CHANZO CHA MATATIZO YAKO NI WAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
    Habakuki 2:14
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 31

  • @zamoyonandrew7239
    @zamoyonandrew7239 2 місяці тому +7

    SHAROM,, mtumish kila ktu unachofundisha kweny madhabahu hii nkama unaona maisha ya kila mtu kiukwel unatusaidia Sana kwa mafundsho yako nakushukuru Sana🙏🙏

  • @EstherMallya-y2o
    @EstherMallya-y2o 2 місяці тому

    Aminaa mtumishi barikiwa Sana hakika kila unachokifundisha kwenye madhabahu hii hakika ndicho nachopitia kwenye maisha Yangu amen

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 2 місяці тому

    Amen Asante Mtumishi Hapa duniani tuko kwa vita hata hata ukitenda mema lazima watu watakutendea ubaya tu.Tusaidie Mungu wangu 🙏

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 2 місяці тому

    Mungu wa asnte kwa kunikutanisha n madhabahu hii naomba kufunguliwa niwe huru😢 mimechoka maisha y mahangaiko

  • @hdgHdhd-eu7vf
    @hdgHdhd-eu7vf 2 місяці тому

    Mungu ni nusuru kwa kila jambo peke yangu siwenzi

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry 2 місяці тому

    Asante mtumishi Mungu akubariki sana....."matatizo yanatengezwa"😢 Mungu tusaidie

  • @JONISIAMWILONGO
    @JONISIAMWILONGO 2 місяці тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu..... Hakika nabarikiwa sana.

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 місяці тому

    Ameen

  • @DemuyuMuyumba-ky5re
    @DemuyuMuyumba-ky5re 2 місяці тому

    Mungu uniponye nami

  • @TITOJOSEPH-pf7cc
    @TITOJOSEPH-pf7cc 2 місяці тому

    🙏🙏🙏mungu nisaindie kujua chazo cha matati yangu ilniweze Kung,oa mizizi yahilo tatizo kwaimani yangu nawaza kushinda kwa damu ya yesu

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 2 місяці тому

    Ameen mtumishi

  • @lontinaMtenga
    @lontinaMtenga 2 місяці тому

    Mungu sadiyatusadiyetusamehe

  • @LucyGichuru-lu2gg
    @LucyGichuru-lu2gg 2 місяці тому

    Asante sana mtumishi aki 😢

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 2 місяці тому

    Ameen mungu nisaidie kujua chanzo Cha matatizo yangu ili niweze kushinda vita

  • @cathelinemadembwe5561
    @cathelinemadembwe5561 2 місяці тому +1

    Real mtumishi..

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 2 місяці тому

    Amen amen amen

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 2 місяці тому

    Kweli mtumishi unachoongea ni kweli.Mungu anisaidie na Roho Mtakatifu aniongoze vema.
    Shalom shalom.
    Ameen.

  • @leahwainaina4396
    @leahwainaina4396 2 місяці тому

    Amen

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 2 місяці тому

    Emeeeen

  • @ELIYAMWANA
    @ELIYAMWANA 2 місяці тому

    Iyo nikweli kabasa asha tumwombe mungu atuteteye EE yesu tuokoe nama adui niwegi😢

  • @HappyMnyawami
    @HappyMnyawami 2 місяці тому

    Naamini hata mm changamoto zangu siyo za kawaida, nina roho yakuchukuwa😢😢😢

  • @mishikazungu8028
    @mishikazungu8028 2 місяці тому +2

    Amen Amen Ee mungu naomba unisaidie 😢😢😢😢😢

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 2 місяці тому

    Yaani kabla sijaokoka niliendaga Kwa mganga Kwa ajili ya ndoa yangu ila Yesu ni mzuri. Ndio nikawa nimemwagia moto petrol na wiki hiyohiyo nikakutanaga na Yesu.

  • @AnneMwinamo
    @AnneMwinamo 2 місяці тому

    Ee bwana unihurumie unisamehe unirehemu 😢😢

  • @JeniferUrio
    @JeniferUrio 2 місяці тому

    Mbona ni mm unanisemea Mungu nisaidie

  • @PENUELMBWAMBO
    @PENUELMBWAMBO 2 місяці тому

    Sasa utajuaje huo mzizi maana vingne havieleweki daaa Mungu nisaidie nimechoka sana

  • @Aminafatuma-wb6th
    @Aminafatuma-wb6th 2 місяці тому

    Kiukweli ninabarikiwa sana na maubiri ya Siri za biblia Asante sana mtumishi,MUNGU akutiye nguvu amen.

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 2 місяці тому

    Amen amen barikiwa mtumishi wa Mungu unatusaidia sana

  • @kanyamunezaclaudineclaudin9627
    @kanyamunezaclaudineclaudin9627 2 місяці тому

    Mungu tunaomba msaada wako Bwana

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 2 місяці тому

    Duh 🙄🙄 haya ni màish yngu kbsa

  • @queenMarianasadick
    @queenMarianasadick 2 місяці тому

    Amen🙏