Yani umeongea zuchu alicho kiongea mashamsham,analazimisha kuolewa mpaka ataka wasafi wamfanyie kampeni!ajisahau nini kaongea😂, Zuchu ana mrithi mamake tabia alivyo lazimisha kuolewa na Othman aliyekuwa Boss wake waTaraab na ndio akapatikana Zuchu 😂 na Zuchu nae anatembea na Diamond Boss wake yani Bihadija amejizaa, ndie anae mpa jeuri ya king'ang'anzi mwanae
Juma usiondoke kazin bhana Fanya kazi yako mbona yeye humuingilii ktkt kazi yake ya mziki ,usiondoke kakuna kibaya ulichoongea kila kitu kipo SW yeye ndio aliongea hayo na kutaka kuolewa yeye mwenyewe napia km muislam anatakiwa ajue kila kitu hupangwa na mungu Ata km atasema aolewe km haikua riski yake hawezi kuolewa
Amzalie kwanini asimuoe kwanza? Wanaume sio sio watu waaminifu. Ona Zari kabwa,Hamisa kabwagwa,Tanasha yuko wapi kabwagwa .Kusoma nyakati hujia kuona pia wewe ni huoni mwenzetu? Hata Nandy alikuwa mjanja hakutaka kujifungua mwanae na akaolewa akiwa ndani ya ndoa. na uja uzito hiyo yote kumfanya mtoto atakapo kuwa amezaliwa azaliwe ndani ya ndoa na vinaishi mitandaoni.
For those wanting to get the Zuchu tea it starts at 1h:29mins you can skip to that…
😂😂😂umetisha
😂😂asantee
Thank you
Hauna baya tajiri
ahsante
Ongeeni kazi zake yani mnazidi kipindi chenu Bila zuchu hakiendi
ZUCHU ANA HASIRA SANA KUNA SIKU ATAMPIGA DIAMOND.
Zuchu poleeeee,inaonekana hata kwa diamond kumewaka😂😂😂kuolewa ni ukweli unalazimisha
Juma🙌🙌🙌😂
Lkn mbn momo hajasema neno baya. Na zuchu si kasema azungumziwe saiv mashamsham. Zuchu mzazibar mwenzanggu mbn unakuwa mkali km ivo. Ulienda mashamsham ukasema upigiwe campaign uwolewe . Hujali muko wangap we unajali unapendwa vip sasa mbn unakosa subra ya kunyanaza tu
Haibu iyo ndo imemtesa lol I’m sure hata familia yake ime msirikiya kwa kuji aibisha ivo kuomba omba ndoa
Apo sasa
Yani umeongea zuchu alicho kiongea mashamsham,analazimisha kuolewa mpaka ataka wasafi wamfanyie kampeni!ajisahau nini kaongea😂, Zuchu ana mrithi mamake tabia alivyo lazimisha kuolewa na Othman aliyekuwa Boss wake waTaraab na ndio akapatikana Zuchu 😂 na Zuchu nae anatembea na Diamond Boss wake yani Bihadija amejizaa, ndie anae mpa jeuri ya king'ang'anzi mwanae
Kwani yeye ndio alimtaka mondi au mondi kamtaka zuchu,,, mbona hamuongei mondi kumuomba zuchu amzalie??
Hakuna mtu anasema momo aliongea vibaya ila sio kila familia ya mondi wahojiwe juu ya zuchu kwanini hawaongei juu ya mondi kuomba zuchu amzalie??
Juma usiondoke kazin bhana Fanya kazi yako mbona yeye humuingilii ktkt kazi yake ya mziki ,usiondoke kakuna kibaya ulichoongea kila kitu kipo SW yeye ndio aliongea hayo na kutaka kuolewa yeye mwenyewe napia km muislam anatakiwa ajue kila kitu hupangwa na mungu Ata km atasema aolewe km haikua riski yake hawezi kuolewa
Aweeee ❤❤❤
Zuchu apotezee tu heka heka za mitandaoni kutaka kujibu kila mtu haweziiii
Zuchu skuizi amelewa na ustar..
Mbona wanamusic wa wcb wengine mnawaheshimisha? Hatakama wanamabaya mnayaficha?
Mbona babu idi huongei unaitikia tuu unamuogopa zuchu au😂
Hizo nyimbo mlizoweka baada ya maongezi kumuhusu ndio zimemuuma😅
Na zlipangiliwa hatar
Mzimu wa dida unaanza kufanya kazi😅😅😅
HUYU MSICHANA WA Ssa ni bora sio yule mwingine alikuwa anapayuka hadi mtu kusikiliza ilikuwa kero.
Kwan hadija mzee ndo hayupo kweny kipnd tena au
Leo kila kitu kitavunjwa ndan
😜😜😜😜Diamond anaishi na mamake safari hii hawezi 😂😂
Kwani zuchu sialikuwa Anamtania mpenzi wake hata kwenye radio sio mbaya jmn ila juma kila saa kuongea kuhusu hilo so saa kwanini asiongelee music wake
Juma lokole munche zuchu kwanini usiongelee mziki wake
Mbona hamuongei mondi anavyomuomba zuchu amzalie hatharani?
Mnauliza Yana wahusu kitu gani waacheni watu na mambo yao waoane wasioane niwenyewe
Mbona diamond anamwambia zuchu amzalie mbona hamumuongelei
Amzalie kwanini asimuoe kwanza? Wanaume sio sio watu waaminifu. Ona Zari kabwa,Hamisa kabwagwa,Tanasha yuko wapi kabwagwa .Kusoma nyakati hujia kuona pia wewe ni huoni mwenzetu?
Hata Nandy alikuwa mjanja hakutaka kujifungua mwanae na akaolewa akiwa ndani ya ndoa. na uja uzito hiyo yote kumfanya mtoto atakapo kuwa amezaliwa azaliwe ndani ya ndoa na vinaishi mitandaoni.
Uyo kafanana na zuchu
Alikuwa anataniya tu
😂😂😂😂😂😂😂