Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO BACK TUNAOMBA SUBSCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA WE VALUE YOUR SUPPORT YOUR SUPPORT.
Penzi gizan mmeisusa au imeisha?😮😮😮
@@Hadijawashuma ndio dada umenikumbusha Sayuki penzi giza imeenda wapi?
@UwajenezaJazira-cv7et Yani wameisahau hadi so poa Yan🥲🥲🥲
@@Hadijawashuma nazani wamesikiya waiachiriye hadi namashabiki tumeisahau
Nyie leteni penzi gizani mbona mpo kimya
Asalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh mashabiki wenzangu mm nk poa Alihamdulillah tunaendelea n sayuki🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ni kweli kabisa Sam Mwenyezi Mungu anakupa mitihani akijua kabisa utaweza Alhamdulillah 🎉❤
Kazi nzuri ndugu zetu kutoka East naona episode inaendeleya vizuri tunawafatiriya kutoka Rwanda❤❤❤❤❤❤❤
Asalm alyqum hope mko poa....muwe n ijumaa Mubarak inshallah ❤❤
Na kwako pia ❤
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh Aamiin YaaRabbal Alaamiin kwa sote
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakaatuh nawee pia mpenzi
@@faudhiahassan7907 ameen inshallah
@@fatmafatu1128 ameen yarabii
Pole sna sma wema wako leo wakuponza ila Mungu yuko pamoja n wewe😢❤ bahati ipo siku utalipia anayopitia san wewe ndio umeyataka😢
Mmmmh pole sana Sam ila Mungu Ni mwema utavuka tu kwenye hilo karibu inshallah 🙏🙏🙏
Kaz mnawez
Bahat huyo mwanaume hakufai mumwage bwana 😅😂😂😅😅sam ndoanakufaa
Jaman sam pole ,mung yup pamoja nawew utashinda 😢nenda kwa babu kwanza,🎉🎉🎉🎉
Penzi gizan mmeisusa 😢😢😢😢
Babu ndio nini sasa kumnanga mjukuu wako eti limekwama😂😂
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mdogo wangu Samu wenenda Kijijini kwababu ukapumzishe akiri mengine yatafuata nyuma ushafika huko
Kweli bahati mkataa pema jua pabaya panamwita Leo ww WA kulala kwenye mi mbu
Ulicho kitafuta umekipata bahati kula chuma sasa
Pole samu wetu naimani tutatoboa
Bahat umeyakanyaga😢
Bahat kimekulamba 😂😂😂😂
Haki sam😮pole yote unayopitia
Bahati kumekucha 😅😅😅😅😅
Tunaomba muendelezo usikawi 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤ mwenyez mung aibariki kazi ya mikono yenu❤❤ 0:49
Kazi iendelee❤
Nakubali kaka manase.
Nikupenda yako bahati .Ulimuzarau Samu acha ujioneye
Sam chakukusaidia nenda kwa babu mambo yatakaa sawa
Pole sana samu yatapita tu
Mumeo jambazi bahati km Ujui
Mvi yangu pendwa
Bahati umemuharibia Sam maisha mbwa wewe
Penzi gizani kaishia hewani amaa
Kila siku najibu inaandaliwa kuweni na subira jitahidini kusoma updtes zetu huo tunatoa taarifa .
Wewe mama unamufukuza umesaah wanakwambia tenda wema wende zako nikweli
Sam rudi kijijini kwa babu,ukirudi kina Robby washakusahau unaendelea na maisha bila bughudha
Huyu mama mau kajisahau kama alipewa hifadhi na sam dah binaadam wanajisahau unatafuta kijisababu tu
Bahati anajua kumuacha sam
Jaman pole sana sam😢😢😢
Bahati unayaona sasa
Wewe bahati kwa nn ulimkataa Sam?!
Sam ucjali mungu yupo na wewe
Mama mautanga nae amesahau wema wa sam 😢
❤❤❤❤❤❤
mko poa
👏👏👏🎉🎉🎉🎉
🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉
❤❤❤
Kazi iendelee
❤❤❤❤