Rais Magufuli Atembelea Chuo cha SUA Morogoro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Rais Magufuli Atembelea Chuo cha SUA Morogoro
    Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, inaendelea mkoani Morogoro.
    Katika ziara yake, Rais Magufuli leo Mei 7, ametembelea chuo cha kilimo cha, Sokoine University of Agriculture (SUA).
    Rais Magufuli ameambatana na mkewe, Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt Steven Kebwe na wengine Wengi.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 10

  • @shukranishitindi5341
    @shukranishitindi5341 6 років тому +3

    asante sanaaa mheshimiwa kweli kilimo ndo tunu ya maendeleo na sua ndo chuo pekee cha kubadilsha kilimo na maisha ya wakilima

  • @williammbarikiwekwakwahudu1300
    @williammbarikiwekwakwahudu1300 6 років тому +2

    Ukweli Rais wetu anafanya kazi, Mungu ibariki Tz, mubariki Rais wetu, mjariye Afya njema....!

  • @happinessnyambita8139
    @happinessnyambita8139 6 років тому +3

    Asante sana Mhe. Rais wetu kwa kuja kututembelea Sua binafsi nilifurahi sana tena sana kwa ujio wako.

  • @hildajohn281
    @hildajohn281 6 років тому +4

    Haya ni mageuzi ya viwanda na magufuri anafanya kazi Asante raisi wangu

  • @lucianachappa1213
    @lucianachappa1213 6 років тому +4

    Haha.. Nampenda raisi wetu.....

  • @hildajohn281
    @hildajohn281 6 років тому +2

    Richard Salu eti apo kuna short cause za kilimo ambazo unaweza kusoma kama agriculture in irrigation scheme

  • @bamdogosua9585
    @bamdogosua9585 6 років тому +2

    honera sana jp

  • @philbertmwanakusya8050
    @philbertmwanakusya8050 6 років тому +1

    mh .Rais sisi Sumbawanga hatuna hata chuo kimoja zaidi ya vile vya grade A chuo kikuu maana idadi yetu ni kubwa hapa manispaa lkn wanafunzi wetu ili wasome inalazimu kusafiri mikoa mingine tuanaomba ata kuawe natawi la UDOM tunaamini kukiwa na chuo ata uchumi unakua na hii inadhihirisha wazi mikoa yenye vyuo ina maendeleo makubwa km utapata ujumbe huu basi tuanaomba kwa mikono miwili! mm philbert