Mungu akubariki sana Kuhani Joshua na team yako. Wimbo huu ni mzuri sana, unatia nguvu kwa aliyekata tamaa kwani unaeleza ukuu wa Mungu. Nakuombea ufikie viwango vile Mungu alivyokukusudia katika kumtumikia Yeye
Mungu akubariki. Mungu awabariki wapiga vyombo Mungu ambariki mpiga bass Mungu awabariki waimbaji. mmefanyika baraka kwny wimbo huu jmni. hakika hata Kwa wakati ujao Mungu atakua nasiai
Tulipo achwa kwenye jangwa ulikuwa nasi, ndivyo itakavyokuwa kwa wakati ule ujao.... Bwana ni wewe tu unatuwezesha Amen 🙏🙏🙏 Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU #MD JOSHUA B
Nimewaona nimewaona wenzangu Mungu awabarikii sanaa sanaa. Anatuwezesha atatuwezesha
Amen Amen 🙏
Ubarikiwe mnoooh na Abba Father 🙌
WAOH BA mdogo
Hakika huu ujumbe niwa kwangu ubarikiwe kaka MUNGU aendelee kukupa hatua zaidi kwenye kazi nzr zaidi
Amen Amen Utukufu kwa Mungu Atatuwezesha wakati ujao pia
Hongera sana kaka'ngu, unafanya kazi nzuri sana, Mungu akubariki sana na kukuinua zaidi
Ubarikiwe Joshua endelea mbele inaweza kutokea upinzani na vikwazo ila usiache kutumika
Amen Pastor Asante sana 🙏🙏 Amen .
🙌🙌 Utukufu kwa Bwana Yesu
Ni Yeye peke yake
Ubarikiwe sana MOG
Halleluya 🙌🙌
🔥🔥🔥 Neno na bwana litadumu sasa na hata milele
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kazi nzuri....
ni wewe tuu bwana
Amen...amen Mungu akuinue zaidi mtumishi huduma nzuri nimebarikiwa🙏
Amen Amen 🙌🙌
📝📝📝📝 Mungu anatuwezesha.
Mungu akubariki sana
Amen Amen. Atatuwezesha kwa yajayo
God always. Ndiyo itakavyokuwa kwa wakati ujao
Atatuwezesha hata wakati tusioujua
Mungu akuinue kwa viwango vikubwa zaid
Amen dada Asante sana 🙏
Mungu akubariki sana Kuhani Joshua na team yako.
Wimbo huu ni mzuri sana, unatia nguvu kwa aliyekata tamaa kwani unaeleza ukuu wa Mungu.
Nakuombea ufikie viwango vile Mungu alivyokukusudia katika kumtumikia Yeye
@@chizalawi551 Amen Amen Amen
Viwango viwango kaka, thanks for this bless, Mungu akuinue na kukuwezesha zaidi
Amen Amen 🙌🙌
Mungu akubariki.
Mungu awabariki wapiga vyombo
Mungu ambariki mpiga bass
Mungu awabariki waimbaji.
mmefanyika baraka kwny wimbo huu jmni.
hakika hata Kwa wakati ujao Mungu atakua nasiai
Halleluyah 🙌🙌 Utukufu tunamrudishia Yeye Yesu Atatuwezesha kwa yajayo pia .
Ooooh my God ubarikiwe sana na MUNGU akuinue zaidi my brother 🔥🔥🔥🔥🙌
Amen Amen my brother 🙌🙌
Kaka nabarikiwa sana na hiyo mana tuliyotupiwa jangwani ...
Halleluya. Atatuwezesha kwa neema yake kwa yajayo
Hongera Sana KAKA MD For this Revelation melody. 🎉....
'Ndio Bwana Yesu Ninakupenda' 🔥 🔥 🔥 🔥
Halleluyah Glory to King Jesus
Hongera kwa wimbo mzuri
Ni wew tu Bwana🙌🏻
Glory Halleluyah 🙌🙌
Kaka Barikiwa sana Mungu tu ndo anatuwezesha
Amen my brother Jose
Hongera sana kaka mkubwa kazi nzuri hii, Mungu akutangulie mno.🙌
Baharia see u at the top🤝
Atatuwezesha kwa yajayo
I like your musical arrangements also song lyrics
So blessed.....
Amen Glory to God
Hii song n 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥
Halleluya my Brother Glory to God 🙌🙌
Be blessed 🙏🎉
Nipo hapa 🔥🔥🔥🔥💃
HahahH hongeraa 🎉🎉🎉
@@joshuabaharia93😂 Asante 🙏
Huu wimbo nataka kua nao 😢 nafanyaje ety
download
Amina mkuu wang
Amen
Saf sana boss kazi nzuriii
Amen brother 🙏🙏
Kazi nzuri Md😊🔥🔥
Halleluyah 🙌🙌
Blessings 🎉
👏👏👏🙌💥💥💥Nice work,
God bless you servant of God
Thank you 🙌
Ubarikiwe man of God, Kazi Ni nzuri....The Lord is lifting His loved one in the City.
Glory to God
Alooo sekunde
Nimekuona nimekuon 🎉🎉
Barikiwa mzee
Amen Amen
Very revelational song ubarikiwe sana Man of God Joshua.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen Amen Amen Glory to King Jesus . Atatuwezesha hata nyakati tusizozifahamu
Hakika ni ww ty BWANA atuwezeshaye sis bure bila ww BWANA. Ubalikiwe minister 🙌🙌
Amen my brother Imani 👏🙏
Well done 🎉🎉🎉
goosebumps was around me 1:58
Amen Amen
Nice song brother
Songa mbele
Kazi njema sana
Imefika Mpaka huku kijiji cha Mkwese wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida
Utukufu kwa Mungu
Halleluya Mungu ni mwema Sanaa nyakati zote
💥
kaka kaka❤🙌🙌
Kabisa ni yeye anayetuwezesha, barikiwa Sana Mtumishi wa BWANA, MUNGU AKUINUE ZAIDI NA KUKUPELEKA UTUKUFU MWINGINE.
Amen My brother
Good performance bro.
(Pretty sound,good arrangement from the intro,vocal,dinamics and musical instruments at large.
Halleluya Glory to God 🙌🙌Thank you very much!
Glory to God
Amen 🙌🙌
MD J Mungu akubariki sana unafanya kazi ya Mungu kwa moyo na kwa uzuri hakika nyimbo zako zina nguvu ya Mungu ndani yake. Amen
Amen Amen teacher. Asante sana sifa na Utukufu tunamrudishia Yeye pekee
Only God🙌🙌
Surely 🙌🙌
Tulipo achwa kwenye jangwa ulikuwa nasi, ndivyo itakavyokuwa kwa wakati ule ujao.... Bwana ni wewe tu unatuwezesha Amen 🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU #MD JOSHUA B
Amen my brother. We believe God in Future 🎉🎉
New anthem in town 🎉
Halleluya Sister I appreciate God Bless you more and more 🙌🙌
Hakika ni yeye tu atuwezeshae..
Atatuwezesha kwa yajayo Halleluyah 🙌🙌
Remained 103minutes💃🙌
Hallelujah 🎉
Nime barikiwa sana na huu wimbo✋
You nailed it moG🙌🙌🎶this song has been ministering to me that ka groove 💕✨✨keep it man awiiiiiii! Nitakuwa wa kwanza kukafanyia challenge
Halleluyah my brother Glory to God 🙌🙌
Neema ni Nyingi ,Songa Mbele Mtumishi Mkubwa wa Mungu.
💥💥
My Brother. MD Joshua
Yes Yes my brother 🙌🙌 I see you Brother 🫡
Kaka
The songiiiii ayaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
Woooow Hallelujah Hallelujah Glory be to God 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Halleluya to king Jesus
Nice work brother 🎉
Glory to God my brother 🎉🙌🙌
Ni wewe tu Bwana😢
Halleluyah
Bwana tu sie tuliowezeshwa na Mungu, tunacoment wapi jaman maana sasa Yesu katenda Mengi mno🎉nikianza kusema hapa hapatoshi🎉🎉❤
🎉
God's grace is Sufficient!! Ooooooveeer......
Over 🙌🙌
❤NI WEWE🔥🔥🔥
❤
Ubarikiwe Sana wimbo mzuri sana
Amen Brother
🔥🔥🙌🏾 Tuankujua wewe, Utatuwezesha
Utatuwezesha kwa yajayo
Tukimbize saa 😅😅
😂😂🎉🎉
❤❤❤ Ubarikiwe Sana Sana... MD Joshua
@@elmessilas3780 Amen Ndugu yangu Mungu ametubariki sotee kwa utukufu wake 🙌🙌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 unajuaaa
Amen my brother
Man of God🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙏
Ni Yesu
🔥🔥🔥🔥yamebaki ma saa ma2 na dakika 55🙌💃
Muda unatembea kama Kobe 😢
@@dannieburah8446 soon soon ikifika saa8 muda utakimbia hatari 😂
Anaitwa MD JOSHUA B hongera sana kaka kazi nzuri 🙏🙏🙏
Amen Mungu ni mwema Sanaa anatuwezesha
Mtu mkubwa nana Wewe kaka
Glory to God 🙌🙌
Wewe tuuuuuh🔥🙌
Halleluya
🎉🎉 Kijana wangu MUNGU akutunzeeee🔥🔥🔥
Amen Amen Glory to God
Barikiwa sana mtumishi 🙌
Mungu fundi 🎉🎉so amazing Mungu awabariki sana
Amen tunamshukuru Mungu
Amen
Hatimayeee muda umefikaa❤
Utukufu kwa Mungu wetu
Unayetuwezesha ni wewe Bwana.
Atatuwezesha ni Yeye 🙌🙌
Dakika Saba Sasa😃🔥🔥🔥🙌🏾
Nasubili
👏
Can’t wait muda hauendi 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@@dannieburah8446 vumilia kdg 😂😂 saa10 sasa hv Yani 💃🔥🔥🔥
@@dannieburah8446 Bado kdg tu vumilia 😂😂💃🔥🔥🔥
Hahahaha muda muda 😂😂😂
@@gracesamuel8206😂😂😂
@@joshuabaharia93 inaonekana muda hautaki kutembea 😂😂😂