HOTUBA YA MHE RAIS AKIFUNGUA KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA (MCHELE) , MW RICE MILLERS MJINI MOROGORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лют 2021
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Kiwanda cha Kuchakata Mpunga cha MW Rice Millers limited uwekezaji wa kiwanda hicho umefanywa na wamiliki wa Makampuni ya Murza oil industry na wazalishaji wa mafuta ya Korie ambapo Mhe. rais Magufuli ametoa wito kwa wamiliki hao kubadilisha majina ya bidhaa ya kiwanda hicho kipya ili kiendane na asili ya mkoa na utambulisho wa Nchi yetu, kiwanda cha Kuchakata Mpunga cha MW Rice Millers limited kilichopo Kihonda mkoani Morogoro kimefunguliwa leo tarehe 12 Februari 2021.

КОМЕНТАРІ •