KAZI IMEANZA MCHUNGAJI USOKWA USO NA# Muhubiri Mwaipopo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лип 2021
  • #SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
    Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya UA-cam ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

КОМЕНТАРІ • 170

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 11 місяців тому

    Jazakaallah, sheikh mwaipopo❤❤❤

  • @musasaanane2758
    @musasaanane2758 2 роки тому +2

    Nakukubali sanamwaipopo Allah akujalie naakuendeleze kufanya hivyo milele daima nitajitahidi kukuunga mikono

  • @emmy85sweetie99
    @emmy85sweetie99 3 роки тому +2

    Allahu akbar, allahu albar, allahu akbar laailahailalah allahu akbar

  • @sarahmussa7043
    @sarahmussa7043 3 роки тому +1

    Muislam awezi kubishana na watu wasio na elimu na wakapata ushindi uwongo uwo uisilam ndio dini ya kweli tu uko sawa shekh mwaipopo.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 роки тому +3

    Mashaallah sheikh wetu mwaipopo

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 роки тому +1

    ina maana kuna wakati miaka 2000 yrs ago mungu alikua akitembea jerusalem,tena sasa wakati huo watu walikua wanasema mungu amepita hapo nje sasa hivi ameenda kisimani kunywa maji...subhanaAllah..maneno mazito na yanatisha

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому +1

    Yesu si mungu si mwana wa mungu ata katika quoran kunamajibu yake atayajibu sikuyakiyama kwakukana ayo pasta iko na sema ambayo alifundishwa nawanadamu wewe aca uongo huna elimu elimuyako ya kiroho nindogo

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Рік тому

    Maashallah shekh mwaipopo Allah atuhifadhi sote waislam unamchalenji mchungaji anataka kukimbia maana kachanganyikiwa anacheza cheza kama mkojo umembana vile😁😂🤣😁

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 роки тому +5

    Mchungaji umepewa elimu ya uongo kichwani mwako omba Mungu akuzindue siku moja ujue ukweli kisha usome elimu ya kweli.

    • @rahmasoliman489
      @rahmasoliman489 2 роки тому

      Yani msiba kwakweli

    • @rahmasoliman489
      @rahmasoliman489 2 роки тому

      Yani mchungaji amemeza memory yanaporomoka kinchwani msiba kwakweli tena mtihani

    • @FammiFami
      @FammiFami Рік тому

      Mchungaji mbona hutulii,kaa upate elimu ,jisalimishe kua muislam ndio dini ya kweli dini ya manabii wote ww ninnan ukatae

  • @husseindiaby5097
    @husseindiaby5097 Рік тому

    Mwaipopo upo sahihi

  • @user-un5or4ye4d
    @user-un5or4ye4d Рік тому

    Inshaallah

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому +1

    Nilichogundua wote wanamwamin Mwenyezi Mungu tofauti ni njia tu lkn safar ni moja, Insha Allah Mwenyezi Mungu awatangulie

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 2 роки тому

    Mtihani

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 5 місяців тому

    Yaani ummati wa waislamu wote tumuamini M'mungu Mmoja na kumfuata Mtume Muhammad (s.a.w) mtume wa Mungu. wewe kashasha usipoamini hivyo yadhuru nini yaani wewe ndio kama nani?

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому

    Mashaa allah shekhe mwaipopo waelimishe dini ni unyenyekevu na sio biashara na kelele za nyimbo makanisani hapo utabishana nao sababu wako kwenye biashara ndo maana anasema yesu ni mungu mtihani sana

  • @sonyhusseinnzelevoko1221
    @sonyhusseinnzelevoko1221 3 роки тому +1

    Nakushukuru Sana sheikh Mwaipopo

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому +3

    Masha"Allah

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому +1

    Mashalah shk Mwaipopo Allha akujaalie na akupe ujasiri

  • @faroukamir5484
    @faroukamir5484 3 роки тому +2

    Mimi nashangaa na wakristo ..wengine wasema yesu ni mungu..wengine wasema yesu ni mwana wa Mungu..ss tushike yupi.. wakristo kuweni na msimamo moja...

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 роки тому

      Siumesikia Mungu mwenye nguvu usipoelewa utakaa ukaelewa mpaka unakufa

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 роки тому +3

      @@prochesernest5439 eti ananguvu km ananguvu mbona alisulubiwa km mavodai wenyewe?? Nani anakubali kufa km sikukosa nguvu nakuzidiwa Hadi kuuliwa acheni kujazwa ujinga nyinyi

  • @athmanmohammedngana8977
    @athmanmohammedngana8977 2 роки тому

    Masha'Alla.... sheikh Mwaipopo unaeleza ukweli ulio wazi kabisa

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 2 роки тому

    Mashalla allbdulilai ustaz maipopo wafundishe hawo wanyuwe mungo

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Nashangaa na ndugu zetu waislamu wanakubali manabii,isaya anatabiri ,kuusu yesu ,naanapeana jina lake ni mungu mwenye nguvu

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 роки тому +2

    Alhmdulillah ala neematil islam.

  • @tajulius4607
    @tajulius4607 3 роки тому

    Shekhe mwaipopo mashaalah unaakiri nyingi sana

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    Shekhe mwaipopo Allah akulipekher

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 2 роки тому

    MA SHA ALLAH

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 3 роки тому

    Maasha Allah UST mwaipopo

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 роки тому

    Masha Allah Sheikh

  • @AliAli-zg1kp
    @AliAli-zg1kp 2 роки тому

    MashaAllah

  • @ally_tz96
    @ally_tz96 Рік тому

    Msomaji wangu taratibu utazoea tu

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 2 роки тому +1

    Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu to all Muslim brothers.
    Alhamdhulillah kwa Neema ya uislam...tutaipeperusha bendera ya lailaha Ila Allah muhamadan RasulAllah mpaka mwisho...Allah atujalie istikama katika dini na atujalie thabit kwa kauli zetu

  • @ramadhanabdala8611
    @ramadhanabdala8611 2 роки тому

    Kashasha karibu kwenye uislamu, achana na yaliyovurugwa.

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 2 роки тому

    Mashaaallah

    • @zwuenakhalfan2098
      @zwuenakhalfan2098 9 місяців тому

      Yesu sio Mungu fikirini sana Mungu gani kakaa tumboni kwa Maria na kuzaliwa na kutahiriwa kala chakula na kwenda choo yesu hana sifa ya uungu yesu ni mtume kama manabii wengi walikuja kabla ya yesu

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Na uyo yesu ataitwa mushauri wa ajabu, mungu mwenye nguvu

  • @benjaminmwilaria1145
    @benjaminmwilaria1145 2 роки тому

    Yesu ni mungu na si kumpigania

  • @yusuphalawi6803
    @yusuphalawi6803 2 роки тому

    Shekh mwaipop hao watakuchosha to achana nao

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 2 роки тому

    Asalam alykum mungu akusayidiye uyione haki na uyifate ishallah

  • @godmoontv4476
    @godmoontv4476 3 роки тому +4

    Ilaa naomba musiogopane kwenhe dini ikiwa ni ukweli muambiane ukweli assante

  • @user-wf3vy4jt3e
    @user-wf3vy4jt3e 2 роки тому

    Pastor yuababaika kweli hajiamini na dini yake Allah amuongoze katika haki 🙏

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 роки тому

      Allah ndo kitu gani? Acheni kudanganyana waislam mlipigwa hapo , Qur'an ni Stori za kahawa alizokua akisimuliwa Muhammad Mambo yaliotokea zamani na nayy anaenda kuwasimulia warabu wenzie ambao waliokua awajaenda shule ndomana Bible inasema mshike Sana elim usimwache aende zake

    • @user-wf3vy4jt3e
      @user-wf3vy4jt3e 2 роки тому

      @@francisjoseph1074 kudanganywa na nanini wewe sibiri ufe uende Motoni🔥🔥uislamu kama haungekua dini haingenea kwa haraka ivo duniani na hakuna dini ya kweli mbele ya mwenyezi mungu ila uislamu tu

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 роки тому

      @@user-wf3vy4jt3e tatizo lenu shule nawasikitikia Sana na hiyo dini yenu ya mchongo, ata ukifuatilia historia ya Qur'an ni ya ujanjaujanja kingine mnachojidanganya eti issa ndo YESU , jibril ndo GABRIEL, huu ni uongo mkubwa ambao ulivunja recodi Dunia nzima, issa na Gabriel hivi viumbe havijawahi kutokea duniani wala mbinguni hakuna kitu cha namna hiyo, Bali mlidanganywa

    • @princerammy1543
      @princerammy1543 2 роки тому

      @@francisjoseph1074 naham ningekua karibu nikuzabue kofi wallah ww kafiri ww

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 роки тому

      @@princerammy1543 kafiri ni wewe na Allah wako

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 роки тому

    Mchungaji anasema anaamini alipoambiwa amuamini ‘MUNGU KWA JINA LAKE YESU’...!...Sasa si tayari ameshamaliza kwamba kuna MUNGU na kuna Yesu..!...hii imani ya Yesu kuwa MUNGU ni Imani tu Lkn haipo kwenye MAANDIKO....!....Msiba mkubwa sana kwa Huyu Mchungaji..!

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому

    Kama Yesu kutokana na jina lakini niyuleyule Mungu bali amebadili jina mmmh...!
    Ukatowa mfano wa maji yana majina mengi mfano; Uhai, Afya nk.
    Pamoja na maji kuwa na majina mengi je maji yanaweza kuwa Samaki?!
    Mungu wa kweli hana sifa ya kubadilika kama Jini/Shetani/Malaika nawala (Allah) Mungu Mola Muumba hanasifa ya walizonazo Viumbe mfano kuzaliwa (mtoto), hana mama, hafi nk yafanywayo na Viumbe Mungu hana sifa hizo.
    Wakristo wacheni kukufuru..!

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 2 роки тому

    Ujanja mwingi mchungaji

  • @pascalsamwel3038
    @pascalsamwel3038 3 роки тому +1

    I mani inaanza ndiyo dini inayofuata dini maana yake ni njia ya kufika kwa mungu mbona vitu vinaeleweka shekhe wetu mwaipopo.

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 2 роки тому

    Mwalimu kashasha kapoooooooa

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 роки тому

    Mwaipopo rudi tu kwenye ukristo umepotea.

  • @musasaanane2758
    @musasaanane2758 2 роки тому

    Allah akijalia inshaallah

  • @abdullahsaleh9248
    @abdullahsaleh9248 3 роки тому

    Safi napenda hii

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 роки тому

    Wapewe Iman kwa dini ipi? Yesu akitangaza Iman kwa dini ya kiislam

  • @aishambega4118
    @aishambega4118 2 роки тому

    Najivunia kuzaliwa muslamu yesu si mungu wala si mwana wa mungu noooooooo!!!!!!

  • @moussashamba719
    @moussashamba719 3 роки тому +2

    NENO LA MWISHO LA MCHUNGAJI ANASEMA MOYO WAKE UMEJAA MAHABA..ASANTE ALLAH KWA MJADALA HUU WA AMANI NA UPENDO,,KWA LENGO LA KUTUPATIA ELIMU SISI WAJA WAKO AMEEEEN

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 3 роки тому +1

    Wenyewe kwa wenyewe Mkiristo mstaafu na mkiristo aliyokazini subhana nlaaaa

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 5 місяців тому

      Hakuna cha wenyewe kwa wenyewe . Mwaipopo ni Muislam tu.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 3 роки тому

    Mtoto au mwana wa mtu, Je, si mtu? Je, kondoo aweza kuwa mwana wa ng'ombe, na Kadhalika. Je, ni ajabu Bwana Yesu Kristo kuitwa Mwana wa Aliye Juu, yaani Mungu; Na hivyo, kuwa ni Mungu pia?
    Very common logic and wisdom.

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 3 роки тому

    Kumbe yesu alisilimisha watu

  • @michaelvicem6323
    @michaelvicem6323 2 роки тому

    UKRISTO SIO DINI ILA NI IMANI NA SIO BORA KULIKO IMANI IMAN NDIO UKRISTO NA IBRAHIMU ALIPEWA IMANI NDO KITU BOLA NA SISI WA KRISTO NDO WATU WA IMANI,,ILA WAISLAM HAWANA IMAN AO WANA DINI DINI NDO SASA

  • @emmy85sweetie99
    @emmy85sweetie99 3 роки тому

    Maashalah Yaalab niongoze katika dini ya kweli na haki bila kutetereka. Allahuma amiin

  • @joezeno8
    @joezeno8 3 роки тому

    Ni kweli msiba mkubwa Duniani ni dini

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 роки тому +1

    Asalam alaykum sheikh mwaipopo hapo hunamtu anarukarukatu huyo elim yake nindog san

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 3 роки тому

    Mimi ninaamini Kuna watu wata pona baada ya majibu ya huyu mchungaji maana hayaeleweki na hayatoi majibu ya eti YESU ni MUNGU.

  • @benjaminmwilaria1145
    @benjaminmwilaria1145 2 роки тому

    Huyo mwaipopo nimpinga kristo

  • @saidswalehe2807
    @saidswalehe2807 3 роки тому

    Waoo mwaipopo ingiza darasa huyo pasta

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 роки тому

    Lazma yafurahi

  • @sarahmussa7043
    @sarahmussa7043 3 роки тому

    Muislam awezi kubishana na watu wasio na elimu na wakapata ushindi uwongo uwo uisilam ndio dini ya kweli

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому +1

    Waromi ndio wamekuja kukwanbiya yesu nimungu nimwanawamungu kafa kwazanbizetu musalabani uyo utabiri wakirom towa jasho apo huna elimu

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Quran ishamaliza elimu zote haijaaca kitu yesu si Mungu si mwanawamungu namama yake si mama wa Mungu izo ni elimu zamakafiri yesu ni nabi wa Mungu tena alitumwa kwa wana wa israel nabi wawatu wote nimutume MUHAMMAD s.a.w ayo unayoyasema hapo wewe pasta huna hakibhujuwi unaloliongeya kunamaswali ata papa francis anajuwa nahana jobu mwi iyo bibilia kwasasababu wawo waroom ndiyo wamezulumu vitabo tatu nakuandika wanalolitaka nakugeuza hunanishu inabidi mwaipopo ndio akufunze aca kiburi fata elomu kweli ungali hayi

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 11 місяців тому

    Vp mchungaji kitii iko naaa mibaa mbon hutuliiiii

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому

    Wabishi hawa watu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому

    Dini haimuingizi mtu peponi mmestak hapo ndio akili zinaishia hapo .mnasahau ya kuwa Mungu hachunguzuki

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 3 роки тому +2

    Kama yesu alikua anisamehe dhambi kwanini auwawe kwajili ya dhambi ya watu....

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 3 роки тому

      Hilo swali ni gumu kwa wapagani, lakini ni rahisi kwa waaminio, kwasababu wokovu unatoka kwa wayahudi, Historia ya ukombozi wa mwanadamu
      vimeainishwa vizuri kwenye biblia, Ni ngumu kuelewa kama wewe ni mpagani. Qurani ipo ili ikosoe ndio maana imewataja wakristo na wayahudi wazi wazi (kupigana, kuwa na udui nao) , kuonyesha kwamba haikutoka kwa mungu muumba wa mbingu na dunia, bado kuna makosa chungu mzima ya kihistoria ya kisayansi, na ya kiimani.

    • @gshdhvdhf8283
      @gshdhvdhf8283 3 роки тому

      steven samahani sana kama kuna mtu aliechanganyikiwa ni wewe yaani wewe na bibilia mumechanganyikiwa haya maneno yako umeandika hata hayaketi maana kabisaa a simple question unajibu utakavyo bila hata kufikiria unachosema....

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 Рік тому

      Kazi za Mungu hazichunguziki sanasana mnajitafutia hukumu

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 Рік тому

      Makosa jungu nzima mnayaona nyinyi mliokuja nyuma

  • @abelsteven3189
    @abelsteven3189 3 роки тому

    Waisilamu wana dini lakini hawana mungu wa kweli.

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 3 роки тому

      Ssa hiyo dini tumeipata kutoka kwanani?! Maana Dini/njia/kanuni zote za jinsi ya kuabudu hutoka kwa (Allah) Mungu Mola Muumba.
      Ili ibada ipate/iwezekuwa ibada lazima iwe imeelekezwa na Mungu Mola Muumba.
      Hivyo Wakristo hawana/hafanyi inada za kweli/za haki sababu wamejibunia midumo ya kuabudu kutoka kwa Wapagani/Makafiri na ndomana Wakristo hawana dini !

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 3 роки тому

      @@alhaddajmohammed4768 Historia ya dini yenu ilianza kwa kikundi cha watu fulani, wakiongozwa na mohamad ambaye, wakristo na wayahudi walimpotosha, kwa wakati huo, ndio maana mandishi ya qurani yamechanganya injili kidogo, torati kidogo na upagani mwingi kutoka kwa makureshi wa maka. kwahiyo dini mnayo ila si ya mungu wa kweli, bali mungu wa kubuni.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 3 роки тому +1

      @@abelsteven3189 Tatizo lenu mmepewa elimu ya uongo mkaiamini mbaya zaidi hao waliowaletea hiyo dini ya uongo wenyewe hawaifati. Jitafakari acha kufuata dini kwa mazoea fanya utafiti binafsi kama anavyofanya mchungaji wako hapo. Mpe muda mhungaji wako utakuja utaona atakavyowakimbia.

    • @jamilaalfarsi7712
      @jamilaalfarsi7712 3 роки тому

      @@abelsteven3189 hao walioleta dini nahawaifati nikinanani mbona hukuwataja?????

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 3 роки тому +1

      @@abelsteven3189 kwanza ukristo wenyewe ukiuchambua utakuta kila dhehebu lake limeanzishwa Ulaya au America na hakuna mtume yoyote alietokea pande hizo, sasa dini mmeitoa wapi?

  • @zawia3154
    @zawia3154 Рік тому

    Tofauti kubwa ya wakristo na waislam
    Waislam wanasoma na kuelewa biblia na Quran lakini wakristo wanasoma biblia tuu na Quran hawaisomi hawaijui Wala hawaielewi

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 2 роки тому

    Sheikh wao n kondooo walio potea mngu awaongoze kwenye kheri yesu c mngu Bali n mjumbe w mngu tu...

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому

    Mchungaji kapewa kibano cha nguvu

  • @mohamedafdhal9392
    @mohamedafdhal9392 3 роки тому

    Saf Xana mwaipopo

  • @ally_tz96
    @ally_tz96 Рік тому

    Mchungaji unakataadini bibria unasomaje sasa 😭 daaa msiba

  • @pascalsamwel3038
    @pascalsamwel3038 3 роки тому

    Hapana dini bila kua na imani na unachokihamini mwaipopo hachakupotosha watu.

    • @omarchuo2178
      @omarchuo2178 3 роки тому

      Doooh anapotosha watu tena!! Ina maana huoni usikilizi huoni mchungaji hawezi kujibu maswali

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 2 роки тому

    Shk Saidi,huyo Msomaji,alisomea wapi?Anasoma kama mtoto wa darasa la kwanza!!!!

  • @sefunduwayo7388
    @sefunduwayo7388 3 роки тому

    Pigania dini hiyi yau islam sheikh mwaipopo nasisi tuko nyuma yako. Napia number za i.pesa tumeziona

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 роки тому

    Andiko yalipate wapi? Mtukufa wa daraja hajatumwa na mungu katumwa na nani?

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Ukikuta na anyejuwa bibilia vizuri kama mazinge na sule na kinyogori njo watakunyoosha sawasawa samoja utakosa jibu kinywa kijae maji

  • @user-ox8pc5wu7u
    @user-ox8pc5wu7u Рік тому

    Muulize Paulo ni mtume kapewa na nani

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 3 роки тому

    Kashasha haki elimu yako ni chache sana maana unavyofafanua haingii akilini sote in waja wa mungu

  • @aishambega4118
    @aishambega4118 2 роки тому

    Mhh eti yesu ataleta kiama ?huu ni msiba 😏eee Allah wape utambuzi warejee inshaallaah

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Manyongeza Allah ashatangaza nakumali katikabizo imani unazozitapatapa hapo kasema iyo gifti ya pili na asiyefata uisilamu huyo atakuwa mwenye hasara kubwa sana peponi sasa hasara manayake nini? Mungu ashatangaza nakumaliza asiyekuwa muisalam huyo hamuabudu( basi) hakukutafutatafuta twambiye wapi Mungu binafsi kasema mucristo atakwenda mbinguni wapiiiii???????? Hupati ata wende vatikani kwenye makao ya ukirisu hupati pasta pole

    • @abubakarhaji5343
      @abubakarhaji5343 2 роки тому

      Hawa jama Hawana jipya kabisa wanasuasua tu mungu amjalie ajue haki na aifate

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Bt naelewa watu wa mwilini aeawezi elewa mambo ya rohoni, ukisoma Quran inasema shetani alikua na kizazi,maanake ana uzao,waislamu Nina swali nani alikua mke washetani,kwa sababu tukisema yesu ni mwana wa mungu munauliza nani mke wake

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 Рік тому

      Aya gan inasema shetani alikuwa na kzaz😂😂😂😂

  • @godwillmanyaki7816
    @godwillmanyaki7816 3 роки тому

    Shehe huyu hakuwa mchungaji. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndio huku. Yani kwa akili yake anadhani injili ni kitabu Kama quran, injili sio kitabu injili ni habari njema kuhusu ufalme wa mungu..

  • @benjaminmwilaria1145
    @benjaminmwilaria1145 2 роки тому

    Sioni kama huyo muislam atasaindika

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому

    Achananae huyo hajuikitu utachokatu shekh yy anatafuta pesa kwenye ukirsto

  • @sonyhusseinnzelevoko1221
    @sonyhusseinnzelevoko1221 3 роки тому

    Amekuja kusoma umfudishe natufayidika

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Mimi kama muisilam namupa gift ndogo tu Allah ashamaliza kilakiru kakiweka wazi hatuna haja yakuwasikiza waokuwa na ukweli ao elimu sahihi Allah kashamaliza kabisa kua Mucristo wakweli huamini quor an nakuifata basi yesu akisema imani yamutu imemuponya nikua uyo mutu yesu huwa amemulipa duniani uponyaji aca kudanganya watu

  • @khalidomar9866
    @khalidomar9866 4 місяці тому

    Ww mchungaji jibu unachoulizwa acha ubabaishaji 😂unaiibika mtu mzima ovyoo ww

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 роки тому

    Sasa sheikh wetu huyo jamaa alishanongeya dakika 15

  • @azamsaid5256
    @azamsaid5256 3 роки тому

    mbona hutulii Bwana Kashasha Mara umeshika sharubu Mara Tai Mara suti tatzo nini mchungaji??

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Nani alisema ukiwa mwislami ni tiket ya kwenda mbinguni uwo nimusiba,ata kua mkristo sio tiketi ya kukupeleka mbinguni, watakatifu ndio wataingia mbinguni ,akuna dini ,Wala kabila ,lolote wanao ingia mbinguni niwatakatifu only

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 роки тому

    Mwalimu wa kislamu ,mashaka yangu ,nashangaa nilisima mtume eti aliowa mtoto wa mwaka sita je niukweli?

  • @abelsteven3189
    @abelsteven3189 3 роки тому

    Mwaipopo hamna kitu.

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 роки тому

      Uyo mchungaji Mbwa kwamu jibu wa biblia sasa Mbwa na binadamu nani amna kitu

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 3 роки тому +1

      @@ramadhanjuma610 Mbwa ndo hamna kitu.

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 роки тому

      @@abelsteven3189 kambwa amna kitu na Biblia ina twambia wachungaji Mambwa

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 3 роки тому

      @@ramadhanjuma610 sawa

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 2 роки тому

    Mwaipopo,mueleweshe,huyo MASKINI YA MUNGU.

  • @pascalsamwel3038
    @pascalsamwel3038 3 роки тому

    Nandyomana yesu alisema yeye ndiye njia ya kweli na uzima wamilele.

  • @firozhussein2666
    @firozhussein2666 3 роки тому

    Huyu mtu SI msomi

  • @masoudshaban6609
    @masoudshaban6609 3 роки тому

    Biblia sio injili...elewa soma kwanini ni biblia

  • @lutfabdulrab5527
    @lutfabdulrab5527 2 роки тому

    Wewe ni kafiri hata uwe na elimu gani, mungu hana mke wala mtoto wala hafanani na kitu chochote