MAPYA; DUDU BAYA AMLIPUA TENA DIAMOND, NAJUA SIRI ZAKE ZOTE NA P DIDY, TAMAA MBAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 108

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 23 години тому +8

    Uko sawa kabisa Dudu baya wanawake wengi wanacomment matusi juu yako lakini kiukweli uko sahihi kabisa na Mimi nakuelewa saana

  • @MsamyJunior
    @MsamyJunior 23 години тому +7

    Aliemzaa Dudubaya (mamba) mungu anamuona kwakweli 🤣🤣

  • @AhmedHImran
    @AhmedHImran 11 годин тому +2

    Dudu Allah akuongoze Muslim madam unaamin Muhammad na issa bin Maryam yaani yesu umebakisha shahada tu ndugu yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 День тому +6

    Huyu atakufa kwa pombe apunguze😢

  • @paullameck-r5j
    @paullameck-r5j 21 годину тому +6

    Yan shida ya wabongo ukwel hawautaki wanataka uongooo

  • @emmygeorge9415
    @emmygeorge9415 День тому +9

    Wewe dudu kuwa na adabu ya mdomo sisi wenyewe tumelea vijana we2 bila babazao ni marehem na leo hii vijanawe2 wamesimama xhindwa wewe pepo

    • @BeachClever
      @BeachClever 13 годин тому +1

      Naona na wewe unataka kupididiwa kama mond

    • @AhmedHImran
      @AhmedHImran 11 годин тому

      Huyu haongelei wajane anaongelea single mothers

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u День тому +6

    Baba wengi wanakwepa majukum usituchanganye

  • @aminajumashakombo1549
    @aminajumashakombo1549 14 годин тому +3

    Mm namuelewa sana uyu dudu baya...kusema za ukwel mnaona ni kama anasema vibaya lakn ni kweli baba ata akutelekeze akukane sie sisi watt hatuna haki ya kumlipa ubaya sisi tutende wema kwa wazazi wetu wawiili haijalishi nini wametufanyia tuwaachie MUNGU watapata hukumu yao wanaostahili

  • @eddyedduu6912
    @eddyedduu6912 13 годин тому +3

    Malaya inawauma lakini ndio ukweli. Baba ni kiungo muhimu sana.

  • @samueliha3159
    @samueliha3159 13 годин тому +2

    Dudu Baya huo ni ukweli kabisaa mimi nko Kenya na habari hizo ni za ukweli

  • @MsamyJunior
    @MsamyJunior 23 години тому +2

    Jibu kama mtoto ulielelewa na bimkubwa 🤣🤣

  • @BobErick-er6qm
    @BobErick-er6qm 17 годин тому +1

    True dudubaya we love u +254

  • @vincentmbaire2666
    @vincentmbaire2666 20 годин тому +3

    Dudu baya anasema kweli

  • @giftgeza3662
    @giftgeza3662 День тому +6

    Dudubaya oil chafu😂

    • @AhmedHImran
      @AhmedHImran 11 годин тому

      Huyu hajuiagi kunyamaza yaani na mpenda kwa ukweli wake wallahi yeye na ney wa mitego more fire 😂😂😂😂😂😂

  • @Mulei-Nasibu
    @Mulei-Nasibu День тому

    Ungeandamana na Ricado Momo nawe Dudu baya 😂😂😂

  • @SayariBrand-i2i
    @SayariBrand-i2i 22 години тому +4

    Mwenyezi mungu akujaalie uslimu

    • @DaudiMakaza
      @DaudiMakaza 11 годин тому

      Mjinga aslimu aje kw mapepo

    • @hamimhamis-dx5cv
      @hamimhamis-dx5cv 7 годин тому

      Mpepo yako kanisani na yanaamoni Yesu ni mtoto wa Mungu.​@@DaudiMakaza MARKO 3:11

  • @halimaabdullah3196
    @halimaabdullah3196 День тому +3

    Kaka unau baguzi umemtaja yesu ume mtaja mtume hongela mungu akuta ngulie

  • @SevelineMussa
    @SevelineMussa День тому +2

    Usihukumu usije ukahukumiwa Mungu TU anajua!

    • @SevelineMussa
      @SevelineMussa День тому

      Jaman! Sielewi mala Yesu mala Mohamed mhuu!

  • @FrenkUrassa
    @FrenkUrassa 8 годин тому +1

    Aise we jamaa uko sawa kabisa

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 15 годин тому +3

    Sasa mbona haukimbilia kwa baba yako ulipo ugua, ukakimbilia kwa mama yako Kisesa.

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 23 години тому +1

    Watu bhana wanamponda wakati anasema kweli? Mashoga ni wengi wcb

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 12 годин тому +1

    SIYO WOTE BWANAA. KUNA WATOTO WAMELELEWA NA MAMA ZAO NA WAMEFANYA VIZURI KULIKO HAO WENYE MABABA. LABDA WALE WENYE MAMA WA HOVYO.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd День тому +2

    wewe ndio konki master

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 День тому +5

    Hivi wile ulimlea vizuri na Mpaka sasa ana elimu kiasi gani na Anamiliki nini hapa Mjini. Au bange na uchokolaa

    • @MussaZozo
      @MussaZozo 12 годин тому

      Wewe ni Nouma xn wile namjua vzr xn kiukweri hakupata malezi yyte ya baba yake alikuwa anakaa bunju a shule

  • @SAMUELNDUNGU-bw6nr
    @SAMUELNDUNGU-bw6nr 12 годин тому +2

    Niko Kenya na hayo mambo Ni ukweli kabisa

    • @MohBillo-t1f
      @MohBillo-t1f 6 годин тому

      Kuwa kenya c sababu uliona?

    • @MohBillo-t1f
      @MohBillo-t1f 6 годин тому +1

      Baba c Mwenyezi Mungu umekosea

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 8 годин тому +1

    Dudu baya ujengewe sanam

  • @ChandeSaid
    @ChandeSaid День тому +7

    Kila binaadam tujue na mitihani yake duniani na huwezi binaadam kumuhukumu binaadam mwenziwe hicho kitu tumuachie mwenyewe Allah.

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 День тому

      Nina mashaka na wew

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 День тому

      Kwahio hakuna haja ya kua na mahakama? Na hukuna umuhimu Wa kumtenga mtu kanisani
      ?

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 23 години тому

      Ukiwa shoga una ukumiwa at ww kama una tamaa mabasha wapoo

    • @valenakomba7686
      @valenakomba7686 12 годин тому

      Wewe ni mpumbavu.

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 9 годин тому

    Naona Mamba kashachachuka kichwani tayari K-Vant imeshahusika.

  • @donlee9992
    @donlee9992 25 хвилин тому

    Upo vzr mkuu mkwel sana🙌🙌

  • @OlivaOnesmo
    @OlivaOnesmo 6 годин тому

    Ila kweli watoto weng ambao wamelelewa na mama hawana maadili mazur....nimeshihudia wengi...

  • @paullameck-r5j
    @paullameck-r5j 21 годину тому +1

    Nyie hata mtukane dudu baya nd kashapigilia msumali😅

    • @AhmedHImran
      @AhmedHImran 11 годин тому

      Ndiii haogopi wala nini yuko more fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 yaani huyu na magufuli wako njia moja

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky День тому +1

    Mbona na wewe unamtaja mama Ulivyo umwa ulienda kwa mama mbona humtaji baba? Mara mama yangu mzazi alisema mbona Kutwaa mama humtaji babaa Litoto la mama lina wasema wenzake fyuuu

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 11 годин тому +1

    Dudu upo vixuri wasiotaka kukuelewa ni wale ambao unawagusa

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 День тому

    Dudu baya....Siri za ndaniii......roho mbaya

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu День тому

    Uko shaidi mwongo mama anaingiyaje?ukomwongo unanja ivi wewatotowako niwatakatifu😝😝towa sauti zacura nadevukama kambare imekosatope

  • @KhamisFeysal
    @KhamisFeysal 9 годин тому +1

    Yesu je kalelewa na baba

  • @binaoci.8
    @binaoci.8 19 годин тому +1

    Every fact

  • @SaimoniJuma-f1s
    @SaimoniJuma-f1s 12 годин тому

    Konki dudu baya umenyooka kaka wapeukweli watagongwa mpaka wakimbie

  • @AlhajiJumanne-g5e
    @AlhajiJumanne-g5e 8 хвилин тому

    Mbona hata yesu unae muamin kama Mungu wako piah nayeye amelelewa na mama yake kwahy nayeye nitahila

  • @johnfelixnatala6777
    @johnfelixnatala6777 День тому

    Hata Didi yasemekana kashawahi kufanya mapenzi na Mamake

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 21 годину тому

    Wew matako kweli kwaiyo Kam bab zao wamekufa walelewe na matako Yako wew mwenyew umelelewa na baba Yako taila namb Moja likone msura wake kama sokwe

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 7 годин тому

    Dudu mbona hukusema kipindi hiko unayasema leo

  • @MagrethThobias-fm8bm
    @MagrethThobias-fm8bm День тому

    Huo uongo kwa hiyo wote ambao hawajalielewa na baba ni Taila tena koma maana nyie ndo mnaotelekeza watoto ushindwe

  • @alsam4881
    @alsam4881 День тому +1

    Ukisema hivyo unakosea sana,kwasababu kuna watoto mayatima baba zao walifariki na hawakupenda kutokuwa na malezi ya baba zao, lakini yote hayo ni mipango ya Mungu, Na mbona kuna watoto waliolelewa na baba zao na wameharibika?

    • @beatusmajumbi7125
      @beatusmajumbi7125 День тому +1

      Kasome mithali utajua kamaanisha nn

    • @rashidsam511
      @rashidsam511 19 годин тому +1

      Tatizo hamujamfahamu dudu baya yy kakusudia watoto wanao wakataa baba zao na kuwapa mama kipaumbele ndio kitu alichokusudia

    • @BelinaMagumba
      @BelinaMagumba 2 години тому

      Mayatima ni tofauti na watoto waliolelewa na mama ambae ndie mwenye sauti juu ya mme wake ata kama wapo kwenye ndoa bado lakini mama akishamzidi baba kauri hao watoto watakuwa jipu tayal fuatilia ata mtaani kwenu utaona

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 20 годин тому

    Wewe MWENYEWE ulivo na Tabia za ajabu unaonekana tu ni mzigo kwa mamaako

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 День тому

    Watanzania Hamna KAZI ukiishiwa inaanza kulalama

  • @amyboyfighter7281
    @amyboyfighter7281 День тому

    Mkikosa content mnatafuta weu awa acheni izoo

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 День тому +1

    Dudu mcktn ni uwongo labda ututajie mcktn 1 tu ili nithbtishie?km ni knisn mwfnya huo uchf sw,

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 День тому

    DUDU W UMENYOOKA XN BRO
    KIUKWER WANAUME W KWER KABISA AWADUM URAFIKI N DAIMOND UKWER N HUO

  • @PhinaEdmund
    @PhinaEdmund 2 години тому

    Unakosea ww dudu kwakusema watoto waliolelewa na mama ni matahahiri..tumia hekima unapoongea...wababa wengi wamekuwa wanakimbia hme kwa kukwepa majumu..acha kuwatukana wa mama..bila mama wewe huwezo wakuja duniani

  • @Extraordinarynation
    @Extraordinarynation 23 години тому +1

    😂😂😂ukweli unauma

  • @donlee9992
    @donlee9992 28 хвилин тому

    Yupo true uyu jamaa..

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 21 годину тому

    Yeyemwenye atumuherew USO wake you unakujib asijifanye mwema uhokov leo

  • @linkenkenya9174
    @linkenkenya9174 5 годин тому

    Ndudu mbaya hauezi mix Muhammad na yesu Christu,,tangaza msimamo

  • @emmanuelchacha6718
    @emmanuelchacha6718 22 години тому

    Kuna kitu kimoja hamjakielewa khusu dudubaya,,This man is suffering from mental illness and depression. MKIGUNDUA HILO WALA HAMUWEZI MCHUKIA DUDUBAYA.

  • @digital-d2t
    @digital-d2t 23 години тому

    Hili pumbavu sana. Mdomo mchafu kama mavi

  • @kiosoomastory
    @kiosoomastory День тому

    Ww Dudubaya tutake radhi weng hatujalelewa na baba sio kwa kupenda inatokea tuu mis understand,,je ww umemlea mtt wako na je Diamond na ww n nan taira Maana ww ulichezea wakat wako na ss wakat wako umeisha je ww ulichezea wakat wako na yy mwenye mafanikio n nan taira,,emb tutake radhi kwanz

  • @RamadhanMbaraka-o3r
    @RamadhanMbaraka-o3r 16 годин тому

    Dudubaya.umesimama.kwenye.ukweli.lizikizazawatotozipo.kwa.baba

  • @RamadhanMbaraka-o3r
    @RamadhanMbaraka-o3r 16 годин тому

    Dudubayanimekujatena.nakukubali

  • @yusuphmbaga9242
    @yusuphmbaga9242 4 години тому

    Hivi dudu umepiga gongo au kick tu?

  • @salimomar-n7s
    @salimomar-n7s 10 годин тому +1

    Juma lokole ni

    • @donhussle948
      @donhussle948 7 годин тому

      Ka left GROUP ..hilo mulize Dotto magari

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 23 години тому

    Mrongo dudu baya wivu

  • @mteule1976
    @mteule1976 5 годин тому +1

    Dudu baya sio mtu wa kumuambia siri zako hana kifua

    • @AzaAzamhmod
      @AzaAzamhmod 2 години тому

      😂😂😂😂

    • @AbdulHamidBakar
      @AbdulHamidBakar 2 години тому +1

      , 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JamesTamale-xs8pn
    @JamesTamale-xs8pn День тому

    Huyu rafiki anakunywa gongo ?

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 12 годин тому

    ZlLE CHAIN NYINGI NYINGI NI ZA MAAGANO

  • @MonnaclassicFashion
    @MonnaclassicFashion 13 годин тому

    Msengewee huna akili maisha yamekupiga umebaki nawivu tu njaa inakusumbua na mawazo yako yakimaskini wewe ulie lelewa na baba unanini au pombe na bangi ndio malezi ya baba yako mbwawe

  • @MwinyiMreko
    @MwinyiMreko 5 годин тому

    Diamond alidungwa mkoko

  • @agpoison1
    @agpoison1 11 годин тому

    Wew dawa yako ni chidbenz

  • @AdamuKisoro
    @AdamuKisoro Годину тому

    Mpe vidonge

  • @salimhemed8612
    @salimhemed8612 14 годин тому

    amini mwamba tupi pamoja

  • @JohndMbila
    @JohndMbila 23 години тому

    Mbafu hilo limefeli

  • @amyboyfighter7281
    @amyboyfighter7281 День тому

    Umasikini mbaya sana kwakwel

  • @RahmaHassan-m1k
    @RahmaHassan-m1k День тому

    😂😂msukuma usiekua ata nang'ombe ata2 unashida naulivyo choka mond akupeata ela ukanyoe saloon

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 4 години тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 14 годин тому

    P DIDDY kamzamishia kichwa Simba 😂😂

  • @rahimhemed3370
    @rahimhemed3370 День тому +3

    Kwer vjn weng wanaosemaga mama zao ndiokilakitu weng n machoko nakazalika

  • @dicksonlaurean1614
    @dicksonlaurean1614 12 годин тому +1

    Diamond,ni mtu mzima aliyefunzwa kwa maadili ya kitanzania, hakuna kitu kama hicho , Tunamwamini Diamond

    • @MohamednoordubaMohamednoorduba
      @MohamednoordubaMohamednoorduba 8 годин тому

      Maadili ya kitanzania ni ipi wakati ulimwengu umechafuka ukitafuta umaarufu lazima upakwe mafuta😂😂😂

  • @kibombi
    @kibombi День тому

    Wivu

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 8 годин тому

    Hahaaaaa

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 21 годину тому

    Siyo kweli ukweli haumi ata kidog uhongo ndiy unaumwa mim kama mimi ukweli hauniumi ata kidg ila uhongo mim naumia sana mtu kunisingizia uhongo bora ukweli najua nitakataa ila moyon nasem kweli nishafany atasiumii simafany kweli mim jaman hii methali hii naikataa ukweli unaum siyo kweli😂😂