OLOIBORSOIT KWAYA KUTOKA SIMANJIRO, HII KWAYA NI MOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 12

  • @piniellaizer5753
    @piniellaizer5753 Рік тому +3

    Kwaya ya Lutheran Loiborsoit A hongeraa sanaa Mr mosses

  • @shamslukumay2627
    @shamslukumay2627 Рік тому +1

    Nyumbanii💥💥💥

  • @Moraa-vs6fp
    @Moraa-vs6fp Рік тому

    Mungu ndio kila kitu mmejitahidi sana 🎉

  • @danielwilliam5213
    @danielwilliam5213 Рік тому

    Nakupenda sana kimasai mundarara

  • @babayetu1068
    @babayetu1068 2 роки тому +1

    Safi

  • @piniellaizer5753
    @piniellaizer5753 Рік тому +1

    Kweliii kabsaa watu walijitahidiiii Sanaa ila I appreciate Kwaya ya olesiangikiii wanajuaaaa sanaaa

    • @KilusuMigaro
      @KilusuMigaro Рік тому

      Muongo wew kuliko hii ya lobosireti

  • @Zacchaeus-i6y
    @Zacchaeus-i6y 11 місяців тому

    Nikiwa miongoni mwa washiriki wa Uimbaji huu dayosis mwaka jana nikiwa na kwaya yangu ya asili ya kimasai (.....) Tulikuwa wa 3 kuingia jukwaani .
    Pia mimi ni mwimbaji wa Noten na (mkaguzi wa sauti pia) hii kwaya ilistahili no 1 kwa sababu mbili za muhimu,
    1. Kwanza Wanaimba kulingana na muda (karne) wabunifu mno na wameimba asili kisasa zaidi mtu yeyote hata asiye masai anaweza iskia na asiwe na maswali kichwani.
    2. Mwalimu wao anajua na walikuwa wakamilifu katika uimbaji wao yaani kwanzia vitendo hadi matumizi ya sauti🔥🔥🎤

  • @seurikasaro
    @seurikasaro 2 роки тому +1

    Sidai oleng' ele singolyo isisita taa alatoria oleng'

  • @NoahKatei
    @NoahKatei Місяць тому

    Ashenaleng

  • @dodomasiestainn1587
    @dodomasiestainn1587 Рік тому

    John king stu
    dio

  • @felixlaislais6561
    @felixlaislais6561 Рік тому

    NAISHOOKULE