Tazama mwanzo mwisho harusi ya Dida na Mumewe Omar Kumbilamoto, Mambo yote hadharani, siri yafichuka
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- #didashaibu #omarykumbilamoto #harusiyadidashaibu #wasafi #wasafitv #mamadangote #ireneuwoya #godwingondwe #beautymasatu
Hongereni sana maharusi Mungu aidumishe ndoa yenu
Safi sana ndngu zngu
Masha Allah kufa kuzikana in shaa Allah 🥰🤲
Hongera sana mdogowangu mwenyezi mungu hakupeni mahisha marefu
Mmh walioshona nguo zao za kiheshima wamependeza kuliko waliokaa uchi
Kumbe nawe umeligundua hilo
Hongera sana
Jibaba uko making idara zote mashaallah kwa Nini hakuna was kumshikia nguo ya harusi ila nimeipenda hi mungu aendelee kuwapa umoja huu huu
mmependeza sana
Kiongozi kikubwa dua kwako dada
Congratulations
Bwana harusi kazoea kupiga makofi kwenye vikao vya chama Kila mda anapiga makofi tuuu
Umejua kunichekesha eti bw harusi anafanya nini 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 CCM oyeeeee👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋
Hhhhh
🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna watu wamechanga nyikiwa jamani😂😂
Gara B angefunika jamani dah
Gara b yuko busy na marry jua kali
Emy
Mmependeza
Irene anatamani kumkumbatia godwin gondwe
Sijaielewa sababu ya shona nguo kwa mtindo basi mgekuja Bila nguo ukumbini
Mamc mmepooza, yu wap kumbuka, Gara b pangedamshi!!! Au kwa vile ya viongoz
Hii harus mbona watu weng wanadai hawana hela kunann, sio kama za wengne😋
Nahs kwa sababu walio wengi walitoa mchango mkubwa
Sijamuona darlene
Mh! Hizonguo vp jamani
Atulie sasa, maana mume kampata!
😬😬😬😁😁😁😁😁
.
Ma mc wa shughuli kwa mm hawajanibariki kwa kweli ,sherehe ni mc kama sasa nyie hamueleweki shughuli haiwezi kufana
matangazo mengi
Ovyo
Arus mwenyewe kaaribu utaribu
Huyu DIDA ni big joker
natafuta meya namimi kumbi la maji
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂🏃🏃
Mi natafuta kumbi la jivu 😂😂
Nmecheka sana
Nmecheka sana
HIV harusi hiz huwaga hamchezi maongezi meeeengi
Uyu bibi nae anakiherehere ovyooo. ...
Khaaa uyuu shemela keshazoea vigodoro vya uku kwetu buza anawapaa wakwe kek anasepa ata mkono akuna😁😁😁
Dida hakai hamwanaume huyo loo
Bwana kapeleka keki hajatoa ata mkono
Na mc mmechemsha. hamkujipanga
Champion haitakiwi kumwagika
SUNA SIO KUOWA TU JAMENI FATENI MAMBO YA DINI JAMENI MIAKA SABA BILA KUOWANA MUNGU AWASAMEHE
Dida huyu wa kuimba qaswida ama mwengne
Watu hawana pesa kwa Sababu Wanamchangia Ndoa yakwake tu kila Siku watamtunza Ndoa Mpaka Anakufa mwakani Ataolewa Tena Bila Aibu
Hapana mtangazaj wa kipind ch a taarabu wasafi
@@salamashakipint6243 😂😂😂😂salama. Niache kidogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🏃♀️🏃♀️
Mmh we dida humjui mtangazaj wa taarab
@@tunuyaliy8944 alitaka kujua ni yup maana Kuna yule wa zanz a imba qaswida