Ndugu David ubarikiwe sana, asante tena kwa nyimbo hizi. naona umebadilisha kidogo rythme, tempo, feeling nyingi ingawa nzuri kabisa..... maoni yetu, nyimbo hizi za wokovu mara tuna kuwa na zi imba kwa Maombi katika mtindo wa play-back asa wakati kuna kuwa mabadiliko sana mara tuna shindwa.... kama itawezekana ombi langu ni kwamba zimbiwe bila mabadiliko makubwa kama vile ulikuwa na fanya hapo mwanzo tafadhali. Mungu aendelee kuku wezesha champion
Amen amen
Mungu niwabien
Indirimbo nziza cane Ubalikiwe sana My Big Bro David
Asante sana Mungu akubariki sana kaka yangu 🥰👏👏👏
🙏🙏🙌🏾Asante kwa nyimbo hiyi
AMEN AND AMEN
asante
Mungu azidi kuku linda
Very powerful 🙌 🙌 🙌!
Be blessed dear!
Amen
❤❤❤❤
Ndugu David ubarikiwe sana, asante tena kwa nyimbo hizi.
naona umebadilisha kidogo rythme, tempo, feeling nyingi ingawa nzuri kabisa..... maoni yetu, nyimbo hizi za wokovu mara tuna kuwa na zi imba kwa Maombi katika mtindo wa play-back asa wakati kuna kuwa mabadiliko sana mara tuna shindwa.... kama itawezekana ombi langu ni kwamba zimbiwe bila mabadiliko makubwa kama vile ulikuwa na fanya hapo mwanzo tafadhali.
Mungu aendelee kuku wezesha champion
Nyimbo zinanibariki nikiwa huku Ugerumani, Mwenyezi Mungu akubariki, akuinue.
Amen 🙏
Amen, ubarikiwe!
David
Halleluyah
Amen