Leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Leo #MariaSpaces tunajadili: Mitano tena ya nini? Ya ufisadi, utekaji na mauaji?
    Tumeona kampeni imeanza na wanasiasa na wasanii wakisema “Mitano tena”
    Hiyo mitano ya nini!? Tumeona ufisadi wa kutisha, utekaji na mauaji ya kufuru - tunataka miaka mingine mitano?

КОМЕНТАРІ • 12