John Dev Acha ujinga wewe. Alafu nyinyi wagogo sijui lini mtaelimika, Kwani hamjui maeneo hayo yana ukame sana? Lengo lenu ni kuuwa hao wazee mrithi mashamba. Mwandisi anakueleza hicho kisima kimeingiza matope, na ukiangalia ni kweli maana kipo chini sana , lakini nyinyi mnasema uchawi. Ndiyo maana milembe ikajengwa Dodoma
Elimu mnayoizungumzia ni ipi hii ya Udom na mlimani? Nijuavyo kuna elimu ya rohoni na elimu ya kimwili. Elimu ya rohoni iko juu ya elimu ya kawaida aliyokuwa akiiahidi Lowasa.
Ila hayajakukuta ndugu yangu mpaka una tuma Comment kama hiyo au labda hujawahi kushuhudia Elimu ya kiroho ina pande mbili Ushirikina na Nguvu ya Yesu ambae ndio kila kitu, Mimi ninaekujibu hili nilisha kufa na kurudi ila utaona ni stori ya kijinga ila ukitaka ufanikiwe na Imani hiyo yako basi Okoka mshike Yesu na Roho mtakatifu akusimamie nje ya hapo utanikumbuka pale utakapo kufa lakini kumbe hujafa ila tu watu waamini hivyo ila kila kitu kinacho endelea Duniani utakiona na utasema bora ningelifahamu hili mapema. Mungu akutangulie hayo mambo yapo tangu Enzi na enzi shuhuda zipo
yani nyie ni vichawi wote kijiji kizima.si mngeitana mfanye maombi Mungu awape maji? kwani maji yameumbwa na hao wataalam wenu au na mwenyezi Mungu? 😭😭😭😭😭! Mungu awasameheeeee😭😭😭
Kama Kweli mnaamini huo uchawi upo basi waiteni hao wachawi waunganisheni na hao wakandarasi washirikiane kutatua hiyo changamoto. Rambaramba ni waongo na ni matapeli tu.
Mimi ni mzariwa wa dodoma wilaya ya Chamwino kijiji manchali kweli hiyo tabia ya hao wazee wanao jiita vingunge wapo sanaa na kweli sisi turiwaita hao rambaramba wakatusaidia mpaka leo mambo yako safi kabisa na vijana wanafanya maendeleo
Wagogo wameshindwa kuelimika mpaka leo. Mawazo ya Ushirikina ndiyo maendeleo yao. Mpaka kesho wanashindwa kujua maeneo hayo kuna ukame, Lengo ni kuuwa wazee wao warithi ardhi maji ni visingizio
HAO WAZEE MSI WAITIE RAMBARAMBA, HAO WAZEER DAWA YAO MUITENI KUHANI MUSA WA NGOMENI KIMARA, AU MUITENI MTUMISH LUKA KUTOKA KIBAHA VISIGA . YOOOTE YATAISHA , NA HAO WAZEE WANAO JITAPA WATAONEKANA.
Uchawi upo jaman Africa bado tupo nyuma hapa mtaani kwetu IPO gar kila siku inatoboka mipira ata utoke kiwanda gan kisa Kuna Mzee mchawi alitaka kuinunua hakuuziwa
Hawa watu akili hamna kbsa,uchawi Lisa maji!!!!!! Yani kweli afu maji yenyewe uyo mchawi pia anatumia Sasa unashangaa mchawi anatakaje?????? WATU WAMJUE MUNGU TANZANIA JAMAN
Kule Nigeria kuna jimbo linaitwa AKWA IBOM STATE yaani imani zao ni za kichawi sana na sasa tumefikia hapo na tumemwacha Mungu.OLE WETU😭😭😭😭Mungu tunusuru
Ni miaka 62 sasa toka tupate uhuru lakini bado wapo wataalamu wanaamini uchawi kwa kukwepa ubunifu na uwajibikaji. Wanao lengwa hapo ni wazee, wanauawa na kuumizwa bila sababu . Hapo ndipo unaweza kuona ccm imeshindwa kuongoza nchi. Maana hapo ni uongozi wa kijiji unapata baraka kufanya ushirikina
Si mmrudie Mungu nyie vipi mko dunia ya ngapi mpaka Leo amjamjuwa Mungu tu !nyie Watanzania mko dunia ya ngapi Acheni uchawi mrudieni Mungu,Mungu ni kila kitu Acheni huchawi mazindiko mazindiko rudini kwa Mungu ni kila kitu!
Magufuli alifanya kisichowezekana kiwezekane, angekuwepo leo hii ungesikia nataka hapa ujenzi uanze haraka tuone hao wachawi wazuie sasa, lakini sasa ikiona watu wanatafutana uchawi ujue maendeleo yanazidi kuwa doro na Mungu hawezi kubariki sehemu husika na hata mvua haiwezi nyesha mpaka waache imani zao mbovu.
Dalili za hatari zinajiimarisha kuthibitisha kutokuwapo kwa ama kutoweka kwa dhama ya UTAWALA BORA/UTAWALA WA SHERIA. Hali hii ni kubwa Serikali isihadaike na pambo la lugha nzuri za maafisa wake.Wananchi wanaelekea kuchoka na hadaa za hao Viongozi wenye ngonjela ngonjela.
Kinacho waponza hawa watu kufata Ushirikina ni tofauti za Kiitikadi yaani Uislam na Ukristo kama wangekua na ummoja na kukubali imani wapo Wachungaji kibao ambao hata hawajulikani mitandaoni washafanya sana Maombi katika maeneo tofauti tofauti kwa kero kama hizo na majibu yakapatikana na wachawi wakajisalimisha wenyewe bila shuruti bila hata kujua yaliokua yanawakuta wakijaribu kurudia kuroga
yaani hao wazee walitaka waziri awaite pembeni na awashirikishe suala la kuletaaji na awalipe ndio waruhusu. hizi mambo zipo sana,mikoani. kuna walio zuia barabara isijengwe hadi walipwe huko handeni kama sijakosea na walilipwa
Kabisa hata kwetu njome kunasekondari ilikuwainajengwa waka chukua eneo la mzee moja bwana weeee mbonawalikujakumlipa ndo ikawasawa yani kilamwaka wanafunzi 3 au 5 lazima wafe malausiku wanaona ng'ombe nje ukitoka nje tu huoni yani ilikuwa maluweluwe tu malajualinawaka ladi inakotokea sijuwi wapo lazimaitoke nawanafunzi lakinitokawalipe amani hadi leo
Wangetaja yule mwenye jina kuu kuliko majina yote, ambae kila goti litatii mbele yake. Hiyo shida yote imekoma muda huo huo ila sasa waafrica tunategemea sana miungu mingine. Mungu atusamehee ila naamini neema ya Mungu itakuwa juu yako pamoja na hizo iman zao na changamoto hiyo itapotea
Nyie haya mambo yapo Sana Kuna watu vijijini kna kijiji huko Lindi walikuwa wanaroga maji yasipatkane yaan km hujashuhudia utaona km ni hawana akili lkn watanzania wapo wanaopinga maendeleo
Uchawi upo jamn awo wachawi wanastahiki kukamatwa na kunyongwa maan wanarejesha nyuma maendeleo ya nchi wachaw wanapasw kupigw Vita kila sehem uchawi upo
"tutaona kama Maji yatatoka" hii kauli Haina shida haimaanishi kuwa wao ndio wanaozuia Maji... Tatizo ni miundo mbinu na watendaji wetu tuliowapa dhamana... Wanasubiri viongozi ndo siku hiyo wasukume Maji ...
Changamoto ninayoiyona ni ushirikishaji wa wazee wa kijiji lazima hao vingunge wana ajenda yao washirikisheni walambe lambe asali kidogo wawekeni kwenye kamati ya wazee wa kijiji wa kulinda vyanzo vya maji recognize them
Hatari lambalamba.ni wataalamu wa mila na desturi,ambao wana heshimika na Matibabu yao ni sahihi. Wape nafasi wafanye kazi yao.kikubwa amani na usalama.
Hii jamii inaamini uchawi na ushirikina..... Wachungaji mko wapi... Hili ndiyo Matokeo ya kuwaaminisha watu uchawi hata kanisani.... Mtawafamya wauane Bure...
Naona wengi wanamtaja Yesu kuwa ndio jibu la tatizo la maji hapa. Jamani Yesu hakuja ili kuondoa tatizo la maji au magonjwa au majanga yoyote, bali alikuja ili kuokoa kizazi kilichopotea cha Adam. Alikuja ili kuwafanya wanadamu wazaliwe upya na sio kuwatatulia matatizo yao wanadamu ambao wako kwa wafu. Hivyo sio kumwita Yesu kwa ajili ya matatizo ya mwilini, bali Yesu aitwe kwa matatizo ya rohoni ndipo ya mwilini atayafanikisha kadri aonavyo. Yesu ana uwezo wote wa kututaulia matatizo yote ya mwili kadri apendavyo, lakini alikuja si kwa ajili ya hayo ya mwilini bali kwa ajili ya majanga yetu ya rohoni yaani kukomesha uzaliwa wa kwanza na kutupa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu. Injili ya faida ya mwili ni uongo mkuu na ndio wadanganyaji wanajinufaisha kwa injili hiyo feki. Hata kama utamwomba Yesu akutatulie matatizo ya mwilini, bado Yesu atatamani umwombe yeye akupa maji ya uzima. Hata kama utaponya upofu, Yesu bado atakuhitaji uponywe upofu wa kiroho katika kufufuliwa toka kwa wafu. Hata kama utafanikiwa kuwa na fedha nyingi, lakini kama huna utajiri wa rohoni wewe ni maskini wa kutupwa. Basi heri kuwa masikini kimwili huku ukiwa tajiri kiroho. Mungu anataka kutafute kwanza haki ya kufanyika wana na binti zake ndipo na mengine yatajisumbukia yenyewe. Mathayo 6:31-34 na 1Timotheo 6:3-12
Yaani watu wetu wako nyuma sana kifikra na kimaendeleo yaani karne hii wanaamini mambo ya uchawi na wanaishi kwenye nyumba za udongo, ona umasikini kwenye hiyo jamii
Wewe unasema elimu!? Ni elimu gani? Elimu ya kidunia haiwezi kuushinda uchawi kinachoweza kuushinda uchawi ni elimu ya kumjua Yesu kristo pekee hiyo ndiyo kiboko ya uchawi. Unaweza kuwa na PhD na bado ukakalishwa kwenye kigoda na waganga wa kienyeji.
Iv mpaka leo kuna watu wanaamini uchawi??? Inamaana kijiji icho watu awamjui Yesu Kristo jibu la mambo yote? Pole sana bado mpo gizan
Lily Muro watu wa MUNGU wanapotea kwa kukosa maarifa.Asante kwa kuwa na hofu ya Mungu 🙏🙏🙏
Huyo Babu aliyeshika Tama mbona km kakasirika au mmojawapo ndo yeye🤣🤣
Hahaha mchokozi wewe
Wanaosema uchawi haupo yatakua hayajakukuta alafu humuamini Mungu kama yupo
John Dev Acha ujinga wewe.
Alafu nyinyi wagogo sijui lini mtaelimika,
Kwani hamjui maeneo hayo yana ukame sana?
Lengo lenu ni kuuwa hao wazee mrithi mashamba.
Mwandisi anakueleza hicho kisima kimeingiza matope, na ukiangalia ni kweli maana kipo chini sana , lakini nyinyi mnasema uchawi.
Ndiyo maana milembe ikajengwa Dodoma
Nimemkumbuka Edu Lowasa wakati wa uchaguzi 2015.. elimu elimu elimu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Yani hadi aibu kwa upumbavu walionao...bure kabisa
Tulishasema Global warming jua kal sana watu hawaoni?
Tulishasema Global warming jua kal sana watu hawaoni?
Elimu mnayoizungumzia ni ipi hii ya Udom na mlimani? Nijuavyo kuna elimu ya rohoni na elimu ya kimwili. Elimu ya rohoni iko juu ya elimu ya kawaida aliyokuwa akiiahidi Lowasa.
Ila hayajakukuta ndugu yangu mpaka una tuma Comment kama hiyo au labda hujawahi kushuhudia Elimu ya kiroho ina pande mbili Ushirikina na Nguvu ya Yesu ambae ndio kila kitu, Mimi ninaekujibu hili nilisha kufa na kurudi ila utaona ni stori ya kijinga ila ukitaka ufanikiwe na Imani hiyo yako basi Okoka mshike Yesu na Roho mtakatifu akusimamie nje ya hapo utanikumbuka pale utakapo kufa lakini kumbe hujafa ila tu watu waamini hivyo ila kila kitu kinacho endelea Duniani utakiona na utasema bora ningelifahamu hili mapema. Mungu akutangulie hayo mambo yapo tangu Enzi na enzi shuhuda zipo
yani nyie ni vichawi wote kijiji kizima.si mngeitana mfanye maombi Mungu awape maji? kwani maji yameumbwa na hao wataalam wenu au na mwenyezi Mungu? 😭😭😭😭😭! Mungu awasameheeeee😭😭😭
Kama Kweli mnaamini huo uchawi upo basi waiteni hao wachawi waunganisheni na hao wakandarasi washirikiane kutatua hiyo changamoto.
Rambaramba ni waongo na ni matapeli tu.
Mmmh jamani hao wachawi wamezoea maisha ya ngamia kuishi jangwani jamani watanzania tumwombe mungu sana!!!!!!!
Wakamatwe wachomwe moto tu ndio dawa au kila siku itakua haya haya tu
Tunasemaga wasukuma ila hapana kwa kweli 🙆🙆 tembea uone🙆🙆
Msukuma hana hiyo ishu ya uchawi
Mimi ni mzariwa wa dodoma wilaya ya Chamwino kijiji manchali kweli hiyo tabia ya hao wazee wanao jiita vingunge wapo sanaa na kweli sisi turiwaita hao rambaramba wakatusaidia mpaka leo mambo yako safi kabisa na vijana wanafanya maendeleo
Wagogo wameshindwa kuelimika mpaka leo. Mawazo ya
Ushirikina ndiyo maendeleo yao.
Mpaka kesho wanashindwa kujua maeneo hayo kuna ukame,
Lengo ni kuuwa wazee wao warithi ardhi maji ni visingizio
@@johndoglas4337 tatizo rako unakalili wagogo wa kuazia 2000 kuludi nyuma sio wagogo wa wa sasa wagogo wa sasa tupo moto usikalili
acheni ujinga hakuku binadam mtalam zaid ya Yesu kristo.
@@eliakanyika5379 yesu ndio nani boya ww unajifanya mtoto wa yesu dini umeretewa unajifanya unaijuwa sana
Uchawi ni mbaya Sana ,Yani badala waloge maji yawe mengi Hadi mafuliko,et wanaloga yasiwepo hata tone🙄
HAO WAZEE MSI WAITIE RAMBARAMBA, HAO WAZEER DAWA YAO MUITENI KUHANI MUSA WA NGOMENI KIMARA, AU MUITENI MTUMISH LUKA KUTOKA KIBAHA VISIGA . YOOOTE YATAISHA , NA HAO WAZEE WANAO JITAPA WATAONEKANA.
Uchawi upo jaman Africa bado tupo nyuma hapa mtaani kwetu IPO gar kila siku inatoboka mipira ata utoke kiwanda gan kisa Kuna Mzee mchawi alitaka kuinunua hakuuziwa
Mtafteni Mungu aliye hai na sio Binadamu 🙏
😀😀😀😂lambalamba wenzangu gonga like hapa
Hawa watu akili hamna kbsa,uchawi Lisa maji!!!!!! Yani kweli afu maji yenyewe uyo mchawi pia anatumia Sasa unashangaa mchawi anatakaje?????? WATU WAMJUE MUNGU TANZANIA JAMAN
wasimamizi wa hapo wameiba pesa hao ndio wachawi wa kwanza hawasimamii vizuri hawasafishi matanki mara kwa mara huu ni ujinga wa Elimu
Kule Nigeria kuna jimbo linaitwa AKWA IBOM STATE yaani imani zao ni za kichawi sana na sasa tumefikia hapo na tumemwacha Mungu.OLE WETU😭😭😭😭Mungu tunusuru
Wapo swa wana kijiji amini hayajakukuteni tu😭😭
Mlio kulia mjin tulien tu, ila uchawi upo aisee
Ni zaidi ya upuuzi imani za hovyo na zinafaratanisha sana jamii
Wachungaji kazi kwenu
Ni miaka 62 sasa toka tupate uhuru lakini bado wapo wataalamu wanaamini uchawi kwa kukwepa ubunifu na uwajibikaji.
Wanao lengwa hapo ni wazee, wanauawa na kuumizwa bila sababu .
Hapo ndipo unaweza kuona ccm imeshindwa kuongoza nchi.
Maana hapo ni uongozi wa kijiji unapata baraka kufanya ushirikina
Si mmrudie Mungu nyie vipi mko dunia ya ngapi mpaka Leo amjamjuwa Mungu tu !nyie Watanzania mko dunia ya ngapi Acheni uchawi mrudieni Mungu,Mungu ni kila kitu Acheni huchawi mazindiko mazindiko rudini kwa Mungu ni kila kitu!
Maji hayo ni kiangazi shida Tanzania nzima mi Niko kariakoo Leo siku ya 5 hatuna maji. Mungu amrehemu magufuli tulisahau shida ya maji sasa kumekucha!
Magufuli alifanya kisichowezekana kiwezekane, angekuwepo leo hii ungesikia nataka hapa ujenzi uanze haraka tuone hao wachawi wazuie sasa, lakini sasa ikiona watu wanatafutana uchawi ujue maendeleo yanazidi kuwa doro na Mungu hawezi kubariki sehemu husika na hata mvua haiwezi nyesha mpaka waache imani zao mbovu.
Hii sehemu inaonesha haina waumini,masheikh kaganyeni kazi ,hata mchawi anamtegemea Mungu ndiyo afanikiwe
Waziri wa maji tunaomba tusaidie maji kata ya mpunguz Nkulabi 🙏
Dalili za hatari zinajiimarisha kuthibitisha kutokuwapo kwa ama kutoweka kwa dhama ya UTAWALA BORA/UTAWALA WA SHERIA.
Hali hii ni kubwa Serikali isihadaike na pambo la lugha nzuri za maafisa wake.Wananchi wanaelekea kuchoka na hadaa za hao Viongozi wenye ngonjela ngonjela.
Kinacho waponza hawa watu kufata Ushirikina ni tofauti za Kiitikadi yaani Uislam na Ukristo kama wangekua na ummoja na kukubali imani wapo Wachungaji kibao ambao hata hawajulikani mitandaoni washafanya sana Maombi katika maeneo tofauti tofauti kwa kero kama hizo na majibu yakapatikana na wachawi wakajisalimisha wenyewe bila shuruti bila hata kujua yaliokua yanawakuta wakijaribu kurudia kuroga
wazee wasiyo na herim
sasa mafanikio yao yakijjn
pao wao wanasema SISI MAJI
HATUYATAKI DUH WAZEE
WASIYO SOMA BWANA WAJINGA SANAAAA
iringa umeme haukupita juu ya kaburi kama hujui uchawi subili yakukute ukisikia kamati za ufundi ndio mambo ya kichawi
ahaahaa ahaahaa mmetisha Sana wananchi
yaani hao wazee walitaka waziri awaite pembeni na awashirikishe suala la kuletaaji na awalipe ndio waruhusu. hizi mambo zipo sana,mikoani. kuna walio zuia barabara isijengwe hadi walipwe huko handeni kama sijakosea na walilipwa
Kabisa hata kwetu njome kunasekondari ilikuwainajengwa waka chukua eneo la mzee moja bwana weeee mbonawalikujakumlipa ndo ikawasawa yani kilamwaka wanafunzi 3 au 5 lazima wafe malausiku wanaona ng'ombe nje ukitoka nje tu huoni yani ilikuwa maluweluwe tu malajualinawaka ladi inakotokea sijuwi wapo lazimaitoke nawanafunzi lakinitokawalipe amani hadi leo
😁😁😁😁😁 Naipenda Tanzania
Hakuna aliye juu Ya MUNGU.seluka Mwaminini MUNGU kuliko hao wanadamu.
God bless us
Mmekosa maji kweli muda mrefu maana wote mnafanana rangi
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 yaani wewe
Hapo tatizo ni elimu tu. Mbona hata mito imekauka, jua kali. Hakuna uchawi hapo!
Wachungaji&wainjilisti mko wapi hadi wananchi wanaita wachawi kuwaumbua wachawi wenzao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilienda kufanya field mwaka2015 huko mpwapwa!!… Aisee kwa mara ya kwanza ndo nilielewa kumbe uchawi upo
Wewe Mpwapwa ndo nyumban em nambie nin kilikukuta, mbona uchaw amna kule
Wangetaja yule mwenye jina kuu kuliko majina yote, ambae kila goti litatii mbele yake. Hiyo shida yote imekoma muda huo huo ila sasa waafrica tunategemea sana miungu mingine. Mungu atusamehee ila naamini neema ya Mungu itakuwa juu yako pamoja na hizo iman zao na changamoto hiyo itapotea
Akili fenyu sana hii jamani watu wanaamini wachawi kuliko Mungu.Akiii ndio maana dodoma pakame😁😁
Don't judge what if hawapati au hawajui neno la Mungu ni Nini? And who is God ni kuwaombea pia mahali ambako neno la Mungu halijafika bas lifike
Kila mahali kuna hizo Imani,hii si ya kwanza kutokea
Sasa Dodoma ukichimba maji nimeng Sana
Pakame kwa uchawi au ni nature tu sijaelewa hapo?
@@dennismazanda7226 muulize,maana kuna watu mradi tu ana smart phone Imani za
kichawi zipo kila mahali
Ukame na tatizo la maji lipo sehemu nyingi
Tumieni maombi hapo maji yatatoka nawachawi hao wataaibika mkiwa naimani naMungu
Haihitaji hata maombi
mnatakiwaaa muachweee ivyoo ivyoo mpakaa mtakapopataa akiliii vizuriii
Safi sana waschiwe tuu 🤣🤣🤣
🇹🇿🇹🇿Tanzania ihi ima mambo mingi Sana ila mungu yupo
Ndugai uko wapi uelimishe ndugu zako?
Bora wazungu warudi watutawale tena kwa ujinga huu, Mnaroga mpaka maji siujinga huu
Nyie haya mambo yapo Sana Kuna watu vijijini kna kijiji huko Lindi walikuwa wanaroga maji yasipatkane yaan km hujashuhudia utaona km ni hawana akili lkn watanzania wapo wanaopinga maendeleo
Asiye amini aende huko akakutane nao.Vingunge niwazee wachawi wenyebkuogopeka.
Uchawi upo jamn awo wachawi wanastahiki kukamatwa na kunyongwa maan wanarejesha nyuma maendeleo ya nchi wachaw wanapasw kupigw Vita kila sehem uchawi upo
"tutaona kama Maji yatatoka" hii kauli Haina shida haimaanishi kuwa wao ndio wanaozuia Maji... Tatizo ni miundo mbinu na watendaji wetu tuliowapa dhamana... Wanasubiri viongozi ndo siku hiyo wasukume Maji ...
Uyo jesh anatak kuchekaaa 😅😅😅😅 we cheka tuu komando mana ni msiba 😂😂😂😂
Camera man mchokozi kuna wazee kawa zoom hapo aiseee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania
Hapo iteni wachungaji na masheikh ,la sivyo hamtaona maji kiukweli , Mambo ya kiroho huwezi kutatua kimwili
Wananchi wameona uchunguzi wa serikali miyeyusho wakaona wachunguze wenyewe.
Nyie Dodoma ni wachawi eeh hawapendi wengine wapate tena nipe ni no za rambaramba
Changamoto ninayoiyona ni ushirikishaji wa wazee wa kijiji lazima hao vingunge wana ajenda yao washirikisheni walambe lambe asali kidogo wawekeni kwenye kamati ya wazee wa kijiji wa kulinda vyanzo vya maji recognize them
Kwani hao maji ni faida ya nani kama sio pamoja nahao kama sio ukosefu wa akili
AFRICA
Wezi tuu nyie munachimba visima vifupi musababisha fujo kwa raia.
Hajakukuta labda umezaliwa mjini hujakulia vijijini
Mungu ndio suluisho siyo wataalamu
Mtaenda jehanam ninyi kwanini hamjawahita wachungaji wa kiroho
yani watu wa vijijini ni wakuhulumia sana wanawaamini wagaga wa jadi Zaidi ya taaluma/uwezo binafs
wateule ni wazembe sana mpaka watu wanachangishana fedha hamna taarifa
Inapendeza.
Serikali kufuatilia kero za wanavijiji
Duh kweli ujinga bado tuna.
hapo panamwitaji yesu
Tz mpaka tunatia aibu kwa mambo ya kishirikina baala mpambane na umasikini mnaabudu uchawi Kweli elimu ni muhimu ktk maisha
Hatari lambalamba.ni wataalamu wa mila na desturi,ambao wana heshimika na Matibabu yao ni sahihi. Wape nafasi wafanye kazi yao.kikubwa amani na usalama.
Upumbavu mtupu karne hii ndio nyie mnaturudisha nyuma kimaendeleo
@@kabwelasutiviraka4765 👊👊👊🤛🤛🤛
Ujue waafrica tunaviburi sana tuna zalau mila nadestuli tunaleta kwakuwaiga wazungu nawakati wazungu wanajari mila zao
Sawa meneja wa Duwasa
Wachungaji , Mapadre, Mashehe hawajafika hilo eneo?? Waelimishe hao watu uwepo wa Mungu wa Kweli.
Kuwa sehem ya kusaidia Hawa watumishi wa Mungu wafanye ivooo ili injili ikaenee koteee
Kwnn ela ztolewe awamu nne maj yactoke serkal ifanye uamuz mkandarac ahucke
🤣🤣🤣🤣 huyo jamaa fundi yuko vizuri hajataka kuingilia imani za watu hongereni sana bodi ya wataalamu.
Hii jamii inaamini uchawi na ushirikina..... Wachungaji mko wapi... Hili ndiyo Matokeo ya kuwaaminisha watu uchawi hata kanisani.... Mtawafamya wauane Bure...
Wasachiwe hao wanakwamisha maji🤣🤣🤣
Ila wabongo.....huh!!
Tafuteni makanisa ya walokole muwashilikishi hapo kazi ndogo sana
Maskini nyiyee mhm
mtengemeeni mwenyezi mungu yote yanawezekana inshaallah
wakamateni hao ufipa wamesumbua sana
Hapo serikali imerogwa
Naona wengi wanamtaja Yesu kuwa ndio jibu la tatizo la maji hapa. Jamani Yesu hakuja ili kuondoa tatizo la maji au magonjwa au majanga yoyote, bali alikuja ili kuokoa kizazi kilichopotea cha Adam. Alikuja ili kuwafanya wanadamu wazaliwe upya na sio kuwatatulia matatizo yao wanadamu ambao wako kwa wafu. Hivyo sio kumwita Yesu kwa ajili ya matatizo ya mwilini, bali Yesu aitwe kwa matatizo ya rohoni ndipo ya mwilini atayafanikisha kadri aonavyo. Yesu ana uwezo wote wa kututaulia matatizo yote ya mwili kadri apendavyo, lakini alikuja si kwa ajili ya hayo ya mwilini bali kwa ajili ya majanga yetu ya rohoni yaani kukomesha uzaliwa wa kwanza na kutupa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu. Injili ya faida ya mwili ni uongo mkuu na ndio wadanganyaji wanajinufaisha kwa injili hiyo feki. Hata kama utamwomba Yesu akutatulie matatizo ya mwilini, bado Yesu atatamani umwombe yeye akupa maji ya uzima. Hata kama utaponya upofu, Yesu bado atakuhitaji uponywe upofu wa kiroho katika kufufuliwa toka kwa wafu. Hata kama utafanikiwa kuwa na fedha nyingi, lakini kama huna utajiri wa rohoni wewe ni maskini wa kutupwa. Basi heri kuwa masikini kimwili huku ukiwa tajiri kiroho. Mungu anataka kutafute kwanza haki ya kufanyika wana na binti zake ndipo na mengine yatajisumbukia yenyewe. Mathayo 6:31-34 na 1Timotheo 6:3-12
Mafundi waeleze kwanini maji yanaisha mapema.
La okay 😜😜😜😜😜
Yaani watu wetu wako nyuma sana kifikra na kimaendeleo yaani karne hii wanaamini mambo ya uchawi na wanaishi kwenye nyumba za udongo, ona umasikini kwenye hiyo jamii
Acha Ushamba
Uchawi upo na nguvu za Yesu zipo. Inategemea wewe umeegemea wapi,, kwenye uchawi ana kwea Yesu.
Wachawi wauwawe no way out
Hivi huku watu hawamjui Yesu???????
Huku watu karibu wote akili zao zinafanana kila siku Imani zao ni ushirikina tu,elimu bado sana hasa watumishi wanaoishi huku wanapata tabu sana
Wewe unasema elimu!? Ni elimu gani? Elimu ya kidunia haiwezi kuushinda uchawi kinachoweza kuushinda uchawi ni elimu ya kumjua Yesu kristo pekee hiyo ndiyo kiboko ya uchawi. Unaweza kuwa na PhD na bado ukakalishwa kwenye kigoda na waganga wa kienyeji.
Mpaka raha hii story 😂😂😂
Hilo shetwani lililokunya hapo kwa maji,likijulikana liuwawawe.
Uwi😢
Jaman kumbe uchawi upoo🙄🙄
Hahaha wanakijiji wamefrai kuambiwa swala la mila waowataendelea nalo
Wazeee hao wa vijiji wnataka hela ya ubanda
Nchi ina vituko hii,karne hii bado tunahitaji lambalamba watuletee suluhisho!!!!.
DC ni busara tuuu hapo, unamkumbuka yule mzee aliyetaka ashirikishwe kipindi cha Anton Mtaka.Usisubiri mpaka wananchi wafikie hapo,
Hivi Ushirikina ni nini? Au ni kitu gani? NAOMBA NIELEKEZWE pls kwa anayejua au anayefahamu
Subiri siku ukikukuta ndio utaujua ila kukuelezea ni ngumu sanaaa we subiri subiri tu siku njia ya haja kubwa itapozibwa ndio utaelewa
🤔Sa hao wachawi hawataki maji au hawajui umuhimu wa maji au hiyo kero ya maji wao haiwagusi au
serikali imeanza lini kuamini uchawi?
Wanamtafuta mchawi kalaba 🤣🤣🤣 zaeni kirikuu wenuu
Kamati ya ufundi ya kijiji..wachawi wapo hadi plot No 1.. malipo ya kazi maalum
🤣🤣🤣🤣🤣🤣