I have following you since 2019 infact am blessed and encouraged with your preaching kindly please someone to help me with the number of our dad Rev.Edward Mwai kindly please
AMINA. Wakristo kila mtu ameumbwa na nyota yake na ameumbwa na mfano wa Mungu. Mkono Wa Bwana Uko na siri ya nyota. Unapotoka kwa nyota yako, mahali umewekewa nyota yako unaweza pata maisha huharibika. Unaweza nya'ng'anywa nyota na wale watu ambao wameanguka. mambo ya kulala kwa wenyewe, jizoeshe kulala kwako kwa sababu wewe hujui huyo mwingine hamshiriki katika ufalme mmoja, haujui huyo mtu anaombanga Mungu Mgani na anaendanga kutoa kafara gani. Shetani ana nyota yake. Shetani mwenyewe anaweza kunyang'anya nyota yako na akupatie nyota yake.Mtu akiwa na pepo ya shetani hata shetani humvuta. Kataa hizo nyota!! Nyota ya Mbinguni iishi ndani yetu. Nyota zetu zisimame.
AMINA. Wakristo kama uko na nyota ya Mungu ya kubarikiwa, malaika wakiona hiyo nyota wanakuja wanaleta baraka. Unapotoka JWM usingojee Malaika Akufuate. Nyota ni ya JWM si ya huko umeenda. Kila malaika na kila nyota hutumwa kwa sababu ya Kanisa. Watu wengi Mungu Hukuja na baraka Anawatafuta Anawakosa, leo Anakupata hapa kesho kwingine. shetani anajichosha bure na uganga na uchawi wake na hatatuweza. Ukiwa na Nyota ya Mungu tatakitu hata waganga na wachawi wakuje kukupiga hawakuwezi. "Jesus Christ is the morning star" na kama uko na Yesu ndani yako uko na "the Morning Star". "Morning star" ikielekezwa kwa mganga ataangushwa na hivyo vioo vyake
Amen,I always look up2 him his always my life,but the way things r nikama ameniwekea mgongo ,sasa God akinionyesha mgongo sinitaisha coz ni yeye ananipatia uhai aki.
Thank you Dad for the advice and for earnestly praying for us
Yesu amethibitisha na nabii na malaika nitapokea
Amen nimebarikiwa na neno from my spiritual father Mungu apokee sifa
Yes
I can't get enough of this l keep on repeat this message.
Ùkweli nimepokea malaika wa mungu katika jina la yesu nitaishi Jesus winner milele
I have following you since 2019 infact am blessed and encouraged with your preaching kindly please someone to help me with the number of our dad Rev.Edward Mwai kindly please
The prophets of God like you will never end...no matter how the enemy stand against me God will win for me
❤Ahsante dad kwa ujumbe was nyota
Amen
May God really bless this pastor 🙏🙏
Asanti mungu kw nyota y leo,,
Good teaching..... God bless you Bishop
Watching from Saudi Arabia mm ni mshirika Roysabu pastor Mungu akubariki na uzidi kutuombea sisi tuko Saudi
Ohn God help us because you love us to know the right way and how to pray
True man of God......powerful sermon
I receive it
I will receive my morning star again together with my family. Nitaona tena nyota ya asubuhi kwa jina ya yesu
Nyoka inaisha nguvu....nyota inashine ...Amen
AMINA. Wakristo kila mtu ameumbwa na nyota yake na ameumbwa na mfano wa Mungu. Mkono Wa Bwana Uko na siri ya nyota. Unapotoka kwa nyota yako, mahali umewekewa nyota yako unaweza pata maisha huharibika. Unaweza nya'ng'anywa nyota na wale watu ambao wameanguka. mambo ya kulala kwa wenyewe, jizoeshe kulala kwako kwa sababu wewe hujui huyo mwingine hamshiriki katika ufalme mmoja, haujui huyo mtu anaombanga Mungu Mgani na anaendanga kutoa kafara gani. Shetani ana nyota yake. Shetani mwenyewe anaweza kunyang'anya nyota yako na akupatie nyota yake.Mtu akiwa na pepo ya shetani hata shetani humvuta. Kataa hizo nyota!! Nyota ya Mbinguni iishi ndani yetu. Nyota zetu zisimame.
Hallelujah 🙌 Amen Amen and Amen. I miss church waah ❤
Hallelujah Amen
Hallelujah hallelujah hallelujah
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen Amen,
Amen...watching from Bahrain
Amen Dad🙏
Nyota yangu inashine 🙏 🙏
Very true pastor
Good teachings Dad
Maadui wangu wanajichocha bure hawataniweza.
TRUE WORD,GOD IS GOOD ALL TIME.....
SUCH A WONDERFUL AND POWERFUL WORD OF GOD.
AMINA. Wakristo kama uko na nyota ya Mungu ya kubarikiwa, malaika wakiona hiyo nyota wanakuja wanaleta baraka. Unapotoka JWM usingojee Malaika Akufuate. Nyota ni ya JWM si ya huko umeenda. Kila malaika na kila nyota hutumwa kwa sababu ya Kanisa. Watu wengi Mungu Hukuja na baraka Anawatafuta Anawakosa, leo Anakupata hapa kesho kwingine. shetani anajichosha bure na uganga na uchawi wake na hatatuweza. Ukiwa na Nyota ya Mungu tatakitu hata waganga na wachawi wakuje kukupiga hawakuwezi. "Jesus Christ is the morning star" na kama uko na Yesu ndani yako uko na "the Morning Star". "Morning star" ikielekezwa kwa mganga ataangushwa na hivyo vioo vyake
Darasa la pasii hakuna kulala 😂😂
Amen 🙏
😂😂Amen
But God could have killed Satan along time when he was chased out from heaven,hakungekuwa na mambo mingi,hii maisha ni ngumu sanaa.
God is a perfect God he doesn't like sin
Dats very true God is holy, nivile tu na hate shetani soo much ningekuwa na uwezo I could have killed him n he knows i hate him kabisaa.
Wui my sister..look up unto JESUS..He is YESHUA
Amen,I always look up2 him his always my life,but the way things r nikama ameniwekea mgongo ,sasa God akinionyesha mgongo sinitaisha coz ni yeye ananipatia uhai aki.
I may like to download for offline access,please enable.
Hey Peter you can download it
Amen
Amen
Amen
Amen
Hallelujah,Amen
Amen