❤😢Ahmada wetu jamani daaaah !!! 😅 its 2023 at 5:00pm listening to this good vibing music from Mombasa Kenya ❤The song is a top class indeed ✌keep up guys big love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💫
Hakika hakuna nafsi itakayo bakia hapa duniani.Umetangulia B Kidude nasi tuko nyuma yako tunafuatia.Allah muondoshee adhabu za kabri.Msamehe madhambi yake na ilaze roho yake mahali pema peponi."*AMEEN"*
Ahmada, eh, Ahmada ehh…Ahmada umelewa… Kama mimi nimelewa, pesa za kwangu mwenyewe, hakunipa babako, wala hukunipa wewe, mpiga ngumi ukutani wewe tauvunja mkono weeh… Mimi ninarejea nyumbani, namkuta sebuleni, amekaa na fungu la watoto na mkono mfukoni, mmoja kamtoa shilingi kamrusha ukutani… Pombe ni shetani Ahmada, ah… Ahmada, eh, Ahmada ehh…Ahmada you are drunk… If I am drunk, it is on my own money, your dad didn’t give me, and you haven’t either, the one who hits walls will have his hand broken… When I return home, I find him in the Sitting room, seated with children, hand in his pockets, one of the children tried stealing money from his pockets and sent him flying to the wall Alcohol is the devil Ahmada, ah…
لا استطيع الا ان اندهش من هذه المرأة العجييييببة في كل مرة اسمعها.... الله يرحمها ويدخلها جناته....رائعة في صوتها في حركاتها.... وفي حبها للحياة وللفن حتى آخر حياتها.
فن اصيل.. صور متقشفة وبيئة حقيقية حيث الفن ابداع البسطاء من الناس... لا تشاهد هذا في الفضائيات حيث القصور والسيارات الفارهة.. الله يرحمك يا بي كيدوده...
There was this time last year i was walking nikipita buxton there was this old man alikuwa ameeka speakers kubwaa na kulikuwa na taarab ikiimba so u know i was just looking at him mdo ikanihit baadae he was singing like at that moment na alikuwa akiimba in tune kabisaaaa it was so perfect fr i could have stayed there kama si jua ya Mombasa. Fr taleeentttt
Umejionaa hunaa opshen pakaa ukamchukua brother a .. Skizaa kajibiwaa na Mwalim. Wake ujue ankuchukua kwa plan ataka ujee ajua .. Mm nitakujaa nitafkiria sanaa kujaa true Niko so tired my heart broke but don't worry cwez malizaa week mbili nitakuja nai❤💋😍😘👌👍
Wonderful Ahmada hit a million Viewer a swahili song with legendary Bi kidude from United Republic of Tanzania..Thumb up for Offside trick with Bi kidude..Music unite people regardless their difference..
Hawa wakaka wote nawapenda vby tena toka moyonalovaa tishet ya njano ndio kabisaaa kam my brother Wng yuatwa omary Sharif wafanana kweli anifanya ni mpende haswa
this is very important combination, blending Bi kidude and young generation it brings out standing piece of music and it will be listened to time to come. i dont understanding swahili however the music is great thumbs up guys.
Kwa kutumia muziki wenye hisia na huzuni Bi Kidude aliimba kwa mtindo wa aina yake wenye mvuto. Hakuweza kujali kuhusu miiko, aliolewa mara mbili, na alikuwa anavuta sigara na mwaka uliyopita akikuwa anakunywa sana pombe. Katika jamii isiyopenda mabadikilo lakini aliweza kuishi. Wakati akiwa katika jukwaa alikuwa akipenda kubadili miondoko. Kwa hiyo alikuwa akitoa wakati mgumu sana kwa wanamuziki wanaompogia vyombo mbalimbali katika bendi husika kwa wakati huo.
R. I. P bi kidude umetangulia mbele ya haki na kipaji chakoo, ulikuwa unasauti ya pekee yaku ghaani mpaka leo hii 2020 wimbo huu haujachujaa kwa 7but ya vionjo vyaakoo 🔥🔥🔥👍
pumbavu zenu ninyi wa TZ mumesha logwa na Diamond amuwezi kuwapo kwa vizuri tena na kumbuka kuna interview moja ya raisi wa masharobaro bab junior alifanyaga nika iyangalia on UA-cam wa TZ wengi walikuwa wana comment eti arudi alivyo towa nyimbo yake mpya kwenye ma comment y alikuwa ni matusi tu ndo maana na wa ambia TZ wasanii wengine ili wapate kuvuma lazima Diamond afe kwanza maana yeye ndo ana waroga
Nani mwnng yupo hapa 2024?? Hebu like hap ili nirud kuanglia tena ahmada
reminds me of a past I thought I'll never remember
Tupoo
Niko hapa
😂😂😂leo trh 23 mwezi wa 2 2024
Tupoo KIZAZI kipys
Leo Trh 23 mwezi 2 2024 tupo wangapi
Nipo hapa
Tupo ❤ from Burundi
Ahmada kaa nyumbani Corona iko kila mahali jameni ata kama pesa ni za kwako mwenyewe, quarantine nyumbani na familia kaka ,wapi likes za 2020 jameni ?
Na wewe Ayola ulimfanya nn Hamonize
Tuko hapa 2021🔥
@@kingkipusa9483 tupo tunawakilisha
Amani
A
Kwanini maisha ya wasanii wetu Google hatuyakuti??? Huyu mzee ni icon ila watu wamepuuzia ule uwepo alokuwa nao, mungu ibariki Tanzania
Oooh i love this song. Who's still listening to this?Kenya and Uganda Tanzania hit lik😂😂😂😂
From India
254
From Algeria
02/01/2020
Lynabenjamin Orieo Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
254ke
Nani pka sasa anamkumbuka big kidude... Na yupi hii ngoma anaskiza hadi sasa #mtaoooo waoooo
Niko Uganda
Namkumbuka ad Sasa 2020
❤😢Ahmada wetu jamani daaaah !!! 😅 its 2023 at 5:00pm listening to this good vibing music from Mombasa Kenya ❤The song is a top class indeed ✌keep up guys big love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💫
Hapo hakuna gomba kweli 😀
Kweli 😅
I.m Moroccan I had listened to all all music of all the Continents but this is absoboolylutly amazin Mama africa
Try nasema nawe
@@josephkimani7908 love him too i really enjoying listening to his music 🎶 thank you perfect advice thank you ❣️
I love this song Rip bi kidude from 🇿🇦
Bi Kidude was the oldest artist in the world she has did alot and never disappoint, may she rest in peace 🙏
Surely
R.I.P
@@brendamwakipesile1426 why any problem with that 🙄
@@officialkassimu7791 no problem i jus agreed ur comment
@@brendamwakipesile1426 cool
Kama unasikiliza leo 2019 gonga like napenda zaidi mwisho anapovuta sauti ahhhhhhhhhhhhhhhhhh ah umelewa halimada ahhhhhh umelewa balaa sana bi kidude
mwenyezi mungu akuhifadhi na kukusamehe makosa yako mama wa sanaa ya muziki wa asili ya zanzibar taarab. RIP
unasema ukweli
mawazo mkumbila Ameen!
Kwa hiyo bibi kidude ashasinzia usingizi wa mauti
Amiina
Aminaaaaa
11years still classical I just love Tanzanian music 🇰🇪🇰🇪
2020 mko wapi ? RIP bibi
Like zenu jamn 2020 mungu amrehem jamani bi kidude 'na adhabu za kaburi
Amiin
Lots of love from Kenya, hivi karibuni naoa toka Tanzania🌹🌹
Bi kidude voice make me cry 😢 i love her flowe rest In peace✌️mummy bi kidude 😭😭😢😢
2024 anyone?😂❤️
Yes yes
Me here napenda sana❤
we hereeee
I'm here
Yte@@kevinmwita9140
2024 na niko hapa namsikiza msanii gwiji Bi. Kidude. Mungu amlaze pema panapolazwa wema.
Hakika hakuna nafsi itakayo bakia hapa duniani.Umetangulia B Kidude nasi tuko nyuma yako tunafuatia.Allah muondoshee adhabu za kabri.Msamehe madhambi yake na ilaze roho yake mahali pema peponi."*AMEEN"*
Bibi adamafirili iachadah d'Allah amina
رحمة الله عليها،إنها فخر إفريقيا لا تنزانيا فقط.من السنغال 🇸🇳🇸🇳🇸🇳
Ahmada, eh, Ahmada ehh…Ahmada umelewa…
Kama mimi nimelewa, pesa za kwangu mwenyewe, hakunipa babako, wala hukunipa wewe, mpiga ngumi ukutani wewe tauvunja mkono weeh…
Mimi ninarejea nyumbani, namkuta sebuleni, amekaa na fungu la watoto na mkono mfukoni, mmoja kamtoa shilingi kamrusha ukutani…
Pombe ni shetani Ahmada, ah…
Ahmada, eh, Ahmada ehh…Ahmada you are drunk…
If I am drunk, it is on my own money, your dad didn’t give me, and you haven’t either, the one who hits walls will have his hand broken…
When I return home, I find him in the Sitting room, seated with children, hand in his pockets, one of the children tried stealing money from his pockets and sent him flying to the wall
Alcohol is the devil Ahmada, ah…
tbarakallah ala weld bladi owld mdiniti مغاربة العالبة
Ambada
Uwoo mlevi muhu
Oh! Is this the translation? so lovely...Thanks
Rest In Peace Bi Kidude. Love from Minnesota USA 🇺🇸 Somalia 🇸🇴
🤗🤗
😂kaseexo magalada...sheydaan kugu shaqeysanaayo
Am in love with swahili.respect tanzania and Kenya
Thank you we love you too
You mean oman land of Zanzibar
How is Kenya included here?
@@Thekidp3702read what she wrote again🤦🏾♀️
@@Geemuthoni99 I DON'T HAVE TO
لا استطيع الا ان اندهش من هذه المرأة العجييييببة في كل مرة اسمعها.... الله يرحمها ويدخلها جناته....رائعة في صوتها في حركاتها.... وفي حبها للحياة وللفن حتى آخر حياتها.
إنه بالفعل شيء عظيم ❤
@@SWEETGALKHAN_001 is she Muslim or
@@axmeddaacad9497 yes
وينك الحين يا حبيبي
هل غنت مقطعا بالعربية ؟!
Ahmada punguza mnazi 😍
much love from 254, Sleep well Bi Kidude
Sauti ya bi Kidude jamani tamu sana.mungu ailaze roho yake pema peponi..2024,still here
Escuché a esta mujer en diciembre de 2018 y me ha hechizado su manera de cantar. Este dueto me gustó mucho. Saludos desde México.
She passed away long time ago 😢.
Wonderful, very nice song and music.❤ Thanks for Be Kidude and her 🎵 musical team members.
Nimerudi ghetto nikakuta Kuna anaye naye anasikiliza ahmada ni 2024
Zanzibar music is like Arabic music, a love greeting from Palestine to Africa
I'd love to come to Palestine 🇵🇸 😍
2019 mko wapi
Hamada umelewaaaa
Tupo
Tupo dahh noma sana r.i.p bikidude
Tupoooo
Aaahhhhhhh tutakosaje mambo ya hamadaaaa
R.I.P Bi Kidude, Best music from Tanzania
Weeeeee! Akhmada Weweeee Pombe Unampelekea Baba Yako Eeh Kwi kwi Kwiiiiii,,,,,
When it come to music aiish Tanzania is flamming 🔥🔥🔥🔥🔥 LOVE YOU guys!!!
2019 gonga like, RIP BI KIDUDE
Kama upo unaangalia hii video tunamalizia mwaka gonga like
B kidude kwani n marehemu sna habari
I'm so happy to find this song again. It's a relief 😂😂 East Africa ❤
Come back please
Great music
I know that feeling
Vp
😂
Hawa jamaaa walikua the best, wangekua mbali sana
Rest in Easy Legendary Bi Kidude! Tanzanians we are appreciate you for your music!
She past??😱😭😭
@@tamarikimani5701 yep 2013
2024 nipo hapa natazama
Love this song specially (R.I.P be kidude)💙❤️💗💜💚💕from Eritrea 🇪🇷 east africa
Who is there for Grand Mom, like the way deh move .Rip Mom
فن اصيل.. صور متقشفة وبيئة حقيقية حيث الفن ابداع البسطاء من الناس... لا تشاهد هذا في الفضائيات حيث القصور والسيارات الفارهة.. الله يرحمك يا بي كيدوده...
انها كبيرة جدا في الحقيقة ❤
Samuel onyiso Nairobi Kenya Bado Niko hapa mwaka 2024
والله ادمنت على هالاغنية والله روعة واللحن اروع هذه هي بقايا التراث الافريقي
2021 and still searching for the golden voice. Authentic Swahili tunes.
2022 still listening to this beautiful song. May your soul continue r.i.p bi kidude
Nilikuwa nanmpenzi wangu nikampenda sana mwaka 2002 akaenda Dar bana Kila usiku naisikiliza hii nyimbonkujifariji. Shamila wee ukowapi
Legends live forever. RIP Bi kidude
There was this time last year i was walking nikipita buxton there was this old man alikuwa ameeka speakers kubwaa na kulikuwa na taarab ikiimba so u know i was just looking at him mdo ikanihit baadae he was singing like at that moment na alikuwa akiimba in tune kabisaaaa it was so perfect fr i could have stayed there kama si jua ya Mombasa. Fr taleeentttt
Keep resting well our grandma Bi Kidude, we really miss your presence here in this industry of music
Umejionaa hunaa opshen pakaa ukamchukua brother a .. Skizaa kajibiwaa na Mwalim. Wake ujue ankuchukua kwa plan ataka ujee ajua .. Mm nitakujaa nitafkiria sanaa kujaa true Niko so tired my heart broke but don't worry cwez malizaa week mbili nitakuja nai❤💋😍😘👌👍
Nyimboo hii iliniharibia jina langu inatoka niko darasa la 4 bsi kilamwalimu ahmada mlevi hahahaha nilkawa sna jema
Atari ili song lilifanya kila mlevi aitwe ahmada, siku zinaenda jaman
Duu hii ngoma ilitufanya walevi wote tubadilishwe majina yetu na kuitwa hamada km unakubali gonga like
Kenya 🇰🇪2024
Jamaa wanaipenda hiyo tishati nyekundu iliyo na picha ya baiskeli kweli kweli. Namuona Ahmada ameivaa, pia mwenziwe mwenye kofia nyeupe.
Mad respect to BI KIDUDE. What an artists.......
my all favourite..kwanza the beats ...pale kwa bass waa...i love it 100times....bi kidude amekulilia weweeee👌
Wonderful Ahmada hit a million Viewer a swahili song with legendary Bi kidude from United Republic of Tanzania..Thumb up for Offside trick with Bi kidude..Music unite people regardless their difference..
Mwanangu mwenyewe kidude bint yake mimi.
This is my love one singer and i play and just get you all and we all remember her she is the best in Africa
Who's still listening to this 2019🤩
here... it reminds me the past.
Me
So fne
Me
Am here listening
I am Comorian, but I love this Chason please me than others and forgive me if I do not know English because I speak french
Raouf Ahamadi ça ressemble quand même
zanzibar and comores
Lol
Lol pourquoi
Lol pourquoi
whatsp meto send u more 0652 333 719
Hawa wakaka wote nawapenda vby tena toka moyonalovaa tishet ya njano ndio kabisaaa kam my brother Wng yuatwa omary Sharif wafanana kweli anifanya ni mpende haswa
You see the passion on her face #Bi Kidude mad respect
فاطمة بنت بركة أروع فنانة غنت على أرض القارة السمراء.
i love the way Bi Kidude dances
me too
RIP Bi Kidude.
Pathetic
mapishi
RIP BIKIDUDE
RIP😭😭
ايها الراقدون تحت التراب
جئت أبكي على هوى الاحباب
كان لي في الحياة من ارتجيه
ثم ولى والعمر فجر الشباب
كان أنسي وكان توأم نفسي
فإذا بي في وحشة واغتراب
Nasema kitambooo usicheze damu yaaa all mashjaaar toshaa ulinifanyaa maid shaaghle fiucter yangu hukunujua walaa kujali mashjaar akitapikaa hawezi rambbaa tenaa uchafuuu wallah cwezi jipakaaa kwa mwli wanguu nitamjali anajua rhamanu ynguu ww ulinijalii pesaa😜💔👊
2022 still listening, infact these lady enjoyed her life to the fullest,countinue resting in peace bi kidude
Ooooh Zanzibar. Nolstagic...2021 bado moto hii...Bi Kidude, rest in peace shujaa
My Mum used to Really love this two boy band now all the Songs are stuck in My memory they're beautiful
Bi Kidude binti baraka umewacha legacy ambayo hakuna mtu ataweza kukufikia
RIP bi Kidude
1 millions views....hongera.....offside trick rudin jmn...r.I.p bi kidude
Vocal of kidude are unbelievable
kam mimi nimelewa pesa za kwangu mwenyewe hakunipa babako wala hukunipa wewe.Wimbo mtamu sana wanizingua kwelikweli
Clepatra
Huyu Bibi alikua anajua kuimba sauti yake ilikuwa mashaallah r.i p bi kidude
this is classic and very organic music! this group are unique who release meaningful and classic music. you got love from somalia.
2023 . Listening 🎧 Bi Kidude the legend of all times. Continue resting in peace ua voice will be loved........❤
this is very important combination, blending Bi kidude and young generation it brings out standing piece of music and it will be listened to time to come. i dont understanding swahili however the music is great thumbs up guys.
Ikr?!
R lp
Kwa kutumia muziki wenye hisia na huzuni Bi Kidude aliimba kwa mtindo wa aina yake wenye mvuto. Hakuweza kujali kuhusu miiko, aliolewa mara mbili, na alikuwa anavuta sigara na mwaka uliyopita akikuwa anakunywa sana pombe. Katika jamii isiyopenda mabadikilo lakini aliweza kuishi. Wakati akiwa katika jukwaa alikuwa akipenda kubadili miondoko. Kwa hiyo alikuwa akitoa wakati mgumu sana kwa wanamuziki wanaompogia vyombo mbalimbali katika bendi husika kwa wakati huo.
REST IN PEACE. BIBI KIDUDE. nakupenda.
Ofside trick hii ndio nyimbo yenu kali kuliko zote na Bi kidude kawaua kabisa kwa hizo ghuna zake dah! Hatari tupu
I didn't understand a single word, still I loved it. Love and respect Kidude from India.
ahmada umelewa means ahmada ur drunked
R. I. P bi kidude umetangulia mbele ya haki na kipaji chakoo, ulikuwa unasauti ya pekee yaku ghaani mpaka leo hii 2020 wimbo huu haujachujaa kwa 7but ya vionjo vyaakoo 🔥🔥🔥👍
Bi Kidude, may your soul rest in Peace.
You have left an immense contribution to Taarab music, a sweet sound listening to!
woah 10 years ago-
14yrs ago... Ahmad alilewa... 2024 ... still drunk ... Offside Trick should give us something new
Bi kidude
رحمة الله عليها فنانة عظيمة ❤️
kama mimi nimelewa, pesa za kwangu mwenyewe, hakunipa babako, wala hukunipa wewe... Mistari!
kama unamkubali bi.kidude na unaamini hakuna kama yeye gonga like kibao
Wapenzi wa nyimbo za zamani tangu mwaka 2010 hadi sasa wanaongalia wimbo huu mwaka 2023 like comment yangu ili tuweze kujuana
duh very nice song hawa jamaa warudi tena eti
Fetty Slim Shukran
Nikweli warudi
pumbavu zenu ninyi wa TZ mumesha logwa na Diamond amuwezi kuwapo kwa vizuri tena na kumbuka kuna interview moja ya raisi wa masharobaro bab junior alifanyaga nika iyangalia on UA-cam wa TZ wengi walikuwa wana comment eti arudi alivyo towa nyimbo yake mpya kwenye ma comment y alikuwa ni matusi tu ndo maana na wa ambia TZ wasanii wengine ili wapate kuvuma lazima Diamond afe kwanza maana yeye ndo ana waroga
Hivii hamada bado haii ningetaka kumnunulia pombe sio hizo chuara ila yakisasa henesi Bea n kadhalilika😂😂 2024
Mpaka 2019 nifuraha sana tuta kukumbuka sana bibi kidude
😵😵😭😭😭😭
Mwambile Huyo Bin Baraka .Ummmlani Shetwani Ahmadaaaa Tiritrirrrrrr!
I JUST LOVE THIS OLD LADY, BI KIDUDE !
love and respects from Saudi Arabia
Alya B the 66666
Lovely music
Wimbo na beat ya maana sana wasanii...Kisumu mwasikika!
RIP shosh kidude respect from 🇰🇪
Huyo Kaka mweus nampenda jmn
this is pure talent....no naked vixen and crap....music to the point
Super nice ❤❤loving from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪