

    Hivyo vibunda😂😂😂😂😂🎉

  • @Ashularutha
    @Ashularutha Рік тому +1

    Umetoka magetoni naiyobiliya maji naumeme😂😂

  • @ramlashariff9059
    @ramlashariff9059 Рік тому +2

    We mkorofiiiiii😂😂😂

  • @hermanmrisho3748
    @hermanmrisho3748 Рік тому +2

    Unajua mwanangu 💥

  • @abukwilly224
    @abukwilly224 Рік тому +2

    Hiyo kma 10k ya Kenya

  • @paulkidula1663
    @paulkidula1663 Рік тому +2

    🤣🤣🤣🤣tajiri ela ya umeme vp tena

  • @harmorayclassicbeibe7742
    @harmorayclassicbeibe7742 Рік тому +7

    Nilianza kukufollow kipindi unapika sass tuko hapa kwa godlove😂😂wewe unajua sana mwanya maia yako jichukulie

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu3838 Рік тому

    Oya umeua tajiri vimbao😂😂

  • @InnocentmjoleMjole
    @InnocentmjoleMjole Місяць тому

    Kaka sikuizi vimbao vinasaidia watu sijui wewe umeifanyia mini jamiii

  • @goddenmass736
    @goddenmass736 Рік тому +1

    mwanya we mtoto ni msenge sana😂😂😂

  • @HalfaSaid-vl6ki
    @HalfaSaid-vl6ki Рік тому

    Nilijua tu kama Tajil awezi fanya ayo anayoyafanya yeye 😂😂

  • @charlesmachiya97
    @charlesmachiya97 Рік тому +4

    uwakik pita nayo😂

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Рік тому +1

    Ila rohoo inaumaa😅😅😅

  • @HannahMutie
    @HannahMutie Рік тому +4

    Hahahahahah jamani 😂😂😂

  • @SarahJoshua-t1g
    @SarahJoshua-t1g Рік тому +1

    Nimeipenda sana ila mwishoni ilitakiwa uokotote andazi lililo dondoka alaf chini ungeweka sufuria la kukinga pombe ulio imwaga

  • @RajabuIssa-tf9lt
    @RajabuIssa-tf9lt Рік тому

    Tajiri vimbao🔥🔥

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Рік тому

    😂😂😂kenge kabisa na bado ujasema mpaaka useme

  • @SteeJacks
    @SteeJacks Рік тому

    Nakubaleee mwanyaaaaaa

  • @ElishaElibariki
    @ElishaElibariki Рік тому +2

    😂😂😂😂 hii imeenda

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Рік тому +2

    Toka magetoni 😂😂😂😂

  • @hashimukiteleko2614
    @hashimukiteleko2614 Рік тому +4

    Mwanya nyoko😂😂😂😂

  • @SamweliShadrack
    @SamweliShadrack Рік тому +1

    Makasiliko peleka kule😂😂😂

  • @AsanteNsamba
    @AsanteNsamba Рік тому +1

    Zitaishaaa izooo utaokotaaa makopo wewee eheeeeeee! Mbwa mwanyaaaa

  • @ibrahim_427
    @ibrahim_427 Рік тому +1

    Pesa kidogo Mbao nyingi 😀

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣umetufumbua machoo

  • @jumahamisi4660
    @jumahamisi4660 Рік тому +3

    Toto dogo vibao vingi wewe 😂😂

  • @OfficialNessa26
    @OfficialNessa26 Рік тому

    Uta mwaga badae mshamba wa vimbao 😢😢😊

  • @AngelDaniel-i4g
    @AngelDaniel-i4g Рік тому

    Mwanya atakukula Godlove shauri yako😂

  • @selmesaid7405
    @selmesaid7405 Рік тому +1

    Leo nimecheko hadi machozi

  • @fidel7im
    @fidel7im Рік тому +3

    Vibao pesa

  • @StephanoCharles-nq8tf
    @StephanoCharles-nq8tf Рік тому

    Ety ...mbna roho inanium😂😂😂

  • @festogerrerd
    @festogerrerd Рік тому +1

    Umeuwa 🎉🎉🎉🎉

  • @tomejoao4430
    @tomejoao4430 Рік тому

    Kkkkkkkk😂😂😂😂 kubwa kuliko

  • @issackathman850
    @issackathman850 Рік тому +1

    wanyooshee

  • @tonyjames6658
    @tonyjames6658 Рік тому

    Apo kwenye Maandazi..

  • @heymct3866
    @heymct3866 Рік тому +1

    Matako yako mwanya😂😂

  • @damsdasz9356
    @damsdasz9356 Рік тому +3

    Jaymond umu ndo anauwaga

  • @IsmailHussein-ou9le
    @IsmailHussein-ou9le Рік тому +1

    Oya mwambie chef god love atafte pesa ache umama

  • @ibrahkenya5580
    @ibrahkenya5580 Рік тому

    Kijana mdogo mwenye Mbao nyingi 😢😢

  • @bakaromar8135
    @bakaromar8135 Рік тому

    Ila huyu jamaa msenge

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +2

    Kumbe chief godlove huwa anatupiga e! 🤔🤔🤔

  • @zamidually744
    @zamidually744 Рік тому +1

    Chief trending 🔥🔥🔥

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 Рік тому

    Madako yako 😂

  • @LucksonEdwardmgallah-tf5nc
    @LucksonEdwardmgallah-tf5nc Рік тому

    Usisahau hata ile range rover haina jina lake

  • @EzekielNyeho
    @EzekielNyeho 7 місяців тому

    Hooooo mbwa yy

  • @MonicaMhina-sf4pz
    @MonicaMhina-sf4pz Рік тому

    Mwanya🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tanzaniaone219
    @tanzaniaone219 Рік тому +1

    DAH

  • @bakaromar8135
    @bakaromar8135 Рік тому

    Nimecheka jaman

  • @vurilyrics3004
    @vurilyrics3004 Рік тому +2

    Mr mbao mihela

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 Рік тому +4

    🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @KelvinKyekaka-wd2xy
    @KelvinKyekaka-wd2xy Рік тому +4

    Comment zisiwe za makasilko

  • @deco457
    @deco457 Рік тому +3

    iiimenda😂

  • @shamshidy3600
    @shamshidy3600 Рік тому +1

    Hahaha

  • @mweroruwa6339
    @mweroruwa6339 Рік тому +1

    Mwanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @Akilihq
    @Akilihq Рік тому

    Mbwa wako😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @ElooClassic
    @ElooClassic Рік тому +6

    😂😂😂😂

  • @vascosanga1112
    @vascosanga1112 Рік тому +3

    ❤😂😂😂