Paul Mahona: Sielewi kwanini timu kubwa hazinihitaji - SOKA KIJIWENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Kiungo fundi anayekipiga kwenye klabu ya Majimaji FC, Paul Mahona ndiye anayepiga story na Dodi kwenye kipindi cha Soka Kijiweni cha Azam TV.
    Miongoni mwa mengi aliyozungumza, Mahona amesema anashangaa kuona misimu yote ni timu za chini pekee ndizo huwa zinamuhitaji na siyo timu kubwa.
    Kipindi hiki ni kila Jumatatu saa 1:00 uisiku, Azam Sports 2.

КОМЕНТАРІ • 7