Huyo Mzize mnaemsifia kila leo eti kwa yale magoli aliyofunga, mimi nasema aliokota dodo tu, kama kuna atakaebisha basi tutaona, hafungi tena atabaki kusuasua tu.
Kweli Kuna haja ya kuangalia maslahi yake mchango wa Mzize huwezi kumfananisha na kibu mpaka Sasa ana mchango mdogo wa magoli kwenye ligi ukilinganisha na Mzize.
Asante sana kaka
🎉
Blessings bro
Huyo Mzize mnaemsifia kila leo eti kwa yale magoli aliyofunga, mimi nasema aliokota dodo tu, kama kuna atakaebisha basi tutaona, hafungi tena atabaki kusuasua tu.
Mzize wamuongezee mshahara
Kweli kabisaa
Mshahara wake unayajua mpaka aongezewe mbona kibu kafunga hauja sema aongezewe
Kweli Kuna haja ya kuangalia maslahi yake mchango wa Mzize huwezi kumfananisha na kibu mpaka Sasa ana mchango mdogo wa magoli kwenye ligi ukilinganisha na Mzize.
Kwani anapata sh ngapi? Unataka apate ngapi?
Kibu amefunga mechi ngap?@@ZainabAthuman-r7s
Napenda wachambuzi wenye ukweli
Huyu Ally Mayai ndio mchambuzi kuliko wale wasiojua kuchambua ni majungu tu na kuponda wachezaji
Atu
Tofauti.ya.mzize.na.haaland..nywele.tu..kivitendo.wapo.sawa
At
❤
Wewe yanga bwana unalolonte
Ww ulitaka awe nani punguza makasiriko
Wewe mpumbavu hata hujui Historia ya huyu Ally Mayai. Huyu alicheza mpira. Na alicheza Yanga miaka ya 90. Pimbi wewe
Pole asee kwa maumivu makali
ndo shida ya makolo hyo
Mnaxhdwa kuchagua watu kama ally mayai wenye akili mnachagua mnamchagua bondia anayetaka kupigna ht n manara
Umeonaeee u babe ndo anajua huyo msomali