Ninawakaribisha kuitizama hii movie ni kali sana usipange kukosa kuitizama. Bonyeza hii link kuitizama 👇👇👇👇👇👇 ua-cam.com/video/D2Mik8GZBIg/v-deo.html Tafadhali Like Comments & Share
Hahaaa jot shemeji yako ivo ivo mpaka anae nipaka Rangi kanisusa hawa wana mikwara mana akinikuta anasimama tu hakuuliz kitu ila mpaka Rangi hana raha uja nichekesha ila daah sipendi BA's tu
Fatma fetty mwanamke kiumbe dhaifu mno unaweza mkuta mwanamke na heshima zake Mme wake anakazi safi na pesa za kutosha lakini sasa jamaa anae chepuka nae hana viatu pea mbili hapo ndo utajua mwanamke lazima achunguzwe2 si wa kumwacha afanye kila kitu utakuta wananchi wanakula mpaka ukoko.
😅😅😅😅😅 I have laughed so hard,sending love from 254 😅😅😅😅😅
Hahahaha
Hiii story aliyekuandikia joti, ,, 🤣🤣rudi tena bro, ,, jmaa anajuaaa mnooo
MALAVIDAVI🍑🔥👇
ua-cam.com/video/kCFeM7Ud_Mg/v-deo.html
KWA HISANI YA JOTI TV
JOTI Mungu anakuona😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃hii clip kwa upande wangu ni the best. Nimecheka jaman hadi nalia
Watu mnasifaa🤣🤣 mi nawah nikafikir ndo ntakuwa wa kwanza
Ninawakaribisha kuitizama hii movie ni kali sana usipange kukosa kuitizama.
Bonyeza hii link kuitizama
👇👇👇👇👇👇
ua-cam.com/video/D2Mik8GZBIg/v-deo.html
Tafadhali Like Comments & Share
😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani tuacheni wakaka wa watu watupake rangi,,,,,massage kwa sh.elfu tano,,
Oya mwamba mb zangu sijaenda hasara Ila na wew rudi original comedy bhana unajua
Mimi nalinda nje yeye analinda mke wangu #yuleboy#kabangaonline
Yaani wempogoro mwenzangu, huniachagi salama ndugu yako
Joti this is the best clip ever nairudia kila mara..mecheka sana
Hahahahhaha wewe
Makini sana tz
😂😂🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🙌
Brooo we ni fire Unajua Pia Una ideas nzur can Utafika mbal can broo
Much love from 254
😀😀😀 keep it up joti comedy zako sio za kubabaisha
Napenda joti anaposema tulitawaliwa na wazaire
Oyo oooo mmetisha man I'll hiyo kazi nzuri kweli manicure 😊😊😊
Daah kazi hizi yaan mtu anaitwa ‘kucha’😅😅😅😅🤣🤣🤣😂😂🤣😂daah
😂😂😂😂
Mnakipaji sana guys ,keep doing
Joti big up sana
Upendo wa Agape 😂😂😂😂😂😂joti niache 🙌🏼🙌🏼🙌🏼😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 munguu wa agapeee 😄😄😄😄😄😄 ayo mabapa veepeee
😃😃😃😃😃 unajua ndugu yangu joti hawa jamaa wanakusymbua sana
Hahahahahaha dah pedicure....dah wake zetu bwana wanaume mpoooo..... hapooo like kwa joti....wetu...
Unatisha bròo 📷📷
Looo ningemuacha na mguu mmoja haujasafishwa kisa cha kufa🏃♂️🏃♂️🏃♂️🤣🤣🤣
Ebu nipen na mimi hizo like nione kama zinafaida au no; nakam kunafaida nitawajuza ila kama azipo tuache ujinga wakuomba like?! Nipen like apa
Nimecheka Sana has mungu was agape harufu ya jeneza
Kolmegeya
Video nzuri..sema hii kama imekuwa ndefu sana kwa mtazamo wangu lakini naona fupi ndo tamu
Fupi Sana acha unafki wako
Kama umemsikia joti akisema tulitawaliwa na wazaire gonga like tuwe pamoja 😂😂😂😂😂😂
Aaaaaah
Hahaahaah joti bhn
Mnafanyaga fanyaga sana haya mambo eee 😂😂😂nimekubali
Mzeee baba huo mkaptula 😂😂😂
Joti namba moja komedian
😂😂😂😂😂😂 why I love this man this much jamn!!
😃😃😃😃😃
Mlitawaliwa na wazaire kweli joti uko serious kweli😂😂😂
Ja
MALAVIDAVI🍑🔥👇
ua-cam.com/video/kCFeM7Ud_Mg/v-deo.html
KWA HISANI YA JOTI TV
Hako kadada nakapenda jamn sema kanajichubua
Nakukubari sanaaa joti
Umetisha
Nakukubal broo
Kazi ya kanisa 😁😁😁😁😁 kuondoka u nasubir nn
Bolauliwahi kujiuwa 😁😁😂😂😂😂
Ipo gud sana
😅😅😅😅😅😅😅mimi wa 23 Leo naombeni like zenu msinitenge waungwana
Ahaaa 👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations!
ua-cam.com/video/iDCQvf6vRjM/v-deo.html
@@dirakidaramadhani369
Mm
Mohamed Hassan haya
@@edmundpol2506 f
Hahahaaaaaaa kama namuona beka mr kucha hahahaaaaa
Nimejua kucheka jaman,joti🤣🤣🤣🤣
Hahahahahhahahahaha Joti Mungu anakuona haki sina zaidi ya hilo
Uyo muuni anayempiga mabapa yapanga anakunja sula kabisa🤣🤣🤣
kuwa mchekeshaji ni kukubali kuwa kichwa wa faida,🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Nimepend xan
Eti Hahaha endelea na kazi 😂😂😂
Leo yupo na mkewe kabisa joti bwanaa
Mungu wa agape dah niggah u kill me😂😂😂
😋🤣🤣🤣 kazi ikifikia apo sitaki malipo natoka mbio 🙏🤒
Unaweza asante
Hahaaa jot shemeji yako ivo ivo mpaka anae nipaka Rangi kanisusa hawa wana mikwara mana akinikuta anasimama tu hakuuliz kitu ila mpaka Rangi hana raha uja nichekesha ila daah sipendi BA's tu
Eti Mungu wa Agape 😂😂😂
Ila sopa bhana😂😂😂😂😂😂fundi sana
Nimechekaa jamaniiiii mpaka najamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavu zang mie 😄😄
Hahahaha joti we noma aise upendo wa agape
hawa wapakaji rang wanavizia mda ule tushaenda makazin wao ndo wanapta majumban😂😂😂ila jot duuh unasugua had mapaja
Bro kuwa mpole,baba urembo
Ntakapo mkuta mjinga na Mke wangu kumshika shika atanitambua, msichana yeyote anayefanyiwa hivi si Mke wa kuoa
Ndo mana weng wanaachwa ndoa hazidu tusomeni uislam
Ety Tulitawaliwa na WAZAIRE Daah joti wee kweli kiboko
😂😂😂😂kipande unapiga chuma syo kwa kifua hiko😂😂😂
Joti ww Noma 😆😆😆 sanaaa
Hahaha😂😂 tulitawaliwa na wa zaire
😂😂😂
Joti Anaskia harufu ya jeneza.😀😀😁😁
Mungu wa agape amuone kathema🤣🤣🤣🙌🙌
Kijana piga kazi
Eti namesamehe hela nafaanya kazi ya kanisa... Naskia harufu ya jeneza so nitafnya bila malipo.. Chiz sana Joti😂😂😂😂
7
Ll
Hahahahaha joti we noma 😂😂 harufu ya jeneza
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 et atafanya bure
😂😂😂😁😁asa jaman kosa sio la joti yy anafnya kazi yake hahaha
Mbavu Zungu Jamani 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
ET Wakubwa wanafaid inamaan jot we bado mtt et
Duuh joti ww ni no 1 wengine wataiga sana
Comrade Mlewa Isavile jot kiboko
Joti Atakuja Kuniuaaaa 😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Yani joti mpaka kaskia harufu ya jeneza🤣🤣🤣
😁😁😁 ila ww jamaa bhn, like bhs waungwana.
Broo unajua Sana lakini kwann usipige comedy moja Kama konda daladala kijeba alafu kipande asitoe nauli itakuwa poa Sana💥
Jamani iyo vocha m mbona siipati
🤣🤣🤣🤣🤣 Mapanga hayo vip Lakin nanyie mwanamke hachungwi Ana jichunga mwenyew
Fatma fetty mwanamke kiumbe dhaifu mno unaweza mkuta mwanamke na heshima zake Mme wake anakazi safi na pesa za kutosha lakini sasa jamaa anae chepuka nae hana viatu pea mbili hapo ndo utajua mwanamke lazima achunguzwe2 si wa kumwacha afanye kila kitu utakuta wananchi wanakula mpaka ukoko.
@@damianjeremia3821 yanini nikweli kabisaa uko sahihi
Bila hao wana kuja joti ungepewa game mbona,manz kicheche huyo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣itakuwa kama kazi yakanisa Daahaaaa
aisee nimecheka mbaka mbavu zinaumaa😂😂
Joti msenge et unaweza kusogeza😂😂😂😅😅
Joti jotiiii,, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unashtuka aje na ulikuwa unacheka 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sichoki kurudia hii clip jaman daaah!! Eti nasikia harufu ya jeneza,ila mlipatia nyie watu mbona huyo mwenye mke simuoni siku hizi?
Hahahaa jot noma
Dah xijwai kuwa wa kwanz Dah
Dah joti nowmaaaa xn
Joti umenishinda tabia 🤣🤣🤣🤣🤣🤓🤔
Mimi Nataka pedicure pia😂😂😂😂🤣🤣
😀😀
👷👷
Joti tengeneza na ya hamida. 😂😂😂😂😂😂😂
Joti ww🤣🤣🤣🤣🤣
Joti koned
MALAVIDAVI🍑🔥👇
ua-cam.com/video/kCFeM7Ud_Mg/v-deo.html
KWA HISANI YA JOTI TV
We joti n mgese saaana aisee😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mungu wa jehova hahahahhhaahhahahahah naskia harufu yajeneza
Duh huyu mtu ni noma gonga like kama unamkubali jot
Hahahhaahah Kama kazi ya kanisa jmn Joti
Looo Rangi zote zipo hadi Tune looo
Wa kwanza ku comment nipeni likes zangu toka Canada 🇨🇦 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Naskia harufu ya neza ,harufu watu wanafukiwa hhhhhh joti bana
Kubaabakee ett stor zake zisikuchanganyee😂
Mamae joti ni noma