Bora hayo maridhiano yangehusiha wanachama wengi ili waelewe kinachojadiliwa na kukubali kwa pamoja. Haya yote yasingekuwepo. Jambo ambalo pengine ni zuri limegeuka kuwa baya kutokana na aproach yake pengine haikuwa nzuri.
Kweli kabisa ofisi ya chama yenye hadhi ilikuwa muhimu....lakini tunajiuliza je hilo lilikuwa mujimu zaidi kuliko madai ya katiba mpya? Kuliko tume nzuri huru ya uchaguzi? Kuliko demokrasia ya kweli? Kazi iko. Bahati mbaya kama ulivyosema maridhiano hayakuzaa matunda stahiki kama yalivyokubaliana. Kuna jambo la.kujifunza hapo.
Alipanga watu ionekane wanamtaka na kumpenda. Kumbe geresha. Sisi tunajua huwezi achia kampuni iongozwe na wakuja. Najua unavuta tu muda na kijana aje akurithi.
Asante mboe wewe sema lakini lisu hatumtaki atatupeleka Kwa wazungu kwani akili yake yote Iko Kwa wazungu kwani yeye anaona kuongoza ni kuchonganisha na kutuletea vita Kisha yeye akimbolie ubelgiji
Siasa
Bora hayo maridhiano yangehusiha wanachama wengi ili waelewe kinachojadiliwa na kukubali kwa pamoja.
Haya yote yasingekuwepo.
Jambo ambalo pengine ni zuri limegeuka kuwa baya kutokana na aproach yake pengine haikuwa nzuri.
Kweli kabisa ofisi ya chama yenye hadhi ilikuwa muhimu....lakini tunajiuliza je hilo lilikuwa mujimu zaidi kuliko madai ya katiba mpya? Kuliko tume nzuri huru ya uchaguzi? Kuliko demokrasia ya kweli?
Kazi iko. Bahati mbaya kama ulivyosema maridhiano hayakuzaa matunda stahiki kama yalivyokubaliana.
Kuna jambo la.kujifunza hapo.
Reconciliation siyo mbaya hata kidogo, tatizo ni nini mnakubaliana nini, kwa faida ya nani, kwa wakati gani na kwa malengo gani na kwa style gani?
Asante mimi si mwanachama wa chadema lakini nakuunga mkono 54:29
duh!ufalme unaendelea.
PESA ZA VYAMA RAFIKI ZIKO WAPI
Alipanga watu ionekane wanamtaka na kumpenda. Kumbe geresha. Sisi tunajua huwezi achia kampuni iongozwe na wakuja. Najua unavuta tu muda na kijana aje akurithi.
Kamanda hakuna mwanasiasa asiyejua UVULI WA MAUTI,Rudi tuvuke 2025 kwa kishindo
Wewe muongo mwenyekiti una Fanya kazi ya kujitolea kweli
Asante mboe wewe sema lakini lisu hatumtaki atatupeleka Kwa wazungu kwani akili yake yote Iko Kwa wazungu kwani yeye anaona kuongoza ni kuchonganisha na kutuletea vita Kisha yeye akimbolie ubelgiji